ajira

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kinachoharibu taasisi za Usalama wa Taifa na Polisi ni waajiriwa wengi wa "connection" ambao loyalty yao iko kwa wale waliowaunganisha kupata kazi

    Ni lini uliona tangazo la serikali la nafasi za kazi idara ya Usalama wa Taifa? Au ni lini uliona mtu wa kawaida asie na connection yeyote na viongozi wa juu nchini anatamani kufanya kazi Uslama wa Taifa na akanikiwa katika tamanio lake? Labda ni zile enzi za Nyerere, ambapo wafanyakazi wa...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mnatuchangisha fedha Ili mpate ajira mpya?sisi mlituchangia wakati tumeitwa na Tamisemi?

    Jibuni swali nyinyi maccm tafadhali
  3. MOHAMADI MBARUKU MOHAMADI

    JamiiForums Tanzania KERO Kukataliwa kwa wahitimu wa BA in History and Political science kwenye Ajira Portal

    Wahitimu wa Udsm wa ba. In History and Political science wana disqualify kuapply public administration and HRM Japokuwa walizisomea darasa moja na lecture mmoja pamoja na wanafunzi wa political science and public administration ambao ndyo wako more favored. Kwa hiyo kama ni ngumu kuajiriwa...
  4. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Msaada Ajira Portal NIOMBE IPI?

    Kwenye tangazo la kazi Serikalini, kuna nafasi 3 katika shirika moja, Marketing, customer service, sales, business development Kote huko nina vigezo vya kuomba, je ninaweza kuomba zote? Na nikiomba zote, ninaweza kutokea kwenye interview zote? Na je barua ya maombi IANDIKWE KWA MKONO AU...
  5. J

    JamiiForums Tanzania JF tenganisheni jukwaa la AJIRA na TENDA

    Admin JF please Jukwaa la sasa la ajira na tenda kwa kweli limejaa mambo ya ajira mengi sana kiasi kwamba kama unatafuta tenda uta scroll mpaka basi. Nashauri jukwaa la tenda liwe peke yake au lichanganywe na kazi za consultancy; Na jukwaa la ajira libaki peke yake ili watangaza ajira na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ajira portal issue

    Hivi jamanii wana wa forum Naomba niulize kitu kuhusu portal ya ajira maaana ni janga hili kwa vijana wengi,, kwanini mtu unakuwa na vigezo vyote lakn mfumo unagoma kuomba kazii? Utaweza kuta kozi yako ipo Kama kawa lkn haikubali kuapply.. Alafu pia kuna baadh ya kozi zinaingiliana mfano...
  7. Mwanakulipata

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Fani niliyosomea imegawanyika mara mbili AJIRA PORTAL

    Niende moja kwa moja, Nimesoma Ordinary Diploma in Laboratory science and Technology... Pale kwenye kuchagua kozi kuna Diploma in Laboratory science and technology na pia kuna Diploma in Laboratory technology Changamoto ni kuwa nimechagua Diploma In Science and Laboratory Technology...kazi...
  8. Tanzaniavate

    JamiiForums Tanzania Umechoka Kutafuta Ajira? Hizi Hapa Biashara 5 Unazoweza Kuanza Na Mtaji wa Chini ya 50,000 TZS

    Kutafuta ajira kunaweza kuwa jambo la kuchosha na kukatisha tamaa. Lakini inawezekana kabisa kujiajiri mwenyewe kwa kuanzisha biashara ndogo yenye mtaji wa chini. Kwa mtaji wa chini ya TZS 50,000, unaweza kuanzisha biashara inayokuwa na kukuingizia kipato. Hizi hapa ni biashara 5 unazoweza...
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nanenane inatukumbusha: Ajira ya kwanza Mwanadamu aliyopewa na Mungu

    Ajira au shughuli ya kwanza mwanadamu kupewa na Mungu ilikuwa ni Kilimo. BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. mwanzo 2:15 Ndio maana ameahidi AKUBARIKI mjini na mashambani. Kumuenzi Mungu ka maelekezo haya hakikisha pamoja na mengine Unashamba...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Exploring Ajira Portal News, Portal Ajira, Ajira Portal Jobs in Tanzania, and Ajira Jobs Portal August, 2025

