akili

Akili (Persian: اكيلي‎, also Romanized as Āḵīlī) is a village in Emamzadeh Seyyed Mahmud Rural District, Sardasht District, Dezful County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its existence was noted, but its population was not reported.

View More On Wikipedia.org
  1. Kufanikiwa si akili bali ni ujanja ujanja tu

    Wengi wanaamini ukiwa na akili nyingi ndio utafanikiwa katika maisha, kitu ambacho si kweli; bali wenye akili nyingi wanawasaidia wengine kufanikiwa huku wao wakiishi kwenye maisha ya kawaida. Wanasaidia watu wa kawaida kutimiza ndoto zao. Ukiwauliza waliofanikiwa wamepitia njia zipi kufika...
  2. G

    Baadhi ya tabia zinazoimarisha afya ya akili

    Some random menu items. Especially important. For individuals. Aspiring a balance. Healthy longevity. Keeping the sanity Intentional cold shower in the morning A glass of hot water before sunrise Eating only once per day A mindful 1 hour walk every evening 1 day per week without technology...
  3. Profile za Wana JamiiForums mbalimbali kwa mujibu wa akili mnemba/ akili unde/ akili kinyanyamshenzi

    Mshana Jr ni msanii wa Tanzania anayejulikana kwa kazi za ujuzi wa uigizaji wa vichekesho, hasa kupitia mitandao ya kijamii kama YouTube, TikTok na Instagram. Anajulikana kwa ucheshi wa kipekee, lugha ya Kiswahili yenye lafudhi ya mtaani, na uwasilishaji wa maisha ya kawaida kwa njia ya...
  4. Wizara: Tanzania ipo tayari Kuwezesha Wananchi kunufaika na fursa za akili unde

    Tanzania imesesema ipo tayari kwa ajili ya Kuwezesha Wananchi kunufaika na fursa za akili unde ikiwemo kuwa na mifumo ,pamoja na miundombinu itakayo linda faragha na usalama wa taarifa binafsi wakati wa matumizi ya akili unde. Akizungumza kwa niaba ya serikali ya tanzania katika jukwaa la...
  5. Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  6. Kuna vitu serikali inafanya sijui kama wanatumia akili kama hili la maegesho ya Magali makubwa Kibaha Misugusugu

    Yaani wamehamisha watu Kwa kuwalipa mabilioni huku wakijua kabisa magari makubwa hayatokua mengi sababu Kuna bandari kavu ya Kwala iliyopo Vigwaza Sasa najiuliza wakijenga huu mradi wa hayo maegesho watapaki kina nani maana magari yote yatakuwa yanaondokea Kwala Hili bado sijajua vizuri...
  7. Kichaa kasimama anaongea na Mwenye akili timamu aliekaa Chini

    Wakuu, hivi ushawahi kufika sehemu ukamkuta kichaa anampigisha story mwenye akili timamu? Yaan kichaa kavaa smart kabisa kitanashati mwingine unakuta kapendeza mavazi ya urembo ila sio mzima ni kichaa kabisa, ushawahi kutana nayo hii sehemu? Sio kila aliependeza ana akili timamu na sio kila...
  8. kuna haja ya kuwapima akili hawa watu wanaojiita madokta..haswa hawa madokta wa mtandaoni.

    Huyu dokta wa ajabu naye ithibati inabidi kumchukulia panga. Kama ni CCM basi mtakuwa kisiasa sasa. Mada za ajabu anazoleta sijui ukipiga msamba asubuhi na kipande cha ndizi mbivu kitambi kinatoka.
  9. Mvutano ndani ya CCM ni alama ya kuvifungua akili vyombo vya dola. Vikiwa makini huu ndo wakati wa kusimika mifumo imara

    Siasa za Tanzania chini ya Chama cha Mapinduzi ni siasa za makundi kugombania Madaraka na Ulaji. Makundi yote yanafanana kwenye jambo kuu moja. Uchu wa madaraka ili kuila keki ya Taifa vizuri. Makundi yote haya yanaamini yakishika utawala wa nchi basi watapata hela wapendavyo, wataishi vizuri...
  10. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimekuwa nikiyasema tokea Kitambo mkawa mnanipuuza Malaika Mimi. Na bado mtakoma

    Fukuzeni Murtaza Mangungu, Salim Abdallah Mhene 'Try Again', Abbas Mratibu wa Timu, Mtani wangu wa Kihaya Meneja Rweymamu, Mtani wangu wa Kiha na Rafiki yangu Kocha Msaidizi Matola na badilisheni Dereva wa Basi la Simba SC halafu kuanzia sasa achaneni na huyo Mganga wa Kienyeji ambaye ni mwana...
  11. R

    Vijana Kutumia Akili Unde (AI) kwa Ushauri wa Mahusiano na Urafiki

    Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na msaada kitaaluma Ripoti mpya kutoka shirika la Common Sense Media inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70...
  12. Unamsaidiaje Mtu ambae Akili zake Zimehama/Zimeruka?

