alama

  1. kavulata

    CHADEMA hawakusoma alama za nyakati wakati wa kuliandaa jambo lao

    Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana...
  2. Mdau jf

    JF Madaktari msaada wenu juu ya hii alama inaongezeka kila kukicha

    jamani hii ALAMA haiwashi wala haiumi ila inaongezeka kila Siku naona mabadiriko
  3. curie

    Siku ccm walishindwa kusoma alama za nyakati na kupigwa chini.HAAMINI

    Bado hamshtuki kuwa @ChademaTZ2 ya sasa haina followers Bali diehards Bado mnaamini mbinu za kamata kamata bambikia kesi zitakuwa suluhisho ?
  4. OLS

    PostGE2025 Nyimbo za ushujaa wakati wa kuzika ni alama ya maumivu yasiyostahimilika, inahitajika dawa ya haraka

    Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
  5. Trainee

    Je alama za Taifa zinatofautiana thamani?

    Kuna mwenge wa uhuru na bendera ya taifa, viwili hivi naona kama vina thamani sana kuliko alama nyingine za Taifa. Mwenge ukipitishwa askari wenye sare wote watapiga salute, kadhalika wakati wa kushusha na kupandisha bendera ya Taifa Mimi kajamba nani nikipita na mifuko yangu ya noti hata iwe...
  6. A

    DOKEZO Ukimya magari yenye alama zinazoendana na JWTZ, je raia wengine waige au ni maalum kwa Makonda tu?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka. Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
  7. amarina

    Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

    Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
  8. Huihui2

    Nchini Japan, unaweza kulipa ili kupotea bila kuacha alama, ni halali kwa 100%

    Yonige-ya ni Biashara za Japani zinazosaidia watu kutoweka kutoka kwa maisha yao ya sasa, mara nyingi ili kuepuka hali ngumu kama madeni, mhusiano mabaya, au shinikizo la kijamii. Wanaitwa "wahamishaji wa usiku" kwa sababu wanahamisha watu kwa siri, mara nyingi usiku, ili kuepuka kugunduliwa na...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    Unawapa alama ngapi Mbeya City kwa jezi zao?

    Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?
  10. Lord Denning

    Ipo siku nukuu hii itatumika kama alama ya Ukombozi wa kweli kwa Watanzania! Itatumika kama alama kuu ya Uzalendo kwa Taifa!

    I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani. Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri, ukombozi na uzalendo kwa Watanzania. Kwenye vyombo vya dola wakiiona Watasema alikuwepo huyu mtu...
  11. K

    GE2025 Mgombea yeyote kama unanona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe

    Huu ni ushauri kwa Wogombea wote. Kama unaona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe. Wengi wa wagombea hasa kwenye nafasi za Udiwani, Ubunge nakadhalika wanalazimisha wapendwe na wananchi ilihali wananchi hawataki. someni alama za nyakati na wananchi ndiyo wenye sauti...
  12. Lord Denning

    Mvutano ndani ya CCM ni alama ya kuvifungua akili vyombo vya dola. Vikiwa makini huu ndo wakati wa kusimika mifumo imara

    Siasa za Tanzania chini ya Chama cha Mapinduzi ni siasa za makundi kugombania Madaraka na Ulaji. Makundi yote yanafanana kwenye jambo kuu moja. Uchu wa madaraka ili kuila keki ya Taifa vizuri. Makundi yote haya yanaamini yakishika utawala wa nchi basi watapata hela wapendavyo, wataishi vizuri...
  13. Yoda

    Nchi hii wanasiasa wamejipimia viwango vidogo sana vya uongozi unaocha alama.

    Mrisho Gambo anaamini katika zama hizi watu wa Arusha(mji mkubwa zaidi wa utalii nchini na Africa Mashariki) kufungiwa umeme ambao wanaolipia wenyewe kila kitu ni uongozi unaocha alama! Hivi wastani wa IQ za mwafrika mweusi ni ngapi?
  14. Orketeemi

    Wadudu ni alama ya vijana wa Arusha

    Watanzania Salam tuachane nazo tu. Short and clear Vijana wa Arusha wana usela mavi sana , ni limbukeni mno. Kibali kataa, ukweli ndio huo
  15. Fbn

    Huyu fundi umeme kaacha alama kwenye nyumba hii

    Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo.
  16. Comred Mbwana Allyamtu

    Binadamu walioacha alama kubwa duniani

    BINADAMU WALIO ACHA ATHARI KUBWA ULIMWENGUNI: DUNIA IKAWA YAO, KISHA WAO WAKAWA DUNIA MPAKA LEO. Na. Comred Mbwana Allyamtu. (CMCA) Saturday-03/12/2022 Marangu Kilimanjaro Tanzania Hii list hapa chini ni ya viongozi ambao wameacha "Athari" Ulimwenguni, athari yao imebaki kama chachu hapa...
  17. Chizi Maarifa

    Maajabu ya Karne. Kipapiro kinatoa mvuke na kuacha alama

    Sijajua hasa siri ni nini. Huyu dada mchana wa jana tumekaa sehemu mi nakula zangu ugali nyama choma nashushia na machozi ya sheta chupa moja. Viti ni virefu vya mbao amekaa meza moja nami kiti cha pembeni. Akainuka kwenda kunawa. Mimi sijui why nikadondoshea macho pale kitini. Nikaona kama...
  18. Lord Denning

    Pendekezo: Wimbo wa Usiogope utambulike kama wimbo rasmi wa Chadema nyakati hizi za Kupigania Ukombozi

    John Mnyika Leo katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii kuna kipande cha wimbo unaoitwa Godbless Lema Usiogope kinasambaa sana. Napendekeza wimbo ule urekodiwe tena na kuwekwa maneno ya Chadema na Watanzania wapenda mabadiliko Msiogope. Maneno ya ule wimbo yawatie moyo Chama cha...
  19. The Mongolian Savage

    Ibrahim Traoure alifanya vizuri Sana darasani na kufaulu na alama za juu

    Rais wa Burkina Faso The son of Africa kipenzi cha dhati Kwa wengi na mfano wa kuigwa inasemekana alipokuwa shuleni darasani tangu elimu ya awali Hadi elimu ya juu alifanya vizuri sana. Walimu Na wanafunzi waliosoma naye wanasema ilikuwa mkimya Na akili quiet and intelligent. Baada ya kumaliza...
  20. Wizara ya Ardhi

    JTC yatembelea alama ya mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Zambia

    TUNDUMA Kamati ya Pamoja ya Wataalamu wa Tanzania na Zambia (JTC) inayokutana katika mji wa Tunduma mkoa wa Songwe kujadili Mpango Kazi wa Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa imetembelea na kukagua alama za mpaka wa nchi hizo mbili kwa lengo la kuona uharibifu uliofanyika. Mpaka wa Tanzania na...
Back
Top Bottom