    The President’s Office Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) has announced several important updates on the Ajira Portal for job seekers and stakeholders. Job Vacancies Announcements The Ajira Portal is a centralized platform designed and managed by the Public Service Recruitment...
  11. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mnaopenda ajira na mishahara, Mwamposa ana ujumbe wenu huku

    https://www.tiktok.com/@ariseandshinetanzania/video/7533525144904420664
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kati ya mtaji million 20 au ajira ya kudumu mshahara 700k, utachagua kipi?

    Wakuu, Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi. Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi Utachagua kipi mdau?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Investigator mgodini

    Tangu Serikali kupendekeza kuanzishwa kwa National Bureau of Investigation naona wale investigator wa kujitegemea wanasikilizia kuona lini itaanza kazi ili waanze kufanya application
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ajira ya ulinzi, UAE, Qatar au Oman

    Hello Members wa JF... Kama nilivyotangulia kusema kwenye kichwa cha habari. Ni kweli niko seriously natafuta agents wanaohusika na kazi za uarabuni. Niko tayari kufanya kazi za ulinzi, mashambani, bustani, supermarket au sehem yeyote rafiki. Kwa agent ambaye anahusika anitafute inbox au...
  15. Bibianna

    JamiiForums Tanzania RC Balozi Dkt Batilda Buriani: Tanga inaviwanda 4,000 ajira 65,000 zimezalishwa na viwanda hivi Wamachinga 2,300 wamepatiwa vitambulisho 1,100

    Hadi kufikia Juni 2025, mkoa una jumla ya viwanda 4,117 vilivyosajiliwa, ambapo viwanda vidogo na vidogo sana ni 4,013, viwanda vya kati ni 69, na viwanda vikubwa ni 35. Hili ni ongezeko kubwa kutoka viwanda 2,441 vilivyokuwepo mwaka 2020. Kwa viwanda vikubwa, kumekuwa na ongezeko kutoka viwanda...
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Mradi wa EACLC Ubungo kuleta ajira zaidi ya 65,000

    Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichoko Ubungo Dar es Salaam, ambacho kinatarajiwa kutoa zaidi ya ajira 15,000 za moja kwa moja, na zisizo rasmi takribani 5,000 Katika uzinduzi huo uliofanyika leo Rais Samia amesema: "Kituo...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge viti maalum mwenye umri mdogo zaidi akiomba kura aahidi kuwasemea vijana kuhusu ajira

    Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Lightness Greyson Kihombo (23), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwania mojawapo ya nafasi sita kwa upande wa Tanzania Bara. Lightness, ambaye ni mgombea mwenye...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Heche: Watanzania mjiulize, mnaifanyia nini nchi yetu ili vijana wapate ajira

    "Watanzania popote mlipo hili swali tujiulize mnaifanyia nini nchi yetu, ilimadini yetu yarudi mikononi mwetu, ili vijana wapate ajira, ili mbuga zetu zitumike kwa ajili yetu, Tunaifanyia nini? sisi wote tunafanya nini?" - John Heche, Makamu mwenyekiti CHADEMA
  19. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania UJASIRI WA KUFIKIRI UPYA: SULUHISHO LA KUDUMU KWA TATIZO LA AJIRA TANZANIA

    Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na serikali, na si kwa sababu sina uwezo, bali kwa sababu serikali nyingi hazipendi kutumia watu wenye...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited utanufaisha kwa Ajira 3,500-4000 na Kukuza Mapato ya Serikali

    Rais Samia akiwa katika uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited amesema Mradi huo uatwezesha ajira 3500 hadi 4000 huku serikali ikikadiriwa kupata kiasi cha mapato ya dola millioni miatatu sabini na tatu " Tathmini iliyofanywa inaonyesha kuwa...
Back
Top Bottom