ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ugonjwa wa ajabu wa tumbo waibuka Korea Kaskazini

    Korea Kaskazini inapambana kudhibiti mlipuko wa ugonjwa "mbaya" wa matumbo ikiwa ni mwezi mmoja baada ya nchi hiyo kukumbwa na mlipuko wa maambukizi ya COVID-19. Vyombo vya habari havijaweka wazi taarifa zaidi kuhusu ugonjwa huo lakini Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ametuma timu ya...
  2. Kisa cha ajabu kabisa katika mapenzi

    Kuna jamaa yangu alikuwa na demu wake mzuri kweli, ila demu akasema hataki sex mpaka waoane. Jamaa yangu akaona sio hiyana akaamua kumwoa, sasa katika usiku wa fungate wakiwa huko Kruger national park si ndio kumbananisha demu atoe mzigo, katika purukushani ya vuta nikuvute kamvua demu! Duh...
  3. Ushauri: Serikali iweke aina rangi za kupaka kwenye nyumba maana naona rangi za ajabu mtaani

    Rangi aina nne au Tano zitasaidia kuepuka maajabi ya rangi za ajabu. Lkn lazima Kuna rangi za Kupiga marufiku kitumia. Kwa mfano. Black Lazima nyumba zitapendeza. Angalia nyumba za bongo zingependeza Sana kama wangepewa option.
  4. Tabia ya ajabu niliyojifunza kwa wanawake wa Mwanza

    Huu mji una mademu wazuri kiasi si sana Mademu wakali either wanaasili ya Musoma au Kagera ambayo ni mikoa jirani. Mademu wa Mwanza wako vizuri katika kugawa namba ya simu ila cha ajabu hawajui umuhimu wa simu, demu ukimuomba namba hakatai ila sasa ujue utapiga sana simu hutapokelewa. Mbinu...
  5. Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
  6. Howard Hughes: Bilionea wa ajabu aliyekaa akiwa utupu na kujaza mkojo wake kwenye chupa

    'Kumbuka jambo moja, hakuna mtu ambaye siwezi kumnunua au kumharibu nikitaka.' Haya ni maneno ya mfanyabiashara tajiri zaidi Marekani wakati mmoja. Jina lake ni Howard Hughes na ulimwengu unamfahamu sio tu kama mfanyabiashara wa viwanda, mtafiti, mtengenezaji wa filamu, shujaa wa zama mpya...
  7. HOLLYWOOD MOVIES: kwa nini huwa wanaweka filter za rangi za ajabu ajabu hasa kwenye scenes au movies zinazohusu Africa, India, .......?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movies utagundua jambo hili. Movie au vipande vingi vya sinema vinavyohusu nchi zisizo za kimagharibi utakuta wameweka rangi kama kuna vumbi vumbi😀. Hivi huwa wanatuonaje? Mfano huu hapa chini Moja ya picha ya kipande toka kwenye kampuni kubwa ya kutengeneza...
  8. Ni Nchi Ajabu Tanzania kushindwa kuvuna Gesi na mafuta inasubiri sekta binafsi kazi hiyo

    Katika Mambo tuliyopumbazwa na mabeberu ni kuacha shughuri za uzalishaji na kutegemea kukusanya Kodi Pekee Hilo kosa kubwa Sana na ,tunatakiwa kubadilisha mind set zetu Mambo mengine ni mtambuka siyo Kila kitu sekta binafsi, project ya baharini kuvuna Gesi inagharimu Kama trillion 7 lakini...
  9. Askari wanaotuhumiwa kwa mauaji Mtwara wanaomba upelelezi uharakishwe

    Nchi hii tumezoea kuona watu wanasoteshwa lumande kwa kisingizio cha upelelezi haujakamilika. Na kwa kesi za muaji ndo kabisaa unaweza kaa hata miaka mitano mtu hajui hatima yake. Leo hii eti nao wanalalamika upelelezi kuchelewa. Malipo ni hapa hapa duniani.
  10. K

    Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

    Kwema jamani? Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu? Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima. Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu...
  11. Arusha: Wanakijiji Arumeru walazimika kuvaa Ndoo na Helmets vichwani kujikinga na Mawe ya ajabu yanayorushwa hewani

