airtel

Bharti Airtel Limited, also known as Airtel, is an Indian multinational telecommunications services company based in New Delhi, Delhi NCT. It operates in 18 countries across South Asia and Africa, and also in the Channel Islands. Airtel provides 2G, 4G LTE, 4G+ mobile services, fixed line broadband and voice services depending upon the country of operation. Airtel had also rolled out its VoLTE technology across all Indian telecom circles. It is the second largest mobile network operator in India and the Second largest mobile network operator in the world with over 457.96 million (45.796 crore) subscribers. Airtel was named India's 2nd most valuable brand in the first ever Brandz ranking by Millward Brown and WPP plc.Airtel is credited with pioneering the business strategy of outsourcing all of its business operations except marketing, sales and finance and building the 'minutes factory' model of low cost and high volumes. The strategy has since been adopted by several operators. Airtel's equipment is provided and maintained by Ericsson, Huawei, and Nokia Networks whereas IT support is provided by Amdocs. The transmission towers are maintained by subsidiaries and joint venture companies of Bharti including Bharti Infratel and Indus Towers in India. Ericsson agreed for the first time to be paid by the minute for installation and maintenance of their equipment rather than being paid up front, which allowed Airtel to provide low call rates of ₹1 (1.4¢ US)/minute.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    FT: Singida BS 1-2 Simba SC | Ligi Kuu ya NBC | Singida wametepeta!

    Matokeo: Singida Big Stars Goli: Mossi Ndumumwe 38 Simba SC Goli: Anicet Oura 07 Goli: Elie Mpanzu 85 📍 Uwanja wa Airtel, Singida Baada ya ushindi huo Simba kupitia ukurasa wao wa Instagram wameandika "Tumekula ndugu wa ile famili", ambapo timu hiyo imefikisha alama 27 katika michezo 12...
  2. ELI COHEN

    Sidhani kama kuna mtandao mbovu katika huduma za intaneti kama walivyo Airtel

    Na ukongwe wote huu intaneti tunapata ya bra bra . Sio tu routers zao hata simu pia.
  3. rich1

    Kero kwa Airtel money pind unapotuma pesa wakala kwenda kwa wakala mkuu.

    Habar ndugu zangu.... Kunachangamoto na hatari kwa sisi ma wakala wakati wakutuma pesa Airtel kwenda kwa wakala mkuu, hawaonyesh jina mpaka pesa iende ndio jina linakuja, kwa utaratibu huu mliounzisha Airtel n hatari sana kwa sisi mawakala kupoteza pesa.
  4. R

    Nichukue Mifi ipi kati ya halotel, tigo, airtel na voda?

    Naomben msaada hapa wakuu, ninatamani kununua router ambayo portable inaweza kaa hata mfukoni kwa matumizi ambayo ni makubwa kiasi, ni mtandao upi kati ya tigo, halotel, airtel na voda wana mifi ambayo ni reliable nzuri na haisumbui hata kama uko nje ya mji mana naona hiyo ndo only...
  5. Genius Man

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula. Vita ni vita
  6. R

    Mwananchi awapigia Airtel kuwahoji kwanini wamefungia line ya Brenda Rupia iliyokuwa ikipokea michango ya CHADEMA

    Wakuu, Kweli watu tumevurugwa, yaani jamaa kaamua kupiga simu kabisa hawa machawa 😂 Haya sasa kampeni ianze kufanya kazi kwa wote wenye laini ya airtel 😂 Baada ya CHADEMA kutoa taarifa kuwa laini ya Brenda Rupia ya Airtel iliyokuwa ikipokea michango imefungiwa ghafla na kampuni hiyo ya simu...
  7. Genius Man

    Suala la mamlaka haramu kuitumia kampuni ya airtel kufungia namba za watu tunalichukulia kama mwendelezo wa kujiongezea kesi za kujibu

    Kampuni ya airtel sio kampuni ya kisiasa tunajua kilichotokea ni shinikizo na hii haifanyi kampuni imuunge mkono bali amejiongezea kesi madaraka yanaisha haya mtaona airtel ikimfungulia kesi hii baadae. Washauri wa samia ni akina kingwendu kila kitu ni sifuri wanachochea moto zaidi tunaongozwa...
  8. Troll JF

    Airtel wakifunga huduma zao kwenye sim Card yoyote wanakua na Kosa? Jibu hapana tujadili kidogo

    Naamini Jamii Forums ni kisima cha Maarifa ni kwamba huwa kuna Mkataba kati ya Airtel na Mteja hizi Agreement mara nyingi huwa ni ndefu na zimeandikwa kwa maandishi madogo lakini pia zinatumia Lugha za Kisheria ambapo watu wengi wanapuzia kuzisoma na ukikaa ukisoma kwa makini hizi agreement huwa...
  9. H

    Baada ya Airtel kuthibitika kutumika kisiasa, wateja tusitumie Airtel Money, ukiweza itupe line au uipumzishe

    Imeelezwa kuwa CHADEMA ilikuwa ikikusanya michango ya wanachama kwaajili ya maadhimisho ya 33 tangu kuanzishwa kwake, kwa kutumia huduma ya Airtel Money. Huku michango ikiwa inaendelea, Airtel baada ya kupokea maelekezo kutoka chama kile cha mauaji na serikali yake, wameamua kuifungia hiyo line...
  10. Mad Max

    Airtel Tanzania: 5G Router zenu ni mbovu. Madukani tukileta mnasema zimeisha. Really?