    Wakuu, msaada wenu naomba msaada kwenye jambo. Hivi unamsaidiaje mtu ambae akili zake zimeruka?. Yaani mwanzoni alikua na akili timamu kabisa ila ghafla tu anageuka kua FYATU anaanza kuongea vitu vya ulimwengu ambao hauonekani kwa macho, unamsaidiaje? Halafu nyie mnaozushia watu...
  13. M

    Yanayoendelea kwenye migodi yetu ni ya kusikitisha kwa wachimbaji wadogo

    "Haya madini hayaozi yaacheni siku watu wetu wakiamka na kutambua jinsi ya kuyachimba watayachimba". Hiyo ni kauli ya hayati Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kiongozi aliyetanguliza maslahi ya taifa lake na kizazi cha Taifa. Leo yanayoendelea kwenye migodi yetu ni ya kusikitisha...
  14. Je, jamii yetu inajua vya kutosha kuhusu afya ya akili?

    Je, jamii yetu inajua vya kutosha kuhusu afya ya akili? Katika kipindi hiki ambapo msongo wa mawazo umeongezeka, ni muhimu sana kupata maarifa sahihi. 🎓 Kozi hii kutoka ChuoSmart inaeleza kwa lugha rahisi: Dalili za matatizo ya afya ya akili Namna ya kujisaidia au kusaidia wengine Njia za...
  15. Gwajima alishakufa kisiasa ila akatumia akili kufa kishujaa kwenye macho ya wanajamii(regular people)

    Sababu za kwanini Gwajima alishaona amekufa kisisasa 1. Gwajima aliupata ubunge kwa kauli ya raisi Magufuli, "Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima. " Gwajima aaliletwa ila kwa gharama za kuharibu uchaguzi, kula fake ziliokotwa kwenye mabox na video zilisambaa, ila akapita...
  16. F

    Kijana ukitegemea tu akili za darasani utafeli maisha vibaya

    Nimeona vijana wengi waliomaliza chuo kikuu na kufaulu vizuri sana lakini maisha yanawapiga vibaya kwasababu wanafikiri elimu za darasani ndio kila kitu katika maisha. Nope, sio kweli. Nawafahamu watu wengi tu walioishia darasa la saba na wengine hawajui hata kusoma vizuri lakini ni matajiri...
  17. Ukikutana na mwana Simba SC anayejificha katika hiki Kivuli jua hana Akili na ukimmudu mzabe kabisa cha Kibao cha Kutukuka akome....

    Eti Simba SC kufungwa na Yanga SC mara 5 mfululizo siyo Kosa au Jambo la Kushangaa kwani hata Real Madrid nayo imefungwa na FC Barcelona mara 4 au mara 5 mfululizo. Pumbavu Wahed zenu wenye hii Fikra hivi ukiwa kabisa na Akil Timamu Kichwani utaweza kulinganisha Mafanikio ya Real Madrid ya...
  18. Ukiukataa huu Ukweli Mchungu wa Dudu Baya ni lazima tu utakuwa una matatizo makubwa ya Akili

    Dudu Baya umemaliza kila Kitu. Tuliobahatika kutembea kidogo hapa na pale nchi kadhaa (Team Passport kujaa Mihuri ya Uhamiaji) tunakuunga mkono kwa 99.9%. Nilikuwa najiuliza sana tu kwanini ukienda Uingereza, Marekani, Ufaransa na Ubelgiji unawakuta mno Raia wa Nigeria (Wapopo), Congo DR...
  19. Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

    Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani . MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana . Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
  20. Viongozi wa chadema na wafuasi akili zao hazipo timamu

    Hawa jamaa nashindwa kuelewa akili zao kesi ya lissu Kila siku inapigwa kalenda huku akiteseka mahabusu na yenyewe yapo mahakamani halafu yanatoka huko yanakuja kujiliza mitandaoni sijui huu uoga wa Hawa jamaa utaisha lini na yalivyo majinga yanajaa mahakamani eti kusubiri haki wakati huku nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…