Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo.
Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
Anonymous
Thread
ajira
ajira portal
akaunti
changamoto
hadharani
kati
kufungiwa
kuhusu
malalamiko
portal
taarifa
umma
yangu
Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana.
Unaweza kufanya hivyo kupitia mbinu inayoitwa “plus addressing.”
Plus Addressing ni nini?
Plus addressing ni njia...
Nina akaunti ya biashara NMB. Jana nimedownload statement yangu imesoma kama unavyo ona hapa chini:
Ni kipi kinasababisha Monthly Fee ya kila mwezi itofautiane?
Kilichofanya nilete mada hii hapa ni baada ya kuona nimekatwa Monthly fees Jumla ≈ TZS 227,780.85 na hiyo imefanyika ndani ya siku...
Ilinishangaza kidogo
wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili
wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko MASAKI tena kwa washua kabisa.
inadaiwa wachina hao walikuwa wakiiba pesa toka kwenye ATM usiku yaani...
Ndugu wanajukwaa, Naomba jamii iwe makini na kuchukua tahadhari inapostahili, hasa katika kipindi hiki ambacho mijadala kuhusu matukio ya mauwaji ya Oktoba 29 hadi Novemba 4 pamoja na maandalizi ya maandamano ya Desemba 9 yamezidi kushika kasi.
Leo nimejulishwa na rafiki yangu kuhusu matumizi...
Hawa jamaa walikuwa wanatema madini sana hata ukipitia michango yao linajidhihirisha hilo
greybakuza
Uguswelana
Mpendakukimbiakimbia
Misrecodius vulutus
Naby Keita
Tanganian
Wakuu, Mnakumbuka huyu Mpuuzi Daudi Balali ,alitoaga Twiti yake alisema 2030 Uchaguzi utakua usotabirika Kwa CCM.
Ni hivi huyu jamaani Mwanamtandaoo, na Ndie aliyemteka Mh Polepole .
Tarehe 21/8/2025 Huyu Jamaa alisimamia Mpango wa kumteka Mh BALOZI POLEPOLE, baada ya kujihakikishia kua...
“Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo.
“Tukio kama hilo lilishawahi kutolewa siku za nyuma na walitambulika na wakachukuliwa hatua.”
Hiyo ni kauli ya...
Zaidi ya milioni siioni kwenye akaunti yangu ya CRDB.
Mdau kagua na wewe salio lako usije ukawa upo hujui kinachoendelea.
Kesho pakikucha tu natia mguu hapo Holland branch…
Leo dunia ipo kwenye mfumo wa kidigitali kuanzia mitandao ya kijamii, benki, barua pepe, hadi mifumo ya kazi. Lakini pia uhalifu mtandaoni umeongezeka.
Njia rahisi ya kujilinda ni kwa kuwezesha Mfumo wa Uthibitisho wa Ziada (Multi-Factor Authentication MFA / Two-Step Verification).
Hii...
Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na blogu + ujuzi wa IT, nitakusaidia kusajili jina la blogu Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k. nicheki WhatsApp/sms/call +255 0756704145
Habari za muda huu Mjumbe 😂
Mimi ninaulizo hili nahitaji kufahamu Mbinu zote za kukuza akaunti za Social media haswa (Instagram na TikTok) Mbinu zote (Halali na zisizo halali) lengo ni kujifunza tu kwa vitendo zaidi wajumbe uwanja ni wenu karibuni kwa maoni....
Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa...
Ni kitu cha kusikitisha sana mabenki hayapochaji hela za service charge wakati akaunti inapokuwa haina hela.
Sasa ni service ipi wanakuwa wametoa hapo?
Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine.
Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh.
Napatikana: Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam.
✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na...
Sio la kushangaza ila wengi walikua hawajui ukicomment neno moja mara nyingi nyingi insta wanaichukulia kama violation of policy, wanaichukulia kama ni BOT, however baadhi ya vijana tuliwaonya mapema kabla ya kuchukua zile pesa ila hawakuskia leo hii akaunti zao zimekua ban kwa hela ya vocha tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.