ajira

  1. JamiiForums Tanzania MSAADA: Natamani kuwa Tutorial assistant Nina GPA YA 4.1 lakini ajira portal inanikataa msaada

    Habari wadau Naamini hili jukwaa ni kubwa saana Na Lina wataaluma au wahusika wa ajira portal. Nina Ndugu yangu anaomba msaada hii ajira portal inamzingua kwanza kabisa amejaza tarifa zake zote na Ana 97% Ila Ina mgomea Taarifa binafsi yeye amemaliza chuo KIKUU na Ana GPA Ya 4.1 program yake...
  2. JamiiForums Tanzania Ili kutunza maadili ya waajiriwa wapya, nashauri pia ufanyike usaili wa online content za waomba ajira ili kuona nini wanapost mitandaoni

    Ni vyema wasailiwa pia wachunguzwe kwa kupitia online content zao, Kuna suala la maadili Sasa limekuwa changamoto. Walioomba kazi pia wachunguzwe mambo wanayopost mitandaoni kama yanakidhi kimaadili. Baadhi wanapost mambo ya ngono halafu wanaomba nafasi za ualimu, wakakae na wanafunzi wetu, ni...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: ajira portal

    Naomba kuelekezwa namna ya kutiki/ kuweka mshale wa declaration.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge anataka uwazi kwenye ajira Bila kutafakari mfumo wa uwazi katika Teuzi za Rais?

    Usiri uliopo kwenye ajira Tanzania unatokana na usiri uliopo katika mfumo wa uteuzi. Kama wakubwa wanapatikana Bila kuwepo mfumo rasmi basi hata wadogo nao watapatikana Kwa usiri mkubwa. Kama tunataka uwazi katika ajira na kama tunataka ajira ziwe by merits basi tumshauri Mhe. Rais afanye...
  5. JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI 21,200 Kila Halmashauri Inaweza Kupata Nafasi 115 kama Zikigawiwa kwa Usawa

    MHE. EZRA CHIWELESA - AJIRA 21,200 KILA HALMASHAURI INAWEZA KUPATA WATUMISHI WAPYA 115 KAMA ZIGAWIWE KWA USAWA Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhe. Eng. Ezra Chiwelesa ameunga mkono hoja na kuchangia katika bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora. Mhe. Chiwelesa amesisitiza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Heko mbunge Katani kwa kutetea ajira za wahifadhi & Askari wanyamapori

    Wasalaam , Hongera mhe Mbunge kwa kutetea tatizo kubwa la ajira hapa nchini hasa ktk Wizara ya Maliasili wakati akichangia Wizara ya Utumishi & Utawala Bora kwamba tatizo la ajira nchini limekuwa janga kubwa ambalo viongozi na watawala wamekuwa hawalipi uzito na umuhimu wake na hasa kigezo cha...
  7. JamiiForums Tanzania Unadhani vijana wakipewa mikopo ya biashara, itaondoa tatizo la ajira Nchini?

    Habari wanajukwaa.... karibu uchangie hii mada kwa leo inakujia mara moja kwa week. #FUNGUKA. .......
  8. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mradi wa Barabara ya Mzunguko umezalisha ajira kwa watu zaidi ya 1,000

    Mradi wa Barabara ya Mzunguko Mkoani Dodoma una urefu wa Kilometa 112.3 na umegawanyika katika sehemu mbili. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu anasema sehemu ya kwanza ya Mradi huo inaanzia Nala – Veyula - Mtumba hadi Bandari Kavu ya Ihumwa na urefu wake ni Kilometa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi na watu wenye uelewa wa ajira na utumishi wa serikali naomba ushauri

    Kuna jamaa yangu ni mtumishi wa serikali kajiriwa kama mwalimu na kituo chake cha kazi ni halmashauri x na shule x , ana degree ya uhasibu na postgraduate diploma ya ualimu, hivyo kigezo alichoingilia kazini na kumpa ajira ni postgraduade diploma na sasa yupo daraja E anaenda daraja F...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au internship nimesoma MECHANICAL ENGINEERING

    Habari ndungu zangu Nimehitimu shahada ya Mechanical Engineering. Naombeni msaada kupata kazi au internship maana nimeshazunguuka sana maofisini kuomba kazi bila mafanikio.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ajira elfu 13 mpaka Sasa maombi ni laki nne

    Tukiwaambia JPM aliharibu nchi nyie sukuma gang muwe mnaelewa. Chukumia mfano tu huu am ambapo JPM miaka yake yote haajiri Wala kupandisha madaraja lakini kila siku anatupiga fix eti tuko uchumi wa kati. Sasa angalia madhara yake karundika magraduates mtaani kiasi ya kwamba mama anastrugle sana...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Serikali kuajiri watumishi 30,000 mwaka huu

    Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay.
  13. JamiiForums Tanzania TIC yasajili miradi ya trilioni 3 ndani ya miezi mitatu, kuzalisha ajira 16,440

    Kituo cha Uwekezaji kimesema kimesajili miradi 93 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 1.2 sawa na Sh trilioni 2.814 za Tanzania katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka huu wa fedha. Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Gilead Teri ameeleza hayo katika ripoti ya uwekezaji ya kila mwezi ya TIC kwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wajipanga kufanya Maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa kutoa Maelfu ya Ajira

    Ndugu zangu Watanzania, Vijana kwa umoja wao na kwa kujitambua pasipo kushinikizwa na mtu wanapanga mikakati ya kufanya maandamano ya Amani Nchi nzima Kumpongeza Rais wetu mama Samia suluhu Hassani kwa namna alivyo fanya kazi kubwa ya kutengeneza na kutoa maelfu ya ajira kwa vijana ndani ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niweze kutuma maombi ya ajira Serikalini?

    Salam wakuu.kuna ndugu yangu amehitimu chuo cha ualimu kwa level ya shule za msingi miaka mitatu iliyopita na sasa kwa zaidi ya miaka miwili anajitolea kwenye shule fulani huo mkoani. Changamoto iliyopo tangu ajira zimetangazwa mara ya kwanza na hata sasa ameshindwa kuomba kutokana na...
  16. JamiiForums Tanzania Namna ya kutuma maombi ya ajira TAMISEMI kwa waombaji wapya na wale waliowahi kuomba

    Wakuu napenda kuomba msaaada namna ya kutuma haya maombi ya ajira mpya ,je anwani za barua ni zipi?na kwa walioomba awali wanatumia mfumo upi asnth
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kila siku mabasi mapya yanaingia bongo lakini hutosikia tangazo la nafasi za kazi, hizo ajira wanawapa akina nani?

    Habari wakuu! Nadhani kwa kipindi hiki wengi mnaelewa katika tathnia ya usafirishaji abiria (mabasi) kumekuwa na ushindani mkunwa sana. Yaani katika ushindani huo imefikia kipindi watu wanaingiza mabasi nchini kwa wingi kuliko kawaida, lengo ni kuweza kuhimili ushindani huo kwa kuboresha huduma...
  18. JamiiForums Tanzania Katika hizi Ajira Mpya za ualimu TAMISEMI Mtu aliyesoma masomo ya arts tofauti na kingereza hizi nafasi hazimuhusu?

    Nimesoma PDF ya Tamisemi nimeona watu wa arts wamepigwa k.O Na K.T.O Sasa hii imekaaje naona English ndo wamepewa nafasi tu.
  19. JamiiForums Tanzania Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
  20. JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI

    Hakikisha una upload vyeti ambavyo ni certified ( Vyeti vyenye muhuri wa Mwanasheria ) Cover Letter ( Barua yako ya maombi ) inakuwa na sahini yako chini/mwishoni mwa barua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…