Ajari (阿闍梨) is a Japanese term that is used in various schools of Buddhism in Japan, specifically Tendai and Shingon, in reference to a senior monk who teaches students; often abbreviated to jari. The term is a Japanese rendering of the Chinese transliteration for the Sanskrit "âcârya," one who knows and teaches the rules." In the Sōtō tradition, this title is used in reference to any monk that has completed five ango—a way of demonstrating respect and reverence for them.
Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji...
Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi
Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa...
Treni ya Mwendokasi (SGR) imeripotiwa kuacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo ikiwa inatokea Jijini Dar es salaam kuelekea Dodoma ambapo Abiria wawili walioongea na AyoTV wamesema hawajamuona yeyote aliyejeruhiwa isipokuwa ni hofu tu iliyowapata wachache...
Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni.
Ile ambulance 🚑 kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa.
Ila mwishoni tukaona inaondoka kama imefukuzwa ma king'ora juu.
Ni juzi tu hapo, wkt mgombea urais kwa tiketi ya ccm...
Naomba serikali ifanye jambo hapa.
Ajali huwa hazitokei bahati mbaya.
Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani.
REJEA ANDIKO HILI...
Kuna Ajari Mbaya imetokea Jana huko Congo, nje kidogo ya Lubumbashi, township Ndogo inaitwa Likasi.
Kuna rafiki yangu Mcongo Man anaishi hapo Likasi, na vile Roli lilikua linaendeshwa na Dereva Mtanzania, huyu Rafiki yangu akaona anipe taarifa ili nijaribu kuwahabarisha pia.
Kuna picha ambazo...
Hatma ya Tanzania iko juu ya watanganyika na wazanzibar, lakini athari za kisiasa inaweza kuwa doom day kwa Tanzania.
Lakini kanuni ya asili itaamua mustakabali wa Tanzania,itaacha kiashiria cha hatari juu ya watanganyika na wazanzibar,lakini kanuni ya asili sio matokeo ya kisiasa wala kiuchumi...
Leo asubuhi nikiwa njiani nimeona ajali Moja eneo la ilula na nikiwa nimetulia napitia mitandao nimekutana na picha za ajali Ile. Ukiangalia Ile ajali Ile fuso ilikuwa imeharibika , na jamaa wa fuso walikuwa waungwana wameweka alama zote muhimu barabarani kujua huko mbele unaenda kukutana na...
Namna inayoweza kupunguza ajari kwenye barabara zetu.
Barabara zetu nyingi zenye viwango vya lami, Zimewekwa alama za barabarani zinazosaidia kuongoza watumiaji wake wa vyombo vya moto, lakini watumiaji wengi hasa wa madereva wa magari hawazingatii alama hizo.
Kwa mfano ajali nyingi...
"""Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani!
Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
Watu tisa(9) wafariki papohapo na wengine 19 kujeruhiwa vibaya baadhi yao baada ya basi kampuni ya Lujiga walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza kugonga Loli kwa nyuma lililokuwa limeegesha barabarani kwa kuharibika.
Ajali hiyo imetokea wilayani Iramba leo alfajiri 10:30...
Wakuu habari!
Leo nikiwa barabarani niliona magari mawili yaliyotaka kugongana uso kwa uso ghafla likanijia wazo ambalo limenisukuma kuandika uzi huu namna ya kuzuia ajali kama hizi.
Picha nmetoa mtandaoni
Kikawaida ncha mbili za sumaku zikikutana hukwepana, mfano angalia hapa chini kwenye...
Ndugu zangu jana nilipata Ajari na pikipiki yangu nikiwa na abiria wangu {pole sana boss lady hope unendelea vizuri} ajari hiyo niliipata pale Sinza africa sana...kuna gari ilipoteza break ikagonga bajaji, bajaji ikapoteza uelekeo nikajikuta nagongana nayo uso kwa uso.😭😭😭
Ndugu zangu wamiliki...
Wakuu,
TAKUKURU kama Haina kazi. Rushwa ni Kila sekta.
Nikiwa Rais maofisa wa TAKUKURU wenye miaka 40 kwenda juu nitawastafisha Kwa manufaa ya umma. Walio chini ya umri huo wanaenda depo la jkt mwaka mzima wakalime na kupata uzalendo. Wakifuzu wanahamishiwa halmshauri kwenda kupangiwa majukumu...
Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP.
===
Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega.
Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo...
Wakuu habari, kama mmeona sikuwa active hapa online, hata kwenye simu kwa wale mliokuwa na my contacts since March.
Nitaelezea one day ilikuaje but kwa wale mnaofatilia habari mtakuwa mliona this year March ilitokea ajali mbaya sana ya treni ya Tazara, mtu aliyegongwa it was me, na nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.