aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Makundi mawili yatakayoambulia aibu 2025

    Kumekuchaa! Heri ya Mwaka Mpya 2023. Siku zinazidi kusonga mbele huku joto la kisiasa likizidi kupaa. Za chini chini zinasema hivi kuna makundi matatu yanayoenda kutifuana huko mbele 2025. A. Kundi A Hili ni lile la waliokuwa madadakani na sasa hawamo tena. Hili ni kundi la wafuasi wa Hayati...
  2. Happycuit

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Yanga watia aibu, wacheza uchi kushangilia kurudi kwa Fei Toto kambini

    Japo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili. Mbona wenzetu Simba wamechukua kombe mara nne mfululizo na kufanikiwa kufika hatua za mbali michuano ya kimataifa ila...
  3. angelina kabeta

    JamiiForums Tanzania Aibu: UWT mbeya, jengeni jumuiya yenye nguvu sio machawa wa Mbunge

    Inasikitisha sana kwa taasisi kubwa ya chama chetu kutokemea na kusahihisha upumbavu kama anao fanya huyu naibu waziri wa maji kwa wanawake wa mkoa wa mbeya. Mimi kama miongoni wa wajumbe wa mkutano mkuu wa wanawake niliitikia wito wa jana kwenda pale tughimbe kwamba tumeitwa na mbunge wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Umepigwa na kijana mdogo aibu imekupata - Mbaraka Mwinshehe, kama anamwimbia Putin!

    Sikiliza huu wimbo huu wa Mbaraka Mwinshehe, ambao ni ujumbe murua kwa Putin katika hili suala la vita na Ukraine Hiloo oooh, Ulijidai wewe mbabe sana aah, Leo umepigwa na kijana mdogo Aibu imekupata Kiko wapi sasa Ulichokuwa ukijidai nacho ooh, Je ungepambana na mimi kaka (NATO?) Kilema...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Uchawa (CCM) vs ukupe (CHADEMA) aibu kwao wote

    To every action there is an equal and opposite reaction. Hii kanuni inaonekana kuelezea vizuri mahusiano katika ya wafuasi wa CCM na wa CHADEMA juu ya jinsi wanavyohusiana na viongozi wao. Wale wa CHADEMA wanawaita wenzao wa CCM chawa na sasa wa CCM wamewaita wenzao kupe. Ulinganisho huu ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu ya mwaka, Mchambuzi wa kombe la dunia TBC adai golikipa wa Argentina anadakia pia timu ya Sevilla

    Huyu ndiye golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye mchambuzi maandazi wa soka TBC alidai anaidakia timu ya Sevilla la liga Hispania. Ukweli ni kuwa ni golikipa wa Aston Villa EPL UIngereza. Huyu mchambuzi maandazi aliyepewa jukumu la kuchambua soka TBC wakati wa kombe la dunia sijui...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi akumbana na aibu nzito, wananchi washindwa kujitokeza mkutanoni

    Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea. Katambi ambaye inafahamika aliingia kwenye ubunge huo kimagumashi baada ya mshindi wa kwanza kwenye kura za maoni za CCM, Stephen Masele...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa chama tawala chenye asili ya ukombozi kuwa na Wazee kama Yusuph Makamba ambao hawana huruma juu raia wanaoteswa na tozo na mgao wa umeme

    CCM ni chama kikubwa hapa Africa na dunia nzima. Bahati nimezunguka mahala pengi hapa duniani. Ulikiwa ukienda Botswana, Zimbabwe au hata South Afriaca ulikuwa ukikutana na raia wa huko lazima wakuukize juu ya CCM ya akina Hashim Mbita (RIP) maana kilikuww ni chama kilichojaa utu na nia thabiti...
  9. T

    JamiiForums Tanzania AIBU: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam walipeni wafanya usafi wa Soko la Ilala, hali ya soko ni mbaya

    Habari zenu wakuu! Siku ya jana nilifanikiwa kupita mitaa ya Soko la ILALA, jijini Dar-es -salaam,maarufu kwa uuzaji wa mbogamboga na matunda. Nilikuta hali ya usafi wa soko hilo ni mbaya kabisa kiasi kuhatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa za matunda na mboga mboga. Yapata miezi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kafulila kubali yaishe kama Ally Happi. Kalime ama kavue migebuka. Unatia aibu kushinda mitandaoni kujipendekeza kwa mama

    Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo. Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU hii Rushwa Kubwa na ya aibu katika Soka la Tanzania kwa sasa hamuioni au mnaifurahia ije Kutugharimu?

    Leo nasema (naandika) hapa wazi wazi kabisa kuwa Ligi Kuu ya Tanzania NBC Premier League imeshaharibiwa kwa Rushwa zilizovuka Viwango ambavyo GENTAMYCINE siogopi na sioni Aibu kusema kuwa zimechochewa na Utajiri wa hawa Matajiri Watatu Gharib na GSM yake, Yusuf na