ajali ya basi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga: Tunamtafuta ndugu wa Mtoto ambaye Mama na Kaka yake walifariki katika ajali ya basi

    TAARIFA KWA UMMA Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga inawatafuta ndugu au jamaa wa mtoto huyu wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 5, ambaye hajafahamika jina lake. Mtoto huyo alinusurika katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 20 Juni 2026 eneo la Wendele, iliyohusisha gari la...
  2. JamiiForums Tanzania Ajali ya basi la Isamilo na Libanika, alfajiri ya leo

    Ajali mbaya za basi la Isamilo linalofanya safari zake Mwanza-Dar kugongana uso kwa uso na basi la Libanika (Dar-Mwanza) iliyotokea alfajiri ya leo, kijiji cha Msembeta, kata ya Nala, wilaya ya Dodoma, mkoa wa Dodoma. Kumekuwa na ripoti za vifo kadhaa na majeruhi wengi Chanzo cha ajali ikiwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 6 wafariki kwa kugongwa na basi Mbeya

    Wanafunzi 6 wa shule ya Sekondari Chalangwa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, waliokuwa wakifanya mazoezi barabara kuu ya Chunya-Mbeya , wamefariki dunia kwa kugongwa na basi la Safina aina ya Yutong lenye namba za usajili T 194 DCE, linalofanya safari zake kutoka Lwalaje...
  4. JamiiForums Tanzania Watu Tisa wafariki dunia, 44 wajeruhiwa ajali ya basi na lori Morogoro

    Watu tisa wamefariki dunia papo hapo na wengine 44 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Hai kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa limebeba shehena ya sukari katika eneo la Lugono Melala, barabara kuu ya Morogoro–Iringa. Ajali hiyo imetokea wakati magari hayo mawili yalipogongana kwa nguvu...
  5. JamiiForums Tanzania Mbeya: Abiria wanusurika kifo baada ya Basi la New Force kugonga Malori matatu Mlima Nyoka

    Abiria wamenusurika kifo kufuatia ajali ya basi la New Force liliokuwa linatokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma kugongana na malori matatu maeneo ya Mlima Nyoka jijini Mbeya ambapo baadhi ya abiria wamepata majeraha madogo madogo. Picha: ITV Digital
  6. JamiiForums Tanzania Ajali ya basi la Ester, Rav4 yaua watatu Kilimanjaro

    Watu watatu wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Toyota Rav4 waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria la Kampuni ya Ester Kuxury, mkoani Kilimanjaro leo Jumamosi Februari mosi, 2025. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji mkoani Kilimanjaro, Jeremiah...
  7. JamiiForums Tanzania Biharamulo, Kagera: Ajali ya basi la KABCO yaua watu 11 eneo la mlima Simba

    Ni ajali kubwa sana kwa takribani miaka 10 haijawahi kutokea ajali kama hii ambapo watu kadhaa wanadiwa kufa nita update taarifa, baada ya kufika hospitalini Ni basi la kampuni Kabco ambayo hufanya safari zake kati ya kigoma na bukoba Inadaiwa sababu mwendo kasi na dereva kushindwa kulimudu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Basi la Wabunge Ilivyoibua Changamoto za Uandishi Sahihi wa Habari Katika Vyombo Vyetu

    Leo, Disemba 6, 2024, basi lililokuwa limebeba wabunge waliokuwa wakielekea kwenye mashindano ya michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali katika eneo la Mbande, Kongwa, mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa Polisi mkoani Dodoma, ajali hiyo ilitokea baada ya dereva wa basi kujaribu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nalaani wananchi kushangilia mitandaoni ajali ya basi la wabunge wa JMT

    Maoni ya wananchi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wabunge kupata ajali yanaonyesha kuna watu wenye chuki ya dhati na bunge letu. Comments zilizopo mitandaoni zinaumiza ndugu wa viongozi hawa nakuwakatisha moyo wanasiasa hasa. Niombe watanzania tusiwe na chuki yakuombeana kifo. Siyo jambo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania 11 wafariki dunia, 44 wajeruhiwa kwa ajali ya basi Mbeya

    Watu 11 wamepoteza maisha na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya A-N Coach kupata ajali katika eneo la Luanjilo Wilaya ya Mbeya Vijijini. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Ijumaa, Septemba 6, 2024 baada ya basi hilo lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Tabora kupinduka wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya: Basi la Kampuni ya Shari lapata ajali Mbarali, Watu 9 wapoteza maisha, Polisi wamshikilia Dereva

    My Take Kila siku hapa Tanzania Kuna ajari inatokea inayoua watu na chanzo mara zote ni uzembe wa madereva. Swali,Je Serikali mumeshibdwa kuja na Sheria Kali za kuwadhibiti Hawa Madereva wanasababisha ajali Kwa uzembe? --- Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva Alfredy Baharia...
  12. JamiiForums Tanzania Basi la Ngasere linalokwenda Tunduma limepata ajali asuhuhi ya leo, Julai 15, 2025

    Taarifa nilizozipata Ngasere ya kwenda Tunduma imepata ajali leo asubuhi, Julai 15, 2024. Mto nyomizi huko mbozi mkoa wa songwe Kwa taarifa watu wamekufa kwa idadi sijui ila kuna jamaa alikuwa kama Manager ya Ngasere Tunduma kafariki, alikuwa anaitwa Henry mtu wa Gairo. Mungu azilaze roho za...
  13. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli mabasi mengi ya shule (school bus) ni skrepa, tusisubiri hadi majanga yatokee ndio tushtuke

    Wakuu, Mabasi haya si mageni kwetu, baadhi yanabeba watoto wetu, wa jirani zetu na wengine watoto wetu ndio madereva kwenye magari haya, nina imani wote tutakubaliana kuwa magari haya hasa kwa hapa Dar ambako nimeshuhudia, mengi yanapumulia mashine, hayafai hata kidogo kutumiwa na na watoto...
  14. JamiiForums Tanzania Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14

    Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo, Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun ===== Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Je, unaikumbuka ajali ya basi la UDA Oysterbay/Masaki?

    Wakati niko nasoma pale Nusery school hapo pale pembeni ya Oysterbay Primary school , tulipata taarifa kwamba kuna basi la kati ya UDA au Kamata limepata ajali meneo ya Kilima Masaki na kwamba kuna wanafunzi wame laliwa na bus na kuwaua. Habari hiyo ilinitisha mpaka leo nakumbuka ile...
  16. JamiiForums Tanzania Morogoro | Ajali ya basi la Abood yawaua wawili , Wengine wajeruhiwa

    WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Abood na Noah zilizogongana uso kwa uso asubuhi ya leo Septemba 11, 2023 eneo la Kitungu Manispaa ya Morogoro. Ajali hiyo imehusisha basi lenye namba za usajili T904 DKY mali ya Kampuni ya...
  17. JamiiForums Tanzania Senegal: Ajali nyingine ya Basi yaua watu 19, ni ya pili ndani ya Januari

    Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani. Kwa mujibu wa taarifa ya Rais kuptitia Twitter, ajali hiyo ilitokea kati ya miji ya kaskazini ya...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Ajali ya Basi yaua watu 16 na kujeruhi zaidi ya 20

    Takriban watu 16 wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi lililokuwa likielekea Gulu kugonga na Trela la Lori katika kituo cha biashara cha Adebe huko Kamdini kando ya barabara kuu ya Kampala-Gulu kaskazini mwa Uganda . Polisi walisema watu hao 12 walifariki papo hapo, huku wengine...
  19. JamiiForums Tanzania Ajali ya Basi la Arusha Express na Lori yaua watano Dodoma

    Ajali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma. Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi ==== Ajali imetokea mchana huu eneo la Veyula mjini Dodoma. Basi kampuni ya ARUSHA express ikitokea Arusha kwenda Mbeya, Imegongana uso...
  20. JamiiForums Tanzania India: Ajali ya basi yaua watu 22

    INDIA: Takriban watu 22 wamefariki dunia na wengine 7 kujeruhiwa vibaya baada ya Basi kutumbukia kwenye korongo eneo la Uttarkashi, Ukanda wa Kaskazini mwa Nchi hiyo. Basi hilo lilikuwa na watu 30, na mmoja bado hajulikani alipo Kwa mujibu wa Serikali ya India, inakadiriwa watu 150,000 hufariki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…