ajira

  1. JamiiForums Tanzania Namna ya kutuma maombi ya ajira TAMISEMI kwa waombaji wapya na wale waliowahi kuomba

    Wakuu napenda kuomba msaaada namna ya kutuma haya maombi ya ajira mpya ,je anwani za barua ni zipi?na kwa walioomba awali wanatumia mfumo upi asnth
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kila siku mabasi mapya yanaingia bongo lakini hutosikia tangazo la nafasi za kazi, hizo ajira wanawapa akina nani?

    Habari wakuu! Nadhani kwa kipindi hiki wengi mnaelewa katika tathnia ya usafirishaji abiria (mabasi) kumekuwa na ushindani mkunwa sana. Yaani katika ushindani huo imefikia kipindi watu wanaingiza mabasi nchini kwa wingi kuliko kawaida, lengo ni kuweza kuhimili ushindani huo kwa kuboresha huduma...
  3. JamiiForums Tanzania Katika hizi Ajira Mpya za ualimu TAMISEMI Mtu aliyesoma masomo ya arts tofauti na kingereza hizi nafasi hazimuhusu?

    Nimesoma PDF ya Tamisemi nimeona watu wa arts wamepigwa k.O Na K.T.O Sasa hii imekaaje naona English ndo wamepewa nafasi tu.
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
  5. JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI

    Hakikisha una upload vyeti ambavyo ni certified ( Vyeti vyenye muhuri wa Mwanasheria ) Cover Letter ( Barua yako ya maombi ) inakuwa na sahini yako chini/mwishoni mwa barua.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023 ====== Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, idadi ya watumishi...
  7. JamiiForums Tanzania Nawezaje kukuza kipato nje ya ajira?

    Wadau habari za muda, Mimi ni kijana wa Kitanzania, ninaomba mnisaidie mawazo yenu. Nilikuwa nimewekeza pesa zangu kama 30m kwenye mfuko wa UTT Amis, sasa faida ipo ila sio kubwa sana maana ni kama 300k kwa mwezi. Sasa ninataka nianze biashara maeneo ya Kanda ya Ziwa. Biashara gani ninaweza...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa ajira, makosa ni ya Serikali, Jamii au mtu mwenyewe?

    Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya. Kwa vyovyote vile, hali hii si nzuri kwa ustawi wa mtu mmoja mmoja, jamii au taifa. Suala la kazi au...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Taasisi na Mashirika wafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

    Kutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI. Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa diplomasia jk kipindi Cha uongozi wake jinsi michakato ya ajira ulivyokuwa inafanyika, watu walikuwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira Mkoa wowote

    Habari zenu. Naitwa Steven Godlsten Natafuta ajira Mkoa wowote ajira ya halali... Elimu yangu ni Kidato cha Nne. Mofisini, Kampuni, Madukani hata Mashirika pia Mimi niko Mkoa wa Kilimanjaro.
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa mashirika ili kuongeza ajira kwa Watanzania. Kuua mashirika ni kuua ajira

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mimi Meneja Wa Makampuni naomba kuzama kwenye mada moja kwa moja: Nashauri tu: Kama serikali imeshindwa kuendesha baadhi ya mashirika kama TTCL, basi tumpe mwekezaji ili afanye biashara kwa faida huku akitengeneza ajira na kuiletea Serikali mapato. Tunaweza...
  12. JamiiForums Tanzania NIDA yakanusha kutangaza nafasi za ajira, tuepuke matapeli

    Kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya wananchi hususani kutoka Zanzibar kupigiwa simu na watu wasiowajua wakiwafahamisha kuwa wanatafutwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili waajiriwe na kuwataka wananchi wanaowapigia simu wawatumie tarifa zao na pesa ili kuwasaidia kupata ajira...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ajira za posta clerk zenye deadline tarehe 02/03/2023 majina ya wasailiwa yanatoka lini?

    Jaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo ilipangwa deadline kuwa tarehe 02/03/2023 lkn hadi leo tarehe 03/04/2023 hamna jambo.hivi...
  14. JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ilizingatie hili katika ajira kwa maafisa watendaji wa Serikali za vijiji na mitaa

    Huku ndiko kwenye mashina ya wananchi, ndipo wanapokutana na wananchi moja kwa moja kutatua changamoto zao. Kama vile migogoro ya ardhi, familia na kimkataba. Lakini serikali inatuletea mabinti wadogo wadogo, kweli kuja kusikiliza migogoro ya ndoa, familia na kiuchumi kweli? Wanasikiliza na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mambo ya ajira online

    Aisee kwanza habari za asubui, niwapeni mikasa ya ili jambo la kuomba ajira mtandaoni. Kumbuka hapa siongelei ajira portal wala Taesa wala makampuni yenye kutangaza kazi. Naongelea ile mtu kapost kuna nafasi ya ajira ameweka namba umtafute labda whatsapp au sms. Jumlisha na wale wa kutoa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kuomba ajira online

    Aisee kwanza habari za asubui, niwapeni mikasa ya ili jambo la kuomba ajira mtandaoni. Kumbuka hapa siongelei ajira portal wala Taesa wala makampuni yenye kutangaza kazi. Naongelea ile mtu kapost kuna nafasi ya ajira ameweka namba umtafute labda whatsapp au sms. Jumlisha na wale wa kutoa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa ajira

    Habari zenu, Nimerudi tena baada ya kutafuta ajira bila mafanikio . Mimi ni kijana wa miaka 21. kazi katika Mashirika, Makampuni, Viwandani Maofisini na Madukani... Elimu yangu kidato cha nne
  18. JamiiForums Tanzania Sales and Marketing Officer at Kenan Properties

  19. JamiiForums Tanzania Nimepata ajira ambayo PAYE yake ni zaidi ya mshahara wa serikali nilioenda kufanyia interview Dodoma

    Mwaka jana mwezi September nilienda usahili pale utumishi Dodoma na niliweka mrejesho hapa. Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya Kimsingi mimi kama expert (niko internationally certified) sikupenda aina ile ya interview kuulizwa masuala ya...
  20. JamiiForums Tanzania Subject of e-mail and body of e-mail

    Je, Unatumaga Maombi ya kazi/ujumbe/document kwa njia ya Email na huweki Subject na body of Email? Je, Umetuma maombi mengi ya kazi kwa njia ya Email na hujapata majibu? HII HUENDA NDIO SABABU KUBWA YA BAAZI YA MAOMBI YAKO KUTO JIBIWA... "KUTO KUWEKA SUBJECT NA BODY OF EMAIL" - Nikosa kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…