Katika lugha ya kawaida, maneno "kazi" na "ajira" mara nyingi hutumiwa kwa namna ambayo inafanana. Tunatumia maneno hayo kuelezea jinsi tunavyopata kipato chetu.
Katika mazingira ya kawaida, hatuhitaji kutumia maneno sahihi kila wakati. Tunajaribu tu kufahamika. Hivyo, hatuhitaji kufuatilia...
Utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika suala la ajira katika nchi yetu. Ajira ni muhimu sana katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii, na ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa maisha ya wananchi. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala bora na uwajibikaji katika suala la ajira...
JUZI, Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, amesema serikali Ina mpango wa kutengeneza ajira milioni nane kwa vijana ifikapo mwaka 2025, kutatua changamoto ya ajira.
Kauli hiyo aliitoa bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe, Felix Kavejuru aliyetaka kujua mkakati wa...
Huwezi kuamini kuwa watu wenye akili zao timamu walioaminiwa na Taifa kushughulikia ajira, wakaamua kuweka utaratibu usio rafiki wa kuajiri kwanza kabla ya kujiridhisha na uhalali wa vyeti vya waajiriwa. Halafu akiisha kuitwa kwenye kituo chake cha kazi, ndipo huambiwa subiri kwanza uhakiki wa...
Kuna watu wanamdiss jk lakini ukweli ni kwamba kipindi Cha jk kila kitu kilifunguja na ajira kila mahala.hata jeshi hakukuwa na haja ya kupita jkt kila mtu aliyekuwa na passion basi jeshi ilikuwa easy. Walimu na madaktari wote wanaopenda kuajiriwa serikalini walipata ajira bila kunakiza mtu. Jpm...
Wakati wa uwasilishwaji wa bajeti ya Kilimo leo Bungeni, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alielezea maendeleo ya sekta ya kilimo nchini na kusema sekta ya kilimo imetoa wastani wa asilimia 65 za ajira kwa vijana ambayo ni takribani sawa na watu saba kwenye kila watu kumi wanaoajiriwa...
Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015.
Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
Kwanini PSSR siku hizi wanaita watu kazini kwa awamu, badala ya kuita wote kwa mkupuo kama ilivyozoeleka?
Yaani mfano, tumeomba kazi mwezi wa 5 mwaka jana, tukaitwa interview mwezi wa kwanza na wa pili, placement ndio inafanyika sasa lakini kwa awamu.
Watu tumefanya usaili siku moja, halafu...
Kuna wabunge wanatoa mawazo ya hila hadi wanakera!! Ni unafiki mkubwa sana!! Lengo lao ni kutaka kuwapitisha watu wao kwenye ajira ya utumishi wa umma kwa mlango wa nyuma wa "kujitolea". Hii itatesa sana wale watakaoingia kichwa kichwa kujitolea wakati wako nje ya kundi hili la wateule...
Mazuri ya sekretarieti ya ajira kwenye utumishi wa umma:
1. Imejitahidi kuweka uwanja sawa kwa wote wanaotafuta ajira. Kama ni ugumu basi huo ugumu uko kwa wote!! Kinachotafutwa kwa sasa ni kutaka kuboreshwa uwanja kwa baadhi ya watu almaarufu kama "watoto wa wakubwa". Wanataka kuwapitishia...
Hii ni kauli ambayo imekuwa ikitrend sana tokea mwaka jana Hadi Leo huku ikifanya wengine wajikwamue na wengine bado wasipate njia za kutoka. Binafsi nimegawanya katika njia mbili,
1: WATU WENYE AJIRA
2: WATU WASIO NA AJIRA
1: WATU WENYE AJIRA.
Binafsi nimekuwa mmoja wa mashuda katika hili...
'Ubunifu huu umefanya wakati wetu wa burudani kufurahisha zaidi. Lakini haijafanya wakati wetu wa kufanya kazi kuwa muhimu zaidi. Imeondoa uzoefu wa kibinadamu wa kuchoka. Lakini je, imekufanya uwe na manufaa zaidi kazini?
Wataalamu fulani wa teknolojia wanasema kwamba 'huenda usiwe na akili ya...
Wadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia...
Ama kwa kweli kila hatua ina changamoto zake, japo makali ya hizo changamoto yanaweza kutofautiana!!
1. Changamoto moto kwenye hatua ya application:
*Mtandao kusumbua wakati deadline ya application imekaribia
*Application kugoma kwenda kwa kigezo kuwa huna sifa, wakati sifa zako ni hizo hizo...
Siyo siri, kuwa mtu akikaa miaka mingi baada ya kuhitimu huku kila siku anapambana na maisha akili huwa inachoka. Halafu unapambanishwa na vijana fresh toka vyuoni akili bado inacharge hasa.
Ila hamna jinsi, itabidi mpambane tu. Tatizo ni kwamba unakuta mtu steam ishakata, baada ya kufanya...
Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko.
Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya halali, umri miaka 24.
Je ni waalimu wangapi kwa mwaka wanaingia kwenye soko la ajira kutafuta ajira wakiwa na certificate, diploma na degree? Je ni kwenye sekta ya afya kwa kada mbalimbali ni wangapi wanaingia sokoni kwa mwaka kusaka ajira wakiwa na certificate, diploma, degree nk. Hali kadhalika kwa wanasheria...
Inawezekanaje watu wapange utaratibu ambao siyo rafiki kwa waajiriwa wapya? Iko hivi: Ukipangiwa ajira na sekretarieti ya ajira kwa maana ya kufaulu usaili, unapewa barua ya kuripoti kazini ndani ya siku 14 vinginevyo nafasi yako atapewa mwingine!
Hii inamfanya mwajiriwa atafute nauli hata kwa...
Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu stashahada ya utunzaji fedha. Ila sichagui kazi kikubwa iwe tu ya halali 🙏kwa kua hali ngumu.
Kazi ambazo naweza kufanya
Utunzaji stoo
Mapokezi
Mauzo (sales officer)
Napatikana Kibaha, Pwani.