Wakuu habarini za kazi, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa
Naombeni msaada kuhusu aina ya ndondo za kutumia kwenye ufungaji wa lenta, nyumba yangu ni kubwa vyumba vitatu, sitting room, dinning room, public toilet, jiko, stoo
Kuna baadhi ya wadau walinishauri niweke mm12 mzunguko wa nje na...