ajira

  1. N

    OMBI: Tamisemi iweke wazi majina ya vyeti ambayo vimeonekana kuwa vilishatumika katika ajira za serikali, yaani vinatumiwa na mtu zaid ya mmoja!

    Jana wazir kairuki alisema kua, katika mchakato wa maombi ya ajira kuna watu waliwasilisha vyeti ambavyo vilibainika kuwa vimeshatumiwa na watu wengine, wapo kwenye ajira hivyo maombi yao yalifutwa automatic Namuomba waziri kairuki aweke bayana vyeti hivyo ambavyo vimetumika zaidi ya mara moja...
  2. Economist at Bank of Tanzania - 13 Posts

    Position : Economist -13 Posts Reports to : Head of Division Contract type : Permanent and Pensionable Job Purpose: To collect and analyze financial and economic data, advise the Bank on economic decisions and develop models for economic forecasting. Education/Professional Qualifications...
  3. Librarian at Bank of Tanzania

    Position : Librarian Reports to : Head of Division Contract type : Permanent and Pensionable Job Purpose: To perform librarian duties, establish and implement library policies, procedures and oversee library operations. Education/Professional Qualifications required: Holder of a Bachelor...
  4. Usaili wa Kuandika kwa Nafasi ya Afisa Utamaduni II (Cultural Officer grade II)

    Habari wapendwa, Kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usaili nafasi ya Afisa Utamaduni II (Cultural Officer Grade II) anauliza kama kuna yeyote alishawahi kuitwa kwenye usaili wa kuandika kwa nafasi hiyo ni maswali gani yanapendelewa kuulizwa kwenye mtihani wa kuandika?. Natanguliza shukrani huku...
  5. Estate Officer (Valuer) at Bank of Tanzania (BoT)

    Position : Estate Officer (Valuer) – 1 Post at Bank of Tanzania (BoT) Reports to : Head of Division Contract type : Permanent and Pensionable Job Purpose: To perform duties related to managing and up- keeping Bank’s estates. Education/Professional Qualifications required: Holder of a...
  6. TBC yatangaza nafasi mpya za ajira

  7. Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
  8. Credit Risk Officer at Tigo

    Vacancy - Tigo Pesa Post Title: Credit Risk Officer How to Apply If you are interested in applying for this position, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line, indicate the role you are applying for (eg. Cyber Security Manager). Attach your CV in PDF format...
  9. Laundry Supervisor at Altezza Traveling Limited

    Job Details Altezza Traveling Limited wishes to invite competent, qualified, experienced, and dedicated Tanzanians to fill in the Food and Bavarage Manager position which is currently available in the company. Responsibilities Responsible for the hotel’s daily laundry and dry cleaning...
  10. G

    Utumishi wana mfumo mbovu wa ajira, mfumo unakataa wenye vigezo

    Habari. Mimi nimemaliza diploma ya records, najaribu kuomba kazi ya records iliyotangazwa kupitia utumishi, naamwiwa "check your academic qualification". Sasa mimi nina diploma hiyo ya records na nyie mmesema mnahitaji mwenye diploma ya records, inakuaje mfumo unikatae? na ili niweze...
  11. D

    SoC03 Ukosefu wa ajira

    UKOSEFU WA AJIRA "Tunateseka kupita kiasi Africa, Tusaidieni, Tunamatatizo Africa. Tumepoteza haki zetu kama watoto. Tuna Vita na maradhi, hatuna chakula dah! tunahitaji Elim na tunaomba mtusaidie kupata elim ili nasi huku tuwe kama ninyi." Ni ujumbe unao patikana katika miili ya Yoguine na...
  12. SoC03 Matumizi ya mitandao ya kijamii katika utoaji ajira kwa vijana

    Tupo katika dunia ya sayansi na teknolojia ambayo kila siku vitu vipya vimekua, vikigundulika na vya zamani kufanyiwa uboreshaji zaidi ambapo tunaona mabadiliko ya Sayansi na teknolojia yalikua zaidi kwanzia miaka ya 1700 ambapo vifaa mbalimbali vya kisayansi vilitengenezwa Na kuleta mabadiliko...
  13. SoC03 Bajeti za posho na mashangingi, kodi za vocha zitumike kuwezesha wahitimu wa vyuo na nguvu kazi wasio na ajira

    Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani. Serikali...
  14. Kwa Waombaji Ajira Tanapa

    Salaam wadau, Kwa tuliosoma tangazo la nafasi za kazi Tanapa na kulielewa vizuri. Tafadhali nitofautishie tofauti kati ya post 14 za WILDLIFE LAW ENFORCEMENT na post 90 za WILDLIFE LAW ENFORCEMENT (rangers). Labda tuanzie hapa, Je wote wanatakiwa kuwa na cheti cha Jkt? Inaongeza advantage...
  15. Hivi kwanini ajira za lecturers zinakua readvertised sana?

    Ni kwanini hizi ajira zinarudiwa kutangazwa inamaana watu wanaacha kazi au watu hawaapply?
  16. TANAPA yatangaza nafasi za ajira

    Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limetangaza nafasi za ajira 166 kwa nafasi mbalimbali. Kiambatanisho kipo chini kwa taarifa zaidi ==== THE UNITED REPUBLIC OFTANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.JA.9/259/01/A/306...
  17. Wafanyakazi 90% wa Bandarini sasa kupoteza ajira?

    Salaam Wakuu Teknolojia ya bandarini haitamuacha mtu salama. Inabidi watu wakarudi kusoma pale chuo cha bandari Temeke ambacho kinaenda kuwekewa vifaa vya kisasa vya kufundishia. Hivi karibuni Kampuni ya AD Ports Group ilisaini mkataba na kampuni ya Adani na SEZ Ltd kwa ajili ya uwekezaji wa...
  18. Napendekeza Bagamoyo iwe sehemu ya Zanzibar ili na sisi tuzamie tupate uraia wa Zanzibar tupate nafuu ya ajira, vyeo, teuzi, n.k

    Niendelee kung'ang'ania ubara kwanini wakati uraia wa Zanzibar unarahisisha maisha? Wazanzibar wamebahatika zaidi kupata uwanja mpana tena wa kipendeleo kabisa katika nafasi za uongozi, ajira, vyeo, teuzi, n.k. JKT wengi kama sio wote huwa wanabakizwa kujiunga na Jwtz, Polisi, Usalama, n.k na...
  19. S

    SoC03 Mambo ya kuzingatia ili kupandisha uchumi wa nchi na wananchi pamoja na kupandisha thamani ya pesa ya Tanzania

    Nawasalimu Kwa jina la Muungano wa Tanzania.Ni matumaini yangu kuwa mmejibu Kazi iendelee. Katika makala hii leo napenda kuzungumzia vitu ambavyo vinafanya uchumi wa nchi kuimarika bila kusahau jinsi ambavyo thamani ya pesa yetu itakavyoweza kupanda na kuwa moja kati ya pesa zenye thamani...
  20. G

    Kuomba ajira kwa aliyeajiriwa bila kupitisha kwa mwajiri inawezekana kuitwa interview?

    Habari JF. Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika chochote. Naweza kuomba bila kupitisha kwake na vilevile nataka kuweka kama mimi ni mwajiriwa kwenye CV...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…