    Airtel mna customer care mbovu kwenye simu. Okay, nikaona nije dukani kwenu, aisee…! Okay tuache ilo. Sasa hizi 5G router zenu za ZLT X25 zina lifespan ya muda gani? Yangu imeanza kimasihara kufanya kazi kwa kubeep sahivi hawaki kabisa. Inawaka tu taa kwamba inapokea power ila taa za 4G 5G Wifi...
  11. Mafyangula

    Airtel Africa imetangaza ushirikiano na SpaceX kuanzisha teknolojia ya satellite ya Starlink

    Airtel Africa imetangaza ushirikiano na SpaceX kuanzisha teknolojia ya satellite ya Starlink inayowezesha mawasiliano ya simu moja kwa moja kwenye nchi 14 za Afrika. Huduma hii ya satellite itazinduliwa mwaka 2026, kwa awali ikilenga kusaidia matumizi ya data na ujumbe mfupi (SMS) kwa simu...
  12. T

    Airtel jirekebisheni kwenye eneo hili . Mnaudhi

    Jamani, watumiaji wa Internet, naombeni mnijuze kampuni inayojitahidi. Airtel na modem zao sasa ni kichefuchefu. Hela unalipa, lakini huduma yao mbovu. Customer care yao, wana majibu ya ovyo yaani utadhani mtu anaomba msaada hajalipia.
  13. Mad Max

    PostGE2025 Kwanini Airtel hawafidii zile siku ambazo internet ilizimwa kwa watumiaji wa unlimited internet?

    Wakuu, October mwishoni hadi November mwanzoni internet ilizimwa. Sasa kuna watumiaji wa unlimited internet kutoka Airtel tulikua tushalipia, lakini kwann ilo week hawajafidia? Tarehe yao ilipofika tu bando limekata?
  14. Chizi Maarifa

    Airtel ni Mtandao ambao umejaza wafanya kazi matapeli/wezi

    Ni Kampuni ambayo inaongoza kwa msgs za ile pesa tuma namba hii au kukumbushwa kodi. Ni mtandao ambao matapeli wanapiga sana simu wakitaka kukutapeli mwenye line yao. Airtel ukiingizia tu pesa kwenye mtandao wao unaanza kupokea simu za matapeli wakitaka kukutapeli wakijifanya wanapiga simu...
  15. Amydiz

    Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  16. technically

    Airtel wanajaribu kuzima mtandao

    Leo Ni wiki Airtel mtandao haupatikani vzr kwenye internet Semeni Kama mnatuhujumu tuvunje line zenu
  17. H

    Airtel wamepunguza kutuma matangazo ya bure kwa wateja wake ila Yas, Vodacom,nk bado wana kiburi

    Ni wazi matangazo ya bure ya mitandao ya simu yanakera sana,sana,sana, yawe ya serikali au ya mtandao husika. Ni vyema kuwe na kipengele cha kukubali matangazo au kusitisha na kiwepo kipengele cha kuwajibu wote wanaotuma sms za bure zenye maslahi yao. Tcra msijiamini sana na mnapaswa kufungua...
  18. ndege JOHN

    Natumia yas nampigia mtu wa Airtel hapatikan ila inajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani

    Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba...
  19. I

    Airtel simu ya mkopo "Wanataka kutapeli"

    Habarini!, kuna ndugu yangu alichukua simu airtel kwa mkopo...simu yake ilipata hitilafu kidogo na akawarudishia ili waitengeneze...wakamuahidi baada ya wiki 3 watamrudishia...akalipa gharama ya matengenezo huku akiendelea kulipa malipo ya siku...mwezi wa pili sasa yaani ana wiki 6 sasa...
  20. Ndikusyaganya

    JINSI YA KUWA SUPER AGENT au AGGREGATOR ( MPESA, TIGOPESA, Airtel Money n.k)

    Wakuu habarini hapa Jamvini? Weekend ya leo naomba mwenye uelewa mtoe ujuzi wa namna ya kuwa au kuifhinishwa kuwa Super Agent au AGGREGATOR wa mitandao mbali mbali ya simu haya TZ kwa huduma za e-money like TIGOPESA, M-Pesa, Airtel Money, Halo Pesa na zingine ... NB: Kwenye maduka yao hawatoi...
Back
Top Bottom