    Wanakijiji wa kijiji cha kiwawa kilichopo Arumeru wamelazimika kuvaa ndoo na kofia ngumu vichwani kufuatia mawe yanayorushwa usiku na mchana pasipo kujua mawe hayo Yanatokea wap. Aidha wanakijiji hao wameshindwa kufanya shughuli zao za Kila siku zikiwemo za kujiingiza kipato kutokana na hofu...
  12. Wanaonekana wa ajabu lakini watarejea Kigoma matajiri sana

    Unaweza kuwaita chawa,wanaa,wambeya na jina lolote fanani nalo. Picha hapo juu ni Mwijaku na Baba Levo vijana maarufu kwa sasa hapa Tanzania hasa kwenye tasnia ya sanaa. Kinachonivutia kwao ni namna wanavyoisaka shilingi pasi na kujali kuitwa majina tajwa hapo juu bali wao wanajali...
  13. Naomba maelezo ya huyu kiumbe wa ajabu

    Kwa mara ya kwanza nimeona kiumbe wa ajabu, anaitwa "AXOLOTL" Naombeni maelezo ya kiswahili kumuhusu. Kwa haraka haraka nimesikia ukimkata kiungo fulani cha mwili (mguu etc), eti kinaweza kuota kingine baada ya muda fulani. Kama hilo ni kweli kwanini wana sayansi wasifanye sayansi zao...
  14. K

    Mtu wa ajabu aliyeonekana kuzungumza na Rais Putin aibua tetesi za mwisho wa Putin kuwa karibu

    mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
  15. Leo nimemsikia mtu wa ajabu redioni

    Jamaa amefanya mahojiano na Clouds FM, yeye ni Mwenyekiti wa Wanaume wanaopigwa majumbani na wake zao. Amedai wamepata eneo Tarime wanaenda kufungua ofisi ndogo. Ndio maana Panya Road wawili wanaweza kufunga mtaa mzima huko Dar ea Salaam
  16. Ndoto gani ya ajabu ambayo hutakuja kuisahau katika maisha yako yote?

    Wadau Eid Mubarak Takribani karibia watu wote tukilala huwa tunaota ndoto.... Kuna zile za uongo na fix za kutosha kama vile kuota umeokota gunia la hela, yaani unyama mwingi mwaisa 😂😂😂 (kila mtanzania kaota hii ndoto) na zile za matukio ya kweli ambazo ukiota inatokea kweli..... Sasa basi ni...
  17. Ture story! A very beautiful kid Wawa alinusurika kuuawa na ndugu zake akiwa na miaka 6 tu; sasa hivi ana kiama 22

    Sikiliza hiyo documentary hapo chini kutoka 7 NEWS Spotlight TV; kupitia kipindi chao kimoja ambacho huwa wanarusha Jumapili usiku kinachoitwa SUNDAY NIGHT TRUE STORIES
  18. M

    Nikija kuwa millionaire, nitafanya mambo ya ajabu sana

    Kabla nife lazima niwe millionaire iyo nimejihakikishia iwe kwa dhulma, wizi, kuroga, fitna, kudanganya,kughushi, kuroga na kufisidi. Ispokuwa tu kuua na kudhulumu nafsi. Nikizikamata kwaanzia dollars million moja kuendelea natafuta jopo la madem wakali wakiafrika kazi yao ni kunilisha...
  19. VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

    Hii video inatrend sana kwenye magrupu ya FB, telegram, TikTok, WhatsApp nk Cha ajabu, the so called "CHAWA" wameshatinga huko kutishia ma - admin kuzuia kusambaa kwa video hii eti "inaidhalilisha serikali na Rais Samia Suluhu kama kwamba haya hayakusemwa na wao wenyewe viongozi..!!! Tazama na...
  20. Ujinga uliowagharimu wengi kwenye maisha

    UJINGA ULIOWAGHARIMU WENGI KWENYE MAISHA! Anaandika, Robert Heriel. Kila binadamu anakiwango chake cha ujinga, hata Yule unayemuona anaakili Sana ujue anakaujinga kake. Sasa unaweza ukawa mjinga lakini kamwe Epuka kuwa MPUUZI, mpuuziaji ambaye baadaye itakufanywa uitwe mjuaji wakati hukuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…