ajira

  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Ajira na vijana baada ya elimu

    AJIRA NA VIJANA BAADA YA ELIMU Vijana ni kundi linalochangia maendeleo ya uchumi katikataifa. Yapo makundi mbalimbali ya vijana katika taifa letu ilanitayagawanya katika makundi matatu. Kundi la kwanza kuanzia miaka 18 hadi 25 kundi hili linapatikana katikaNyanja mbalimbali za elimu kwa mfano...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo kama suluhu kwa changamoto ya ajira kwa vijana, wahitimu wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania

    Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Zaidi ya asilimia 77 ya wakazi wa Tanzania ni vijana. Serikali ya Tanzania imezidi kupanua wigo kwa vijana kupata elimu, kwa kutoa elimu bila malipo kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita. Pia imewawezesha wahitimu kuendelea na elimu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuinua uchumi wa taifa na kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa kuwekeza katika maeneo ya Teknolojia, Viwanda na Kilimo

    Kuandaa vijana kwa manufaa ya taifa katika nyanja kuu tatu tekinolojia, kilimo na viwanda ili kukuza uchumi wa taifa na raia wake. Hoja kuu, kutokana na ongezeko la watanzania wengi wanaomaliza Elimu ya msingi na sekondari na kuelekea kuwa na wahitimu wengi wanamaliza na taifa kushindwa...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Sensa, na Mitazamo ya Jamii Ajira fupi za Sensa

    Sensa na mitazamo ya jamii ajira fupi za Sensa. Imeandikwa na: K.Masanja DIBAJI Katika kipindi hiki ambacho nchi yetu pendwa inapoelekea katika utekelezaji wa sensa ya watu na makazi ya awamu ya sita na utaratibu wake ambao hufanyika kila baada ya miaka kumi, Makala hii inalenga si tu kutoa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto ya Elimu na Ajira Tanzania

    Kwenye kutazama tazama huku na kule jicho la mwandishi limetua kweneye suala hili linaloikumba sana jamii yetu ya Tanzania. Na suala leyewe lililogusa jicho la mwandishi si jingine ni suala la elimu na ajira katika nchi yetu pendwa ya Tanzania.. Picha kutoka mtandaoni Elimu katika nchi yetu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukosefu wa ajira unavyotoa fursa kwa wapigaji (matapeli)

    UKOSEFU WA AJIRA UNAVYOTOA FURSA KWA WAPIGAJI (MATAPELI) Kila mwaka vijana maelfu kwa maelfu wanahitimu vyuo vya kati pamaoja na vile vya elimu ya juu. Kundi hili ni wale wahitimu wa fani mbalimbali kama vile mafundi, walimu, madaktari, wahasibu, mahakimu, nakadharika. Wahitimu hawa, wanahitimu...
  7. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ajira zipo lakini ni ngumu kumeza. Mapinduzi kwenye Elimu yanahitajika

    Ni Tanzania, mahala ambapo rasilimali zimezagaa lakini hakuna anaejua namna ya kuzifaidi. Watoto wanapelekwa darasani ili waweze kutwaa maarifa yanayoweza kuwasaidia kunufaika na rasilimali lakini nani ajuaye kuwa hata yule mwalimu amfundishaye mtoto nae hajui namna sahihi ya kutwaa utajiri huo...
  8. JamiiForums Tanzania Ajira za Maofisa wa Sensa ni kwa Koneksheni. UVCCM kupewa kipaumbele

    Hatutaongeza neno ili kuepusha migongano , Jisomee mwenyewe Majina yenyewe ni haya hapa
  9. I

    JamiiForums Tanzania Sisi tusio na ajira tuko radhi mtuajiri hata kwa laki moja kwa mwezi

    Nawashangaa Sana hii mifanyakazi ilivyo mibinafsi. Sisi wengine hawatufikirii kabisa inajifikilia yenyewe. Mama achana nao kwanza walipata prevelege ya kuajiriwa tu na siyo lazima tuko wengi tusio na ajira na tuko tayari hata kujitolea. Toa hiyo mifanyakazi inayotaka milion. Sisi hata laki...
  10. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania inavyoweza kuondokana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana

    Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia hatua ya kusema ni bomu linalojiandaa kulipuka. Kwa vyovyote vile kuna haja ya kulipa kipaumbele suala...
  11. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna ambavyo kilimo kinaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini

    Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia hatua ya kusema ni bomu linalojiandaa kulipuka. Kwa vyovyote vile kuna haja ya kulipa kipaumbele suala...
  12. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ili kupunguza ukosefu wa ajira, bodi ya mikopo itoe mikopo ya kujiajiri kwa wanachuo wahitimu wanaotaka kujiajiri

    Hello wadau wa JF, Nimekuja kuwashirikisha wazo ambalo likifanyiwa kazi linaweza likaleta mabadiliko makubwa kwa watanzania. Andiko langu limelenga katika sekta ya elimu kwa sababu ya imani yangu juu nchi yetu yenye Mali nyingi na wasomi wengi lakini tunaishi kimaskini. Licha ya kwamba elimu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujamaa(ubuntu) na ajira ya muda ni mkombozi wa uchumi wa Vijana kuelekea kwenye uchumi wa Kitaifa na kujitegemea

    UTANGULIZI. Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU). Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555) Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo. Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
  14. JamiiForums Tanzania Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

    Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara! Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini? Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa? Hili li taasisi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

    Siyo kila mwajiri huwa anahitaji watu nguli katika fani! Kutokukizi vigezo ni moja ya CV inayoangaliwa zaidi na baadhi ya waajiri hususani nchi za afrika! Nawakumbusha Vijana wakati mnapojitutumua kupandisha mabea CV mkumbuke pia hata CV mbovu na dhaifu INALIPA ZAIDI! Hii mada haihusiani na...
  16. JamiiForums Tanzania Kulingana na itifaki ya sensa nawaza Je hili linasemaje maana kukaa bila ajira kwa kijana ni kulemaza uwezo wa kufikiri....

    Nipo mkoa wa kilimanjaro , kata niliyoombea nafasi ya ukarani wa sensa , yaani people zilikuwa ni 400+ plus sasa kwa idadi hiyo inanifikirisha kuwa nafasi ya kuchaguliwa ni finyu, mie na conclusion yangu hapa kuanzia jumatatu ntazunguka wilaya hizi za HAI na ROMBO , ili nika jaribu kuulizia...
  17. JamiiForums Tanzania Mchakato wa Kuomba Ajira za Sensa Umetuonyesha kuwa bado Mifumo yetu ya ajira nchini ina changamoto kubwa sana

    Mifumo yetu ya ajira bado ina changamoto kubwa sana. Mchakato wa kuomba ajira za uandikishaji wa sensa 2022 umedhihirisha hivyo. Kwanza lazima Serikali ipongezwe kwa kuajiri vijana wengi ambao hawana ajira, lakini mfumo mzima wa ajira umeonyesha mapungufu kadhaa kama vile: (1) Kusahaulika kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Watumishi kutemwa kwenye ajira za Sensa 2022 ni jambo la afya sana

    Tuwe na huruma ndugu zangu, tusiwe na mioyo migumu kama korosho. Maelfu ya vijana wapo mtaani hawana ajira, wewe mtumishi wa umma , sekta binafsi ama uliye na biashara zako unang'ang'ana kuomba hizo ajira za muda mfupi (Siku 21 hadi 35)! Huna aibu? Serikali imefanya jambo jema sana. Watumishi...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenye ajira na asiye na ajira kwenye zoezi la Sensa 2022 - itumike haki au busara?

    Nisiku nyingine tena, Kuna walioamka na hasira huku wengine wakiamka na furaha. Ndio, nazungumzia watu waliokuwa kwenye foleni za usaili wa ajira za muda katika zoezi la sensa. Binafsi nilishiriki usaili huo Kama msailiwa niliyeomba moja Kati yanafasi zilizotangazwa. Wakati unasubiriwa muda...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Utatuzi wa kizungumkuti cha ajira na maslahi kwa Watumishi wa Umma chini ya Rais Samia

    Katika zama hizi za mapinduzi ya sayansi na teknolojia moja ya changamoto kubwa Katika nchi zinazoendelea haswa barani Afrika ni suala la ajira na maslahi kwa watumishi. Hili suala limekuwa ni kizungumkuti au kitendawili kisichokuwa na majibu. Viongozi wengi suala hili la ajira kwa vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…