Ali Kamwe (au Ally Kamwe) ni mmoja wa wachambuzi wa soka na maafisa habari maarufu na wenye ushawishi mkubwa sana nchini Tanzania kwa sasa.
Anafahamika sana kwa nafasi yake kama Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga (Young Africans Sports Club).
Kazi Ndani ya Yanga SC: Aliteuliwa kuwa msemaji mkuu wa Yanga, akichukua majukumu ya kuwasiliana na umma, kutangaza mechi, na kuhamasisha matukio makubwa ya klabu hiyo
Amekuwa nguzo muhimu sana katika kuunganisha uongozi wa Yanga na mashabiki wake.
Ali Kamwe anasifika kwa kuwa na mbwembwe nyingi, uwezo mkubwa wa kujenga hamasa (hype), na ubunifu wa hali ya juu anapofanya mikutano na waandishi wa habari.
Mara nyingi amekuwa akibuni misemo na majina ya utani kwa wachezaji ambayo hupendwa na kutumiwa sana na mashabiki mitaani
Ameyasema hayo muda mfupi baada ya game ya Yanga vs Simba ambapo Yanga iliidungua Simba bao 2:0.
Ameongeza kuwa katika misimu minne mfululizo, Simba ndiyo timu inayo ongoza kwa kufungwa na Yanga na kwamba imefungwa zaidi ya timu zinazo dhaminiwa na GSM hivyo ni wakati wa kupokea barua ya posa...
Kwa desturi za waafrika, watanzania na Karia, Kila nafasi ni ajira kamili, hivyo hatuna utamaduni wa kujiuzulu hata kama watu waseme nini. Hata Hawa hawakujiuzulu kwasababu wameboronga.
Uwezekano nii mkubwa sana kwamba huenda wamejiuzulu kwasababu ya kuitaja serikali kwenye kikao kama chanzo...
Ukiisikiliza hoja za yanga Kuna baadhi zina maslahi Kwa mpira wetu na zingine hazina maslahi kwa mpira bali zina maslahi Kwa timu yao, nafikiria kama kiongozi mkubwa wa serikali aliwaamuru walinzi wasiwafungulie geti Simba Sc siku moja kabla ya mechi ni dhahiri kuwa mpira wetu una uhusiano wa...
Press ya Yanga muda huu,
Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita.
"Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu...
I wil be short
hiki kikaoo cha Yanga ndo hatima ya kibarua cha ally kamwe, yani majibu yakitoka ya ajabu kazi hana.
mwakani atafute kazi ya kufanya , wana yanga wapo moto wana sikiliza akijichanganya tu. wana mkataa mazima
“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
Baada ya kukwaa visiki Kila waendako TFF&BODI YA LIGI, CAS na HATIMAYE MAHAKAMA KUWAFURUSHA hapo Jana. Viongozi wa Yanga wamejiandaa na kubadili gia angani Huku wakitarajia muda wowote Ule kukutana na kubadili maamuzi ya kutokucheza derby tarehe 15 Juni.
Taarifa Toka chanzo cha kuaminika...
Naona ameona ujinga wake umeshafahamika. Haka kadogo hakana msimamo kabisa. Sasa hizi jersey zetu za hatuchezi tutazifanyaje? Kameshaanza kulegeza. Simba hawatajibu huo upuuzi.
Meneja wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿
"Kwa mlioyaona Leo Wanayanga na bado Timu yetu inaongoza Ligi .. Ni Ishara kuwa Tunapaswa kuwaheshimu na Kuwaombea sana VIONGOZI WETU
Sio rahisi hata kidogo, Ingekuwa ni watu dhaifu wangeshakata Tamaa...
Ukiona kampuni imesimama mpaka imejulikana kitaifa ujue owners wamepambana sana,jasho,machozi na damu.
Hakuna mtu mnyonge anayeweza kumiliki kampuni yenye thamani ya mabilioni.
Company owners wengi ni mafia, kukupoteza wewe kiumbe mdogo ni sekunde.
Mtu amemtoa kafara mzazi wake, mtu ameroga...
Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali:
1. Nina shughuli yangu sitaki kiongozi wa serikali aje !
2. Nina hela yangu ya mfukoni nitatumia in one day kulisha wananchi ( ng'ombe...
Tumesha sema sana hapa JF kuhusu mwenendo wa serikali ya CCM jinsi mnavyo weza kuwapa watu viburi na kujiongelea au kutokuheshimiana.
Sija shtuka kuona la Ally Kamwe kwani hata Steve Nyerere alishawai kuita vyombo vya habari na kuikemea Chadema.
Soma Pia: 'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limemuachia Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe kwa dhamana huku taratibu nyingine za kiuchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili zikiendelea.
Kamanda Abwao amenukuliwa akisema “ameachiwa kwa dhamana ambayo imetolewa...
Mkuu wa Mkoa ni kiongozi wa watu wote, taasisi zote na vikundi vyote. Anapokuwa anatumia pesa ya watu wote kuwapa Tabora United inayoshiriki ligi kuu sawa na timu nyingine sio sawa. Hii ni tofauti na goli la mama ambalo linatolewa kwa timu yoyote inayoshiriki mashindano makubwa. Mkuu wa mkoa...
Ndugu zangu kuuliza sio ujinga. Ally kamwe si alifungiwa kujihusisha na mpira kwa miaka miwili?
Imekuwaje anaendelea kujihusisha na mpira hadi hili sakata la tabora limetokea nimeshangaa sana kuwa bado ni msemaji wa yanga mbona manara alipofungiwa aliachia ngazi?.
"Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala (
@mwagala.christina) Afisa Habari wa...
"Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala (
@mwagala.christina) Afisa Habari wa...
Nimeshangazwa sana kukamatwa na kushikiliwa katika kituo cha polisi kwa Ali kamwe kwa kile kinachodaiwa kutoa kauli za kudhalilisha viongozi.
Nimesikiliza hizo kauli za Ali Kamwe sijaona kauli yoyote ya kufanya akamatwe na polisi, wakati namsikiliza Ali Kamwe nimeweza kukutana na video nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.