ajira

  1. JamiiForums Tanzania Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

    Wana JamiiForums habari za leo Nimeona nilete Uzi huu kwanii yamebaki Masaa machache waziri mwenyedhamana kutangaza majina ya waliopata kazi kulitumikia Taifa katika kada yavualimu na kada ya afya. Hivyo basi wale mtakao fanikiwa njooni hapa tujuzane . ili uweze kupata mwenzio, .au wa njia...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ajira port lakini kila nikiomba naambiwa failed

    AJIRA PORTAL NINA ACADEMIC QUALIFICATIONS ZINAZOKIZI LAKINI KILA NIKI APPLY NAAMBIWA FAILED? Mwenye uzoefu naomba anisaidie Kama Ni professional qualifications pia naomba kujua kwa watu wa education KIPENGELE Cha professional qualifications inatakiwa kujaza vitu gani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ajira sekta binafsi vs ajira za umma

    Observation hii nimeifanya kwa muda mrefu, nimeongea na watumishi waliojiriwa na kufanya kazi private sector Kisha wakajiriwa serikalini, waliofanya kazi maisha yao yote private sector na wafanyakazi waliojiriwa serikalini kisha wakajiriwa private sector na waliojiriwa na kufanya kazi maisha yao...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications kwenye ajira portal

    Wakuu Naombeni tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications na Nini napaswa ku attache kwenye ajira portal
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama aagiza utekelezwaji wa ajira mpya kuanzia Julai, 1

    Akichangia hoja ya Utoshelevu wa Watumishi wa Umma na mifumo ya ajira nchini Bungeni leo, Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameagiza Sekretarieti ya Ajira kutangaza vijana waliofaulu usaili wa ajira za utumishi wa Umma na Julai 1, ajira zote mpya zianze...
  6. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuna shida sana kwenye mfumo; mfumo hauruhusu watu kuomba kazi pamoja na kuwa na vigezo

    Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa? Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe...
  7. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza nafasi 221 za ajira katika kada mbalimbali

    Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira. Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali. Wenye sifa nafasi hii. Hivi lilikuwa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Tamisemi ongezeni Project Management Professional (PMP) kwenye Ajira Portal

    Kwenu tamisemi Nawaomba muongeze hii certification kwenye portal yenu na iwe muhimu/lazima mnapotaka kuajiri watu wanaoenda kusimamia miradi. Hii certificate inatolewa na Project Management Institute (PMI) ya Marekani kama standard ya dunia nzima kwenye usimamizi wa miradi. Itaongeza sana...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kufika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, UDOM

    Wakuu habari, Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala Sabasaba. Asante sana 🙏
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hawa TAMISEMI vipi? Mbona ajira ya walimu ni kimya na akaunti za waombaji zote wamezifunga

    Hawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi Walinzi wa kukaa Getini nao ni Expert?

    Kwa uelewa wangu mdogo huwa najua kwamba watu wanao takiwa kupewa vibali ya kazi na uhamiaji ni wale Expert tena na wao ni kwa muda fulani, lakini nashindwa kuelewa pale napo kutana na walinzi wa getini kwamba nao ni Expert na wametolewa Asia huko. Wafanya kazi za ndani wapo walio letwa kutoka...
  12. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kw hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?

    Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kwanini hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry? Serikali ilipokua inaanzisha hizi kozi ililenga watu hawa waajiriwe kwenye taasisi zilizojikita zaidi kwenye mambo ya mafuta na gesi. Sasa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma kuendesha usaili siku ya ibada Jumapili

    Huku ni KUPITILIZA na tunasema HAIKUBALIKI KABISA. Haiingii akilini watu na akili zao kuamua kutokuheshimu kwa makusudi imani ya watu ambao wanapaswa kuwa kwenye ibada KANISANI na kuipanga siku hiyo kuwa ni siku ya kuwasaili waombaji wa ajira. Ina maana wanaoendesha usaili huu kama ni wakristo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 90 wa Kimataifa wa Kazi umetangaza Juni 12 kila mwaka kuwa "Siku ya Dunia dhidi ya Ajira kwa Mtoto"

    Mkutano wa 90 wa Kimataifa wa Kazi unaofanyika mjini Geneva umetangaza Juni 12 kila mwaka kuwa "Siku ya Dunia dhidi ya Ajira kwa Mtoto", na kuzitaka nchi zote duniani kutoa kipaumbele kwa tatizo la utumikishwaji wa watoto na kuchukua hatua halisi na zenye ufanisi za kutatua tatizo hili.
  15. JamiiForums Tanzania Fursa ya Ajira ya IT

    Abraar Computer Class. Fursa ya ajira ya kudumu. Kuna nafasi ya ajira ya Mwalimu wa kufundisha "short courses" za Basic Computer Applications. Mwalimu awe na uwezo wa kufundisha kwa vitendo (practical) kwa aslimia 90 na theory asilimia 10, kuanzia watoto wadogo mpaka watu wazima adult...
  16. JamiiForums Tanzania ILO: Umasikini unachangia tatizo la ajira kwa Watoto

    Bila kuwepo Mikakati, Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa, Idadi ya Watoto wanaotumikishwa inaweza kuongezeka kwa Milioni 8.9 ifikapo mwisho wa 2022, kutokana na umasikini pamoja na kuongezeka kwa mazingira magumu Hali ya Ajira kwa Watoto inatajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wakiwa waaminifu, na wakawa wanajituma ipasavyo bila kudokoa dokoa (kuiba iba), tatizo la ajira litakuwa halipo

    Watu wengi wanatamani kuanzisha biashara mbalimbali, zenye mitaji ya maelfu, laki, mamilioni n.k Changamoto inakuja, ni nani wa kumuajiri; au ni nani wa kusimamia hiyo biashara. Inapotokea ameajiriwa kijana; yule kijana anaanza kuhujumu biashara, kuiba kidogo kidogo ili aende akaanzishe ya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa uandishi wa anuani kwenye maombi ya kazi kwa mfumo wa Ajira Portal

    Hello mambo zenu. Naomba kuuliza, ivi ukiwa kwenye mfumo wa kuomba ajira kwenye portal katika ku apply kazi, zile barua tunazotakiwa kuandika address ya muandikiwa tunaweka ipi? Mfano hapa unaomba ajira EMPLOYER Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI) Kwahyo address tunajaza ya muhimbili au...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ulezi wa wanyama Kenya: Fursa mpya ya ajira Kenya

    Kwa wale wanaopenda wanyama,nchini Kenya kuna fursa kubwa ya kulea wanyama kama paka na mbwa. Malipo ya kazi hii ni shilingi 1000 ya Kenya sawa na shilingi 18000 ya Tanzania kwa saa. Kazi ya mlezi wa mnyama ni kumpa chakula ,kucheza naye, kumsafisha na kumpeleka hospitali mnyama Kabla...
  20. JamiiForums Tanzania Waombaji wa ajira hii imewaHi kuwakuta? Je mlitatua vipi?

    Niko naomba nafasi ya assistant Nursing officer, sifa inayotakiwa ni An ordinary diploma in nursing, cha kushangaza nimeomba sehemu moja tu ya bugando, sehemu nyingine eti naambiwa sina sifa, tazama 👇👇 Sifa zinazotakiwa Mimi Qualification nilizonazo na ambazo nimejaza kwenye akaunt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…