ajali ya basi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Singida: Basi la Kampuni ya Falcon lapata ajali kwa kugonga Lori kwa nyuma

    Basi la Kampuni ya Falcon lililokuwa safarini kutoka Tarime kwenda Jijini Dar es Salaam limepata ajali usiku wa kuamkia leo Jumamosi Aprili 02, 2022 maeneo ya Shelui Iramba Mkoani Singida baada ya kugonga Lori kwa nyuma. Idadi ya majeruhi bado haijafahamika. Taarifa zaidi zinafuata...
  2. Medecin

    JamiiForums Tanzania Mikumi: Basi Standard Coach lililokuwa likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam lapata ajali

    Ajali ya basi la Standard Coach kutokea Iringa kwenda Dar. Saa tatu asubuhi hii imetokea ajali ya basi la Standard Coach lenye namba za usajili T543 CSF lililokuwa likitokea mkoani Iringa kwenda Dar es Salaam. Ajali imetokea maeneo ya Mikumi wilayani Kilosa eneo maarufu kama kona za Iyovi...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Shinyanga, Buyubi: Watu 3 wadaiwa kufariki dunia kwa ajali ya basi, 34 wajeruhiwa

    Watu 3 wanadaiwa kufariki na wengine 34 wakijeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Classic lililokuwa likitokea Kampala kuelekea Dar kupata ajali eneo la Buyubi Shinyanga. Baadhi ya majeruhi kwenye ajali hiyo wamesema kuwa dereva wa basi hilo alishindwa kuimudu kona ya Didia. Watu watatu...
Back
Top Bottom