ajira

  1. Life2

    JamiiForums Tanzania Leo wanawatumia kuandamana kesho watawatumia kwenye ajira, vyuoni na kwenye hospitali

    Ni jana tumeshuhudia wanaojiita wakatoliki feki wakiandamana kuelekea kwa Balozi Mwakilishi wa Baba Mtakatifu Tanzania. Mungu alivyokua wa Ajabu hata kabla ya Sinema zao kaamua kuwaaibisha, kwa ishara na matendo yao. Leo walioratibu huo mpango either wanatoka Serikalini au Chama cha Mapinduzi...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana uliye juu ya mawe jaribu mbinu hii. Ukikosa ajira najitoa JF milele

    Leo nitatoa mbinu moja ya kupata kazi nyepesi kwenye miradi ya Wachina. Kesho au baadaye nitatoa mbinu ya kupata kazi au kuokota kazi ya serikali kirahisi. Hata kama kuna tatizo la unemployment kiasi gani lakini tambua kila siku watu wanaajiriwa na kulipwa pesa nyingi sana. 1. Nenda play store...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza nafasi 500 za ajira nje ya nchi kwa waendesha pikipiki

    Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Kazi na Mahusiano kwa kushirikiana na Kampuni ya Kampuni ya Target Tours and Labour Surply Company Limited, imetangaza fursa za ajira kwa madereva wa pikipiki katika nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Serikali leo Jumatatu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ahadi ya serikali, ajira hewa za walimu wa economics

    Ndugu wasomaji na wanajukwaa naomba mfumo ufiche majina yangu niliyosajilia humu na hili jambo liende public tupate majibu ya serikali. Tarehe 5 Juni 2025 serikali kupitia sekretarieti ya ajira ilitangaza nafasi za ajira nyingi katika kada mbalimbali, miongoni mwake zilikuwa nafasi 850 za...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya kada mbalimbali

    Ukihutaji msaada wasiliana na 0623446608
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya Uhamiaji Tangazo La 29 Desemba 2025

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI TANGAZO LA AJIRA Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa...
  7. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Waziri Nanauka: Serikali kuanzisha kampuni laki moja na ajira Milioni moja

    Serikali imetangaza mpango wa kuanzisha Youth Special Economic Zones (YSEZ) utakaotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa lengo la kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa uzalishaji na utengenezaji badala ya uchumi wa usambazaji na uuzaji pekee. Akizungumza kuhusu mpango huo...
  8. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunapaswa kufanya hivi ili kupunguza umasikini, uhaba wa ajira na kukuza lugha ya Kiswahili

    Hapa nitaongelea vipengele viwili na vinahusiana sana, kwa hiyo naomba usome hadi mwisho I. Suala la Uhaba wa Ajira II. Ukuaji wa Lugha ya Kiswahili I. UHABA WA AJIRA Tanzania ina uhaba wa ajira kwa sababu ya uhaba wa makampuni na wawekezaji. Sio tu wawekezaji wa nje, hata wa ndani pia ni...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ajira Tanzania: Ukiritimba unaodhoofisha Nguvu Kazi ya Taifa Na mustakabali wa vijana

    Ukweli usemwe: mfumo wa ajira Tanzania Kwa sasa hauendani na kasi ya uzalishaji wa wahitimu (graduate output) wala mahitaji halisi ya maendeleo ya taifa. Mfumo wa Ajira Online alimarufu "AJIRA PORTAL" kwasasa unafanya screening, sio placement nikiwa na maana unachuja badala ya kulinganisha sifa...
  10. Soul21

    JamiiForums Tanzania MAPENDEKEZO: MFUMO WA "VIWANDA VYA AJIRA" KWA WAHITIMU WA UHANDISI NA UFUNDI

    Tanzania inazalisha maelfu ya wahitimu wenye vipaji katika fani za uhandisi, ujenzi, na usanifu majenzi kila mwaka. Hata hivyo, kuna changamoto mbili kubwa: uhaba wa ajira kwa vijana hawa na utegemezi mkubwa wa makampuni ya nje katika kutekeleza miradi ya miundombinu. Pendekezo hili...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hadaa ya ajira au ni kweli!

    Kuna ajira zimetangazwa na Public Service Recruitment Secretariat juzi ambazo zinaendelea kufanyika?????. My worries, isije kuwa mbinu ya kuwapoza GenZ kuwapotezea watu muda na fedha...maana hawa hawaaminiki tena! Ngoja tusubiri
  13. H

    JamiiForums Tanzania AJIRA ZA ELITE HOME TUITION ZITAKUA ZINAPATIKANA HAPA

    ATTENTION. ATTENTION ATTENTION ATTENTION Tunahitaji walimu wa home tuition services. Maeneo malombali 1.Mwalimu wa historia na Geography(awe mmoja) Mwalimu wa grade1(awe.mmoja) Mqalimu wa physics advance(awe mmoja) Location:Mwanza buswelu busenga. 2.Mwalimu wa physics,chemistry,&bios(mmoja)...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali: Utumishi wasizuie vijana wanaoomba ajira kwenda kwenye usaili kisa hawajalipia leseni, hiyo sio Haki

    Mpo Salama! 1. Kuna baadhi ya Kada kama Kada ya afya wanatakiwa kuwa na Leseni. 2. Kuna waomba ajira zaidi ya mmoja walinitumia ujumbe ili niufikishe huku wakiomba Msaada wa serikali katika changamoto ya kuomba ajira kupitia mfumo wa Ajira portal 3. Vijana hao wote ni Clinical Officers ambao...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kesho yatakuwa mazuri zaidi maana wasiokuwa na ajira hawana cha kupoteza

    Kesho ndiyo kutakuwa na mtiti wa ukweli maana wale wote wanaozarauliwa na serikali ndiyo watakaokuwa barabarani halafu hawana cha kupoteza ngoja tuone
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ajira nyingi ajira portal leo

    Kwa changamoto wasiliana na 0623446608
  17. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ajira ya kazi ya kibarua kwa muda wa miezi 6 hadi mwaka mmoja malipo 12000 kwa siku

    Habari JF Kuna kazi kwa vijana wa kiume 10 wanahitajika Mahali pa kazi ni Dar es salaam Vetenari Aina ya kazi ni kusaidia mafundi wa mechanics kuna ujenzi wa kiwanda unaendelea utakaochukua muda kati ya miezi 6 hadi mwaka au zaidi kulingana na kukamilika kwa mradi, kwahiyo ni kazi ya uhakika...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Serikali Inacheka, Watu Wanalia! Vijana Tumekosa Ajira, Lakini Mfumo Uko Tu Huko Ujinga!

    Hey wana JF, leo nataka tuongee ukweli mchungu kuhusu hali ya ajira kwa vijana na hizi system zenye kutufanya waogope zaidi kuliko ilivyo sasa. Serikali ya Tanzania imekuwa inajifanya kila kitu kipo sawa lakini ukweli ni kwamba vijana wengi wanateseka. Serikali inatupeleka wapi na hizi sera...
  19. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 8. “Uchumi wa JKT usingetoa ajira - ungezaa UTAIFA.”

    Watu wengi hawajui kwamba ajira ni kitu kidogo sana ukilinganisha na utengenezaji wa utaifa. Taifa halijengwi na mishahara, halisimami kwa posho, halihifadhiwi na mabango; taifa linajengwa na umoja wa fikra, nidhamu ya kufanya kazi, na maono ya pamoja. Na JKT - ile ya mwalimu, si hii kambi ya...
  20. Nzi Chuma

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mwajiri, tangaza ajira yako nasi hapa BURE

    Kama wewe ni mwajiri na unatamani kuajiri kisasa kabisa, tembelea website yetu www.kazilink.co.tz na utangaze kazi yako.. Platform hii pia itakusaidia kuweza kuona walioomba kazi kupitia account yako ya mwajiri na kuwaita kwenye interview moja kwa moja kwenye mfumo. Jisajili as employer na...
Back
Top Bottom