Nina tamani nifungue mashitaka dhidi ya Mungu anae POKEA maombi ya mtu kama huyu Alie mfunga Tundu Lissu kwa kesi ya uhaini Ili Hali sio muhaini.
Je nisubilie nife, nizikwe nikakutane nae uko Mbinguni? Najiuliza hivi kweli huyu nae alifunga Nini? Anamwomba Mungu ampe uhai? Je ampe mume...
Salute bosses!
Hebu nikuambie story moja ambayo imenishangaza sana sana sana, mpk nimekaa nikagusa research hii wiki nzima kuhakikisha nimeelewana na hiki kitu vizuri. The research ni kuhusu chombo cha angani kinaitwa Voyager 1, na guys ukisoma hii story mpk mwisho utajiona mdogo sana mbele ya...
Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts.
Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini...
Kanda ya ziwa ni moja ya kanda ya ajabu kuwahi kuwepo kwenye nchi hii leo humu jukwaani kuna mdau amelalamikiwa jinsi ambapo TFS kanda ya ziwa inavyowanyanyasa na kutowajali kwa mambo haya kanda ya ziwa ni kawaida sana aisee
Kanda ya ziwa ni kanda ambapo mauaji ya Albino na vikongwe...
Awali ya yote Lissu sio Muhaini.
Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina.
Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga.
Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
Trump na Vice presdent wa USA wanasema hivi viongozi karibu wote wa duniani wanatamani kumpigia Simu Trump. Wengi wao wakipigiwa simu na Trump wanapokea hata Kim Jong Un wa North Korea, lakini Trump amejaribu kumpigia simu Ayatollah Ali Khomen, na hataki hata kumsikia Trump.
Hatuna bidi...
Wito wangu ni huo. Ya 29/10 yanaweza kujirudia.
Siwatii woga hapana. HAKUNA WOGA, Chukua tahadhali!
Nendeni kwa wingi kwa tahadhali. Kila mtu awe na simu ya kuchukua matukio. Ikitokea wakaua, basi kuwa na ushahidi.
MUNGU WETU NI MWEMA KILA WAKATI
MUNGU WETU AWE NA NABII , MTAKATIFU LISU.
AMEN
CC: Mshana Jr
TUFUNDISHE ZAIDI
Wimbi la mafunzo yanayoitwa ya "asili" yakilenga wanawake, Kwa kutumia maneno kama Yoni Healing, Womb Health, au Kundalini. Ingawa yanaonekana kama ni mazoezi ya kawaida au afya, ndani yake kuna mambo mazito unayopaswa kuyajua kabla hujaingia.
1. Mtego wa Kiroho...
Wazazi wanapaswa kuwaambia ma binti zao wajijue kua wao ni wazuri tangu wakikwa wadogo, kua uzur wao ni kura turufu, utawavutia wengi lakini pia haudu, hii itawafanya waweze kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kabla hawajachelewa.
Leo nimekutaa na rafiki yangu wa muda mrefu, akiwa chuo...
Mtakuwa mmesahau!
1. Enzi zetu hizo, sio Zama zenu hizi Gen Z za kukata mayeno na kujirekodi. Au mwanaume kuchambana na kusutana kama wanawake.
2. Enzi hizo Sisi tulikuwa tunaitwa MAFATAKI. Weee! Wewe. Ulizeni muambiwe. Nyie si mlikuwa watotom tena wengine mlikuwa hamjazaliwa.
3. Serikali...
Nimekua nafuatilia sakata hili la UFO ama Aliens majina ambayo yamezoeleka na wengi kua ni viumbe ambavyo inasemekana vipo vinaishi na sisi SEHEMU ambayo pengine binadamu wa kawaida hatuwezi kufika pengine bila msaada wao.
Sakata hili naona limechukua sura mpya Sasa huko marekani Kuna watu...
Daah mimi nashaanga sana watu wanaokula Makande na mtindi au unakuta mtu anakula ndizi za kupika na mayonaisse.
Ni mchanganyiko wa chakula gani umewahi kumuona mtu akila ukapigwa na butwaa?
Hii ni special kwa wanaume wajinga wajinga wasio jielewa wale familia yake inaendeshwa na mke wake.
Hawa mara nyingi sana husema mwanamke kama anataka kukuchiti atachit tu hata kama umchunge namna gani.
Wanaume hawa huwapa hela wake zao wakafanyiwe massage 💆♀️ (waogeshwe na mwanaume mwingine)...
Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu na sijajua hii tabia inatokana na nini
Anaweza hata akavaa chupi kichwani au akajipaka mafuta ya kulainisha break ilimradi tu ageuze matumizi ndipo aridhike
Lengo la kuundwa kwa bunduki halikua kuonea watu bali lilikuwa kujilinda na maadui lakini...
Hili suala huwa silielewi kabisa. Unakuta chawa ni muislamu safi, au mkristo safi na wanamheshimu Mungu sana, hata ukisoma comments zao utaona wakiwa wanaongea kuhusu Mungu huwa wanaongea kinyenyekevu sana
Lakini sielewi ndio mstari wa mbele kushabikia mauaji ya October 29 na kudai waliouawa...
Mlango wa siri, chumba kilichofichwa…
Mwaka 2017, wakati wa ukarabati, Makumbusho Ndogo ya Nykøbing Falster iligundua chumba cha siri ndani ya jengo hilo.
Chumba hicho kilikuwa kimejaa masanduku ya zamani, maandishi na michoro, vikifunua urithi wa mmiliki wa awali wa nyumba hiyo, Cornelius S...
Moja kwa moja.
Kwa utafiti usio rasmi ;
Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange
Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza
Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo ...
Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na Rais wa Marekani.
Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia.
Kuwekea kikwazo na Marekani sababu ya udanganyifu na mauaji ambayo wanatumia nguvu nyingi.
Walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.