Meerkat
Senior Member
- Sep 3, 2017
- 195
- 313
Hakuna Dhambi – Ni Akili Yako Tu Inakudanganya?
Je, dhambi ni kweli ipo, au ni mawazo tu yanayopita akilini?
Mara nyingi tunajiadhibu kwa fikra tulizonazo hata kabla ya kutenda chochote.
Mawazo haya ndiyo hutuambia lipi ni “jema” na lipi ni “baya”, kulingana na jinsi akili yetu inavyotafsiri.
Lakini kama ni fikra tu – si kitu kilichotendeka – je, bado ni sahihi kuiita dhambi? Wazo si kosa, hisia si dhambi, na akili inaweza kukudanganya ukiziamini bila kutafakari.
Pengine dhambi ni tafsiri tu ya akili juu ya fikra zinazokinzana na wewe mwenyewe.
Wewe unasemaje – dhambi ni wazo au ni tendo?
Dhambi ni nini?
#Jumapili njema