ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Timu za majeshi kwa yanga wanapokea amri hakuna cha ajabu yanga kushinda!

    Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo! Magoli rahisi sana!
  2. D

    Jinsi nilivyokutana na huyu mchumba, nimeamini Mungu ana njia nyingi na za ajabu sana za kukutanisha pair alizozipanga!

    Nilikutana na rafiki niliyesoma nae msingi miaka mingi mno iliyopita akiwa kwenye gari stendi tayari kwa safari.....nami nilikuwa nafika hapo kwa ajili ya usafiri wa kwenda sehemu. Tukiwa na hamu ya kuongea mengi lakini tukiachwa na muda kwani gari yao ilianza kuondoka; ikabidi anitajie namba...
  3. Ajabu sana klabu yanga wanapotaka vitendo vya kihuni visitangazwe na kukemewa kwa kigezo cha uzalendo!

    Nimemsikia msemaji wa Yanga Ally Kamwe anasema DR Congo wamefanyiwa vitendo vya kihuni wamerogwa mchana kweupe washabiki wao wamepigishwa magoti na kuchomwa na jua kali, Kama msemaji wa yanga anasema vitendo hivyo vingefanywa kwa mkapa na klabu ya Yanga kwa kuwa waandishi wa tanzania hawana...
  4. L

    Innocent Bashungwa amejiwekea rekodi ya kupita na kufanya kazi Wizara nyingi sana.Unafikiri sababu ni nini?

    Ndugu zangu Watanzania, Katika mabadiliko ya kawaida ya Baraza la Mawaziri yameshuhudia Mheshimiwa Innocent Bashungwa akihamishwa kutoka wizara ya Ujenzi kwenda wizara ya mambo ya ndani. Hii na hatua hiyo ya kupata uteuzi mpya imemfanya kujiwekea rekodi yake binafsi na kuwa kati ya mawaziri...
  5. Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

    Yule mdau alikuwa anaporomosha matusi makubwamakubwa ya nguoni mengine hata sijawahi kuyasikia hapo kabla aisee
  6. Kwanini kuchukiana hata kuuana kugombea dini za Mungu wakati Mungu mwenyewe tunaaminishwa ana nguvu za ajabu?

    Zamani huko Ulaya, ukipinga ukiristo unapatilizwa chini ya kile kilichoitwa inquisition. Kwenye uislam, ukiupinga chini ya dhana ya jihad unauawa. Huwa nashangaa. Kwanini kupigania dini ya 'Mungu' kana kwamba Mungu hana uwezo wa kuipigania dini yake? Tunapigania dini ya Mungu au maslahi...
  7. Kocha Yanga: Tutacheza kwa Nguvu na Kasi ya Ajabu

    “Yanga wana historia kwenye uwanja tutakaotumia kesho, walipoteza mchezo wa Fainali hapa kwa kanuni lakini naamini walishinda mioyo ya wapenda mpira hapa Algeria, kesho ni siku nyingine na tutakuja na nguvu na kasi ya ajabu ya kutaka kushinda tena" My Take 😂😂😂😂😂
  8. Nimeota ndoto ya ajabu!

    Ni ya ajabu kwangu! Sijawahi kuiota ndoto ya aina hii!!! Nimeota nimetoka nje ya mwili wangu na kupaaa hadi eneo ambalo sikuwahi kufika, na hata sasa sipafahamu kama eneo hilo lipo au ni eneo la kufikirika tu. Lakini kama papo, nikipaona nitapakumbuka. Nilikariri baadhi ya maeneo, mfano, mti...
  9. Biblia kitabu cha Ajabu Sana

    Mwaka ujao nitajitahidi nifike pale Israel nikajionee jinsi Mji wa Daudi na Ushahidi wa Kihistoria na Kibiblia, gharama za kuingia kufanya ziara ni shekeli 45-60 sawa na 30,000-40,000 ya kitanzania . Hebu tuone kidogo kuhusu huu unaoitwa Mji wa Daudi Kiaikolojia na Kibiblia, Mji wa Daudi ni...
  10. Njooni mtufundishe kula panya, mbwa, punda na viumbe wengine wa ajabu ajabu

    Wananzengo hamjambo? Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu. Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani? Inawezekana sisi tunawaogopa bure, huku nyie mkifaidi peke yenu kula vitu vyenye ladha nzuri. Tushawishini...
  11. Si ajabu kuna Watanzania wenzetu wanatamani wangedondokewa na kifusi Kariakoo

    Kuna jamaa yule mwenye jezi ya Yanga alivyotolewa nilitegemea watu wangelia machozi ya furaha lakini wapi,...watu walikuwa kama wanshangalia movie,hakuna hisia kwenye nyuso zao,walishangilia utadhani wako mpirani wakati jamaa alikuwa katikati ya kifo na mauti,...Wanatamani lile zari lingewatokea...
  12. Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
  13. Kuna muda wanawake wana intelijensia ya ajabu jana yamenikuta

    Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza. Nikaamua kumtoa out wife, sijui kichaa gn kikaniingia nikampeleka pub moja ambapo huwa naenda sana...
  14. U.s federal reserve walipunguza interest rate september ambapo kutapelekea kuongezeka kwa dollar cha ajabu sifa anapewa mafuru

    Kwenye msiba wa mafuru alisikika samia akimsifia mafuru alsaidia kupungua kwa uhaba wa dollar swali kivip kwa sababu anaye-control supply ya dollar ni u.s federal reserve sasa mafuru anahusikaje Hii ni habari ya september The US Fed on Wednesday cut the benchmark federal funds rate by half a...
  15. Vyoo vyetu vya enzi hizo, lakini ajabu hakujakuwa na magonjwa ya UTI tofauti na sasa

    Vyoo vyetu vya enzi hizo, lakini ajabu hakujakuwa na magonjwa ya UTI tofauti na sasa
  16. Uturuki imewapiga Wakurdi zaidi mara 1000 ndani siku nne kuretaliate shambulio la kigaidi lilifofanyika. Cha ajabu hatusikii wanaharakati mkilaani

    Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji. Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
  17. Maisha ya Kijiji cha kiboriani ni ya ajabu, huduma zote muhimu ni changamoto kupatikana

    Kijiji cha Kibodiani kilichopo Wilayani Mpwapwa, Dodoma ni mfano wa Jamii nyingi zinazokabiliwa na changamoto kubwa za kijamii. Wakazi wa kijiji hiki wanapitia matatizo mengi yanayohusiana na ukosefu wa huduma za msingi kama Elimu, afya, umeme na maji safi na salama. Hali hii inawaathiri kwa...
  18. Huyu ni kiumbe gani?

    Leo nimeona kiumbe ambaye kanshangaza Au mnamjua wakuu👇👇
  19. MCHENGERWA NA TAMISEMI YAKO FUATILIENI CHATO KUNA UPIGAJI AJABU, HASA KWENYE CHAGUZI NA KAZI NYINGINE MAALUM

    Mhe. Waziri Mchengerwa na wizara yako imulikeni Chato na chukueni hatua mapema. Mambo si mambo kule, hali si hali. Nimepenyezewa taarifa kuwa watumishi wa zoezi la uchaguzi wanadhulumiwa malipo yao kuanzia siku ya kwanza ya uchaguzi hadi leo hii, na hadi sasa zoezi la ugawaji fomu kwa wagombea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…