algeria

  1. Ituzaingo Argentina

    Kila la heri Algeria

    Kila la heri Algeria(Mbweha wa Jangwani) Timu ambazo nimetoka kuzipenda sana Algeria and Morocco Algeria 1-1
  2. JanguKamaJangu

    AFCON: Shabiki wa Algeria atimuliwa Ivory Coast

    Sofia Benlemmane Ambaye ni raia wa Algeria amefurushwa toka Ivory Coast (deportation) baada ya kutoa maneno ya kashfa juu ya taifa hilo na wenyeji wake wa Afcon. Sofia alinukuliwa akisema Ivory Coast ni taifa maskini ambalo bado linaishi kama zama za kale na akaongeza kuwa Algeria imeendelea...
  3. Abu Ubaidah Commando

    Algeria yazuia Ndege ya Marekani inayosafirisha Silaha kwenda Israel kutoka anga yao

    Algeria prevents a US aircraft carrying weapons to israel from flying over their space Kwa msaada wa google: Algeria yazuia ndege ya Marekani iliyobeba silaha kuelekea israel kuruka juu ya anga yao. Safi sana الجزاير/Algeria💪🏽❤1🇩🇿
  4. C

    Tunaendelea tu Kujengwa Kisaikolojia kwa Kipigo cha leo Usiku kutoka kwa Mwarabu huko Algeria

    "sisi wana yanga sc lengo letu ni alama ( points ) tisa ( 9 ) kwa mkapa na huko ugenini hata tukifungwa au kutoka sare au suluhu sisi wala hatujali na hatutoumia kivile" wamesema viongozi waandamizi walioambatana na yanga sc huko nchini Algeria Cognizant "Think Tank and Adorable Angel"...
  5. GENTAMYCINE

    Mnashangaa Aubin Kramo kupata Majeraha tena? Anayemtesa karejea kutoka Algeria na Taifa Stars

    GENTAMYCINE nikiwa nakuja na Threads hapa za Kuwaonya Viongozi wa Simba na Yanga wawachane mubashara ( live ) Wachezaji wazawa kwa Kuwaroga ( kupiga Pini ) Wenzao wa Kigeni si huwa Mnanipuuza na Kunidharau? Haya mwambieni Kocha Mgunda amrudishe tena Mchezaji Aubin Kramo kwa yule Mganga wa...
  6. DELETED ACCOUNT

    Yanayosemwa huko Algeria kuhusu tuhuma za kufix mechi ya Tanzania vs Algeria

    Mengi yanasemwa kuhusu matokeo ya mechi ya Tanzania vs Algeria iliyoisha kwa suluhu na kuipeleka Tanzania AFCON 2023 huku Uganda ikikosa nafasi hiyo. Nimechukua kama lisaa kufuatilia nini kinasemwa huko nje na nakileta kwenu muone jinsi wanavyotuchafua na kutuona kama hatukuwa na uwezo wa...
  7. GENTAMYCINE

    Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

    Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan? Leo GENTAMYCINE nawachana Live ( Mubashara ) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
  8. GENTAMYCINE

    Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

    Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba (7) hadi Kumi (10) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan? Leo GENTAMYCINE nawachana Live (Mubashara) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
  9. Kilimbatzz

    Taifa Stars akipiga pira la Gamondi, leo kufuzu ni 100%

    Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote siyo lazima iwe nyumbani All the best Utabiri: Algers 1-2 Tanzania
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

    Algeria vinara wa Kundi F katika kufuzu kwajili ya AFCON watawaalika Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo utakaofanyika katika dimba la Annaba huko Algeria. Taifa Stars yenye alama 7 inahitaji ushindi au sare ya aina yoyote ili iweze kufuzu huku Algeria ikikamilisha ratiba ikiwa na alama zake...
  11. ChoiceVariable

    Tanzania yapanda hadi nafasi ya 9 kwa Nchi zenye Barabara Bora Afrika. Yaipiku Algeria, Tunisia na Nigeria

    Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vinavyofuatilia ubora wa Miundombinu barani Afrika, Tanzania imepanda hadi nafasi ya 9 kutoka nafasi ya 15 kwa Nchi zenye Barabara Bora na Nzuri Afrika. Inashangaza na kufurahisha kwamba Tanzania inazizidi Nchi kama Algeria,Angola,Nigeria,Ghana,Ivory...
  12. ChoiceVariable

    Tanzania yazindua rasmi Ubalozi wake Jijini Algiers, Algeria

    Serikali ya Tanzania imezindua rasmi ubalozi wake jijini Algiers, Algeria. Ufunguzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax na kuhudhuriwa na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Nje na Diaspora wa Algeria, Ahmed Attaf, Balozi wa kwanza wa...
  13. JanguKamaJangu

    Rais wa Algeria akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Tax katika Ikulu ya Algiers

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amekutana Kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) alipomtembelea Ikulu Jijini Algiers, Algeria tarehe 1 Agosti 2023. Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa...
  14. Suley2019

    Timu ya Algeria yaweka rekodi ya dunia kwa kuvuna alama 4 tu msimu mzima

    Klabu ya Algeria HB Chelghoum Laïd 🇩🇿 imeweka Rekodi mbili za dunia baada ya kumaliza msimu wakivuna alama 4 tu katika mechi 30. Pia Wameweka rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi bila kupata ushindi hata mmoja. Takwimu za timu hiyo: Mechi 30 Ushindi 00 Sare 04 Kupoteza 26 Pointi 04
  15. O

    Edo Kumwembe: Machozi ya Nabi katika mwisho wa kiume wa Yanga Algeria

    MWISHONI kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya hivyo. Alijua ameshindwa kumalizia kipande kidogo cha historia kilichokuwa kimebakia. Matokeo ya...
  16. M

    Mmeshakiri Wenyewe hamjahujumiwa huko Algeria, hivyo hatutaki Mkifungwa msingizie mmehujumiwa

    Nimejaribu kuangalia Fainali kadhaa zinazohusisha Klabu za Uarabuni na za kutoka kwa Weusi hasa zikichezwa Viwanja vya kwa Waarabu huku Kombe likiwa Uwanjani na Kugundua kuwa kwa 95% Kombe hubaki Uarabuni ( Egypt, Algeria, Morocco na Tunisia ) na ni kwa bahati sana tena kwa 5% Kombe hubebwa na...
  17. Bill

    Ile Mvua Yetu wana Simba imeonekana tena huko Algeria, Tushangilie Ushindi

    Walipokea wapinzani wetu Airport, wakawapa mbinu, wakazua uongo wa vyumba vya kubadili nguo, wakavaa jezi zao. Kale kamvua ka Dar es Salaam kamepanda DreamLiner. Wanako, kapo. Kesho tusubiri matokeo. Lazima wanaSimba tufurahi. ONYO. TUSIPANGIANE FURAHA WALA CHA KUTUFUHISHA. ENJOY...
  18. Determinantor

    Mvua Ya Algeria kama Ya Dar tu

    Imeripotiwa kuwa mvua kubwa inanyesha nchini Algeria especially eneo ambalo Watani watacheza kesho. Itabidi tuzidishe maombi
  19. Alexander Lukashenko

    Jinsi Yanga ilivyopotea Airport 2017

    Unaweza ukajiuliza kwanini Mama kawapa Yanga dege letu la kisasa. Basi ondoa shaka ni kwa nia njema, kwani hawa watu wanahistoria mbaya huko Algeria. Kama lilivyoreport gazeti la Mwanaspoti mwaka 2017. Rubani alisubirii weee akaamua kuamsha.........
  20. Bill

    Sendoff ya Yanga imefanyika kwa Mkapa, Harusi na kuvaa Madela/Medali itakuwa Algeria Jumamosi

    Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers. Harusi ni Jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la...
Back
Top Bottom