ali kamwe

Ali Kamwe (au Ally Kamwe) ni mmoja wa wachambuzi wa soka na maafisa habari maarufu na wenye ushawishi mkubwa sana nchini Tanzania kwa sasa.

Anafahamika sana kwa nafasi yake kama Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga (Young Africans Sports Club).

Kazi Ndani ya Yanga SC: Aliteuliwa kuwa msemaji mkuu wa Yanga, akichukua majukumu ya kuwasiliana na umma, kutangaza mechi, na kuhamasisha matukio makubwa ya klabu hiyo

Amekuwa nguzo muhimu sana katika kuunganisha uongozi wa Yanga na mashabiki wake.

Ali Kamwe anasifika kwa kuwa na mbwembwe nyingi, uwezo mkubwa wa kujenga hamasa (hype), na ubunifu wa hali ya juu anapofanya mikutano na waandishi wa habari.

Mara nyingi amekuwa akibuni misemo na majina ya utani kwa wachezaji ambayo hupendwa na kutumiwa sana na mashabiki mitaani
  1. Shanily

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe aombe radhi yaishe asilete ujuaji wake

    Defamation Haina uzito kwa tz tu kwakua watu wanachukulia poa, lakini kwa nchi za wengine ni bonge la case. sio kosa kuponda jezi za Simba, kosa ni kutaja jina la mtengenezaji na msambazaji. kataja neno sanda ni kuharibu brand ya watu. Sanda ni brand ndomana jina la sanda linasoma kwenye jezi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Sandaland wadai fidia ya Bilioni 3 dhidi ya Ally Kamwe kwa kukashfu Jezi za Simba

    Wakuu Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake. Wanadai...
  3. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe naye atolewa mzobe mzobe na "makomandoo" asiongee na wanahabari

    Ama kweli siku ya kufa nyani...hawa makomandoo inaelekea wana nguvu sana kushinda hata uongozi wa Yanga.. Ali kamwe tunajua sote ni msemaji wa timu ya Yanga na ni jambo la kawaida kabisa kila kabla na baada ya mechi lazima ajitokeze ili aweze kuzungumzia mchezo ulikuaje. Sasa katika hali ya...
  4. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kisiasa huwezi ukampuuza Haji Manara na ukamkumbatia Ali Kamwe na ukafanikiwa

    Haji Manara ni binadamu mwenye connection na watu wengi wafanya siasa na wasio wafanya siasa. Kwalo, inatosha kukupa tija kwa lolote utakalo lifanikiwe. Bahati mbaya yupo kijana kwa kujulikana ghafla na kupata vi nafasi fulani huko Duniani imempelekea kumwona gwiji wa propaganda Haji Manara ni...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Haya sasa Ali Kamwe, kesho twende kupiga kura

    Ulimi uliuponza mdogo. Ali Kamwe ulisema mechi ni leo, kesho ni siku ya kupiga kura. Sawa basi kesho tuwahi asubuhi. Ila usisahau kugeuka nyuma maana Ibenge hajawaacha yuko sako kwa bako. Kwa Yanga hii ikipata goli hata moja basi Israel itashinda vita huko Ghaza.
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe hold on, kuipa mechi Dube day ni kumkwaza kocha

    Unataka kocha lazima ampange Dube acheze hata kama hayupo kwenye mpango wake. Hiyo ni sawa?
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe aupakulia minyama Uongozi wa Yanga kwa kumleta Ramovic

    Msemaji wa Young Africans SC, Ali Kamwe, amesema uongozi wa Yanga umekuwa makini na umepanga kwa weledi kuhakikisha mafanikio ya klabu yanaendelea. "Uongozi wetu umefanya maamuzi sahihi katika wakati sahihi kwa maslahi ya furaha ya wana Yanga." "Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Thabit Zaka za Kazi: Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango na nawadharau hata Mashabiki wao Wanaomumini

    "Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Azam Company na Azam Media yaani Yanga SC kupitia Ali Kamwe wanaichafua 'Brand' yenu nyie mmenyamaza tu

    Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza Watu wa Azam wala hawalioni na wanaona sawa tu. Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Azam Tv...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ali kamwe: Uwanja wa Chamazi viti vilikuwa vidogo kama vya watoto wa Primary

    Muwe na Siku njema
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe aiongoza Yanga SC kusafisha Uwanja wa KMC Complex

    Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameongoza shughuli ya kusafisha Uwanja wa KMC Complex, hatua inayokuja mara baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwamba itautumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani kwa mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25. Soma, Pia: Gamondi hana...
  12. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe Ashindwa Kujieleza Baada ya Mechi ya Yanga na Azam 🤣🤣

    Amesikika akishindwa Kumalizia Sentensi na Kuishia Neno Hatu baada ya Kipigo kizito kutoka kwa Azam.. https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1852758396245799166
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe anavyosema kuwa Msimu huu Singida Black Stars FC wanajituma wenyewe na hawasaidiwi na Mtu kamaanisha nini labda?

    Na ndiyo maana baada ya Kuugundua huu Ujuha wa NBC Premier League nimerejea Kuishangilia Liverpool yangu EPL.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Tunaujua Ubora wa Kocha wa Simba

    Alishinda mechi moja kati ya 15, Maritzburg ikashuka daraja, baada ya hapo akawa Msaidizi hadi kaja kuibukia huku, sisi tunajua quality yake ni ndogo, huwezi kumlinganisha na Gamondi ni ndogo mno. Mimi ningepewa ile Pamba nikae nayo wiki moja tu, nawafunga wale"
  15. chongoe

    JamiiForums Tanzania Ali kamwe najua ulikuja mafia alhamis umeondoka ijumaa ila safari hii mambo tofauti

    Nafaham juani ulipokwenda hata watu wa serikali ndio hutumia huko mizimu ya kule ni mikali sana ila nachowashsuri simba ili tushinde hakikisha mpira wa kwanza aguse mchezaji mmoja na autoe goolkik tukenda kinyume na hapo tunafungwa Karibuni mafai
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe acha kubwatuka nonsense, nchi ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya mpira

    Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa. Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne...
  17. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Pamba Jiji FC 📆 03.10.2024 🏟 Azam Complex 🕖 6:30PM(EAT) Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC Mpira umeanza Dakika ya 5 Goal Baccaaaaaaaaaaa Dakika 7 Tunashambulia kwa kasi Dakika ya 12 Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 14 Tunapata...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ally Kamwe kuzirai, kitabibu alipaswa kubadilishiwa majukumu

    Unapomuona mtu amezimia/amezirai maana yake kulikuwa na shida kwenye kupeleka damu kwenye sehemu ya ubongo (brain). KAMA damu haifiki au ikipungua sana kufika kwenye ubongo maana yake kutakuwa na ukosefu pia wa Oxygen and glucose (chakula) kwenye ubongo. Ukosefu wa oxygen kwenye ubongo japo kwa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Je, Yanga ameshuka Kiwango na kutafuta visingizio au ndio Propaganda za soka la Tanzania?

    Wataalam wa Sayansi ya mpira tujadiliane kidogo kuhusu hili linaloendelea mitandaoni Tangu mechi ya kwanza ya Ligi Kuu, Yanga akiwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar licha ya kushinda bao 2-0 bado kulizuka mijadala kuhusu kiwango chao, hata mechi zilizofuata (na CEB 1-0, Ken Gold 1-0 zote ugenini)...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe Aongoza Dua Yanga SC Iwe Kundi Moja na Mamelodi Sundowns

    Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa...
Back
Top Bottom