Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.?
Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M + kwa 10 miezi = 9.6M kwa mwaka😀
Jeshi linalotumwa kuwalindia madaraka
Askari mwenye V tatu
Mshahara 625,000 /= baada ya makato
Huna V hata moja 228,000/=
Hii iliongezwa kutoka 215,000/=
Kupanda vyeo labda jeshini, polisi ni nadra
Mkataba wa ajira kama huna nyota moja ni miaka mitatu mitatu tu. Day waka !
Miaka 6 ya...
Watumishi wa kada ya uhandisi walioajiriwa tarehe 1 Desemba 2020 katika shule za sekondari za ufundi za serikali wamekuwa wakikumbana na changamoto kubwa katika utumishi wa umma kutokana na kutopatiwa barua za ajira wala kuthibitishwa kazini kwa takribani miaka sita sasa.
Tatizo hilo linadaiwa...
Maoni yako , tafadhari.
Je ni sahihi kumkimbia mwanamke ambaye ushamlipia mahari na ukamuachia na ujauzito au kwa jina maarufu Mimba .?..
Natafuta Ajira
Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu.
Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
Tunaiomba mamlaka husika kuboresha mfumo wa Ajira Portal. Vijana wengi tunapata changamoto kubwa kupata usaidizi kuhusu mfumo huo kwani namba za mawasiliano hazifanyi kazi na email hazijibiwi.
Hali hii inatulazimu kutumia fedha nyingi kwenda Dodoma kwa ajili ya kupata msaada wa huduma ambazo...
Anonymous
Thread
ajiraajira portal
changamoto
mfumo
mfumo wa ajira
portal
vijana
Katika dunia ya sasa, watu wengi wanaanza kuachana na mfumo wa kawaida wa kusubiri ajira za ofisini pekee. Internet imefungua milango mipya ya kazi za online, freelancing, remote jobs, na opportunities ambazo unaweza kufanya ukiwa popote.
Lakini swali kubwa ni:
👉 Watu wanapataje kazi online?
👉...
Mimi ni miongoni mwa Watu 178 walioitwa kuripoti kazini na VETA tangu tarehe 14 Feb, 2026, tulifika ofisi za VETA Dodoma tukajaza taarifa binafsi, kisha tukaambiwa tusubiri maelekezo mengine…
Lakini hadi leo tunaingia mwezi wa tatu tunasubiri taarifa za kupangiwa vituo vya kazi na hakuna update...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica E. Yegella amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fursa ya ajira mpya takribani 259 katika kipindi cha mwezi Januari na Mei 2026.
Katika kipindi cha mwezi Januari, Halmashauri ya Wilaya ya...
Sisi Ajira mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya Kwimba Mkoa wa Mwanza tuna karibia miezi sita sasa tangu tuajiriwe lakini kila tukiulizia kuhusu fedha za kujikimu hatupewi jibu lolote, tuliajiriwa Januari 2026.
Majibu tunayopewa huku kwenye group hayaeleweki wanatuambia serikali ndiyo inatoa pesa...
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
kujikimu
mpya
mwanza
wilaya
Mimi mkazi wa Tabora. Naomba kuwasilisha taarifa kuhusu mfumo unaotumia ahadi za ajira kuwavutia vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini kwenda Mwanza kwa maelezo ambayo hayatoi ukweli kamili wa shughuli zinazofanyika.
Mimi binafsi nilielekezwa kuwa kuna nafasi za kazi ya kusambaza dawa katika...
UFAFANUZI KUHUSU WATUMISHI WA MKATABA KUTOTENDEWA HAKI
Dar es Salaam, 10 Mei 2026
Shirika la Viwango Tanzania linapenda kutoa ufafanuzi kwa umma juu ya upotoshaji uliochapishwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu watumishi wanaodaiwa kutokutendewa haki.
Hoja ya awali ~ TBS haijatutendea haki...
Sekretarieti ya Ajira wao huwa wapo strict sana kukusema inapitokea umeitwa katika usaili kisha ukachelewa hata kama ni dakika chache, wanakuona haupo serious kwenye kutafuta kwako, hivyo na wao wawe wanajali muda wanaoupanga kwa ajili ya interview.
Haiwezekani wapange mtihani Saa Nne asubuhi...
Anonymous
Thread
ajira
huwa
inakera
muda
sana
sekretarieti
sekretarieti ya ajira
usaili
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini.
Rais Samia amebainisha hayo Jumatano Mei 6...
ajiraajira kwa vijana
amani
evaline munisi
haki
haki za wafanyakazi
karibu
kazini
kuimarisha
kusimamia
mahusiano
masuala
tulinde amani
vijana
wafanyakazi
waziri
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Dkt. Evaline Wilbard Munisi amezungumza Bungeni leo Mei 8, 2026 kuhusu stahiki za Watumishi ambao hawapo kwenye ajira na walikuwa wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Pia soma
~ Sera ya NSSF kuondoa Fao la Kujitoa INAUA NDOTO ZA...
wasaalam
tarehe 02/05/2026 pale UDSM yombo 4 kulikuwa na zoezi la kufanya written interview kwenye kada mbalimbali lakini cha ajabu mpaka leo tarehe 06/05/2026 hawajatoa majibu ya usaili huo kama wanafovofanya taasisi zingine ambapo majibu hutoka na kutaganzwa kupitia tovoyi rasimi ya...
Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na changamoto zinazozikabili nchi zote mbili.
Pia soma Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu...
Rais wa William Ruto ameanza ziara ya siku mbili nchini Tanzania kuimarisha uhusiano kati ya majirani hawa wa Afrika Mashariki. Ziara hii inaonekana kuwa muhimu sana hasa kwa masuala ya biashara, ajira na maendeleo ya kikanda.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Tanzania, Ruto atakutana na...