akili

Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.

Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).

Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:

  • Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
  • Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
  • Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
  • Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
  1. JamiiForums Tanzania Wapiga debe wametushinda akili?

    Ni wazi kwamba serikali inajitahidi kujenga miundombinu kama stendi. Kinachokera ni hili kundi la wapigadebe. Mfano pale stedi mpya ya Nyamhongolo Mwanza, yaani ukishuka tu kwenye Hiace zinazotoka mjini, unaweza kupokelewa na wapigadebe hata 10 wakikuuliza Musoma, Tarime, Sirari, Bariadi n.k...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania ndio Binadamu wenye akili za ajabu kuwahi kutokea

    .
  3. JamiiForums Tanzania Bangi hutumia muda gani kutoka kwenye akili?

    Maldives! Wakuu kwema? Hivi inachukua mda gani bangi kuondoka kwenye ubongo wa binadamu mpaka urudi kuwa normal? Yani naongelea ile full Cannabinoid detoxification. Yani mpaka pale Neurones zirudi kwenye hali ya kabla hazijawa stimulated na CBD ya bangi? Nlkuwa napiga dozi kwa siku mara 3...
  4. JamiiForums Tanzania Tambua akili ya kihuni ya kibiashara kwenye nauli tarajiwa za SGR

    Mafisadi na Walevi wa utajiri wana akili sana sana. Akili ya kawaida ni kwamba Dhamira kuu ya SGR ilikuwa kupunguza kero za Usafiri wa barabara katika kukuza uchumi na maendeleo. Hivyo ilifaa SGR iwe mbadala wa Usafiri wa barabara Kwa abiria na mizigo kama namna ya kuongeza kasi ya ukuaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa na mwandiko mbaya ni ishara ya kuwa na akili nyingi?

    Juzi kuna barua nilipeleka kwa kiongozi fulani ili atie sahihi yake; kiukweli kila nikitizama mwandiko aliutumia hapa, naona ni kama amechafua barua yangu[emoji16] yaani kaandika shagarabagala kama vile mtu anajifunza kuandika kichina! (ningekuwa mwl ningesema huu ni uchafu) ndipo nimekumbuka...
  6. JamiiForums Tanzania Mapenzi ni matumizi ya akili na siyo pesa wala vitu!

    Kwa vijana (wa kike na wa kiume) ni kawaida kuwaza kuwa nguvu ya mapenzi ni kwa mtu kuwa na mwili wenye kuvutia ama kuwa na pesa au vitu vya thamani vinavyotamaniwa na wengi. Lakini ushahidi unaonesha kwamba, mapenzi yaliyodumu na kuwapa raha wahusika, yalijengwa zaidi kwa akili na siyo kwa Pesa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, sisi Waafrika hatuna akili?

    Heri ya siku ya Uhuru Watanganyika wote. Habari za saa wanachama wote natumai ni njema, moja kwa moja niende kwenye dhumuni la mada hii. Mada hii inazungumzia Muafrika na akili , kama ambavyo kichwa cha mada kiulizavyo. Je, waafrika hatuna akili ?kweli au sikweli jibu langu kama mleta mada ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kwenu watu wazima mliovuka miaka 30, kuna ukweli kwamba inachukua miongo mitatu (miaka 30) akili kupevuka ?

    NB: nazungumzia akili ya maisha na sio pesa, elimu ya darasani, cheo, kuoa, n.k. hivi vitu hata kijana mwenye 18 anaweza kuwa navyo lakini AKILI bado haijakamilika kupevuka. Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao...
  9. JamiiForums Tanzania Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

    Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine, Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot N.B Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nilimsikia Inspekta Haroun akihojiwa ITV Jumapili iliyopita Usiku, aliongea kwa akili na alionyesha ukomavu

    Nilimsikia Inspekta Haroun akihojiwa ITV Jumapili iliyopita usiku, aliongea kwa akili na alionyesha ukomavu. Tofauti na wasanii wengine niliowahi kuwasikia, hakuwa analalamika au kuponda wenzake, na majibu yake yalionyesha kuwa ni mtu ambaye kichwa chake kipo safi. Nafurahia ujio wake, mimi...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kinachozeesha mwili ni akili

    Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari sana kwamba huenda kama binadam asingekuwa na shughuli nyingi sana zinazohitaji ubongo wake kufikiri kwa kina sana ili kupata majibu au matokeo ya kile anachokifanya, basi angedumu kwa muda/miaka mingi sana bila kuzeeka. Nina mifano michache hapa: Nina rafiki...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yafanyika mjini Xiamen

    Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yalifanyika jana mjini Xiamen, na kuvutia zaidi ya wanafunzi 1,000 wa shule za msingi na sekondari kutoka kila sehemu ya jiji hilo kushiriki. Mashindano hayo limegawanywa katika vikundi vitatu vikiwemo vya watoto, shule za msingi na shule za...
  13. JamiiForums Tanzania Mnaokata tiketi za mwendokasi acheni kunyanyasa wanafunzi wanaovaa nguo za nyumbani

    Wakata tiketi kwenye mwendo mnanyayasa sana watoto, nimeshuhudia karibu mara tatu mnagombana na vijana ambao ukimuona kwa umri wake kabisa ni mtoto mnataka alipe nauli ya mtu mzima hivi kisa amevaa nguo za nyumbani si sawa kabisa. Hivi nyinyi amjui umri wa mtoto? serikali naomba iangalie hili...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Inasemekana wanaume wenye sehemu kubwa za siri huwa wanapatwa na tatizo la uwezo mdogo wa akili

    Kuna jambo ambalo linasemwa lakini halijafanyiwa utafiri kamili, kwamba mara nyingi wanaume wenye sehemu kubwa za siri uwezo wao wa akili huwa ni wa wastani au unakuwa chini, hasa wanapokuwa wamesisimka (kuwa sexually aroused). Na inasemekana kwamba hili ni tatizo linalotokea kwa kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kipimo cha akili ndogo za Wabongo ni akili kubwa ya Dkt. Bashiru

    Nchi hii uzwazwa hautaisha tangu lini mawazo na maoni ikawa tusi kwani hao viongozi ni machifu au mitume. Opofu kila Kona Maoni hayapigwi rungu jibuni hoja Kwa hoja. Very absurd and huge shame for the Country. Watu wanatembea na akili za ukipepeo kwenye vichwa vyao. Anzisheni uraia pacha...
  16. JamiiForums Tanzania THE POWER GAME: Ni ukanda upi hapa Tanzania wanaongoza kwa uwezo mkubwa wa kucontroll power?

    The power Game, Anaeweza kushika madaraka ndie yupo juu zaidi, Mfano kwa Nigeria kanda ya kaskazini wapo nyuma kielimu na kibiashara lakini linapokuja suala la Power wao ndio wameikamta na kuweza kuitumia kuwa juu ya kanda ya kusini mashariki walioshika biashara za nchi na kanda ya kusini...
  17. JamiiForums Tanzania Nipo tayari kujitolea gharama za matibabu ya akili kwa mkurugenzi wa Tanesco Kariakoo CBD

    Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
  18. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wanatuzidigi wapi wanaume akili?

    Hivi hawa viume ni wapi walitukamataga hasa sisi wanaume? Nikivuta taswira yaliyowatokea Adam, Samsoni etc nachoka kabisa. Unaweza kuta jitu babe hasa ila likikutana tu na mtoto wa kike mwenye miaka kumi na nane tu anatulia tuli ubabe wote kwisha. Huwa nabaki najiuliza hivi sisi wanaume...
  19. JamiiForums Tanzania Aliyegundua kusoma historia ya marehemu siku ya maziko ana akili nyingi sana

    Mwaka fulani nikiwa wilaya moja mkoani Iringa nikifanya kazi katika hospitali ya wilaya ya Kilolo katika idara ya TEHAMA. Nikakutana na chotara wa kihehe na kizungu kwenye korido, wapo wengi sana Iringa sijui walitokea wapi, zile dizaini ya Hanspope. Binti mdogo wa miaka 21, nikamtongoza...
  20. JamiiForums Tanzania Kijana ukitaka kuoa, oa binti aliyezaliwa miaka ya 2000 hadi 2004

    Wahenga wanasema ukitaka kupata urahisi wa kufanya jambo lako washirikishe wazee, ukubwa dawa. Wiki iliyopita nilikuwa na wazee wetu kijijini, tulikutakana kwenye ndoa ya kijana mwezetu kutoka kwenye ukoo. Katika kupiga soga za hapa na pale kuna mzee mmoja akawa anasitiza na sisi vijana wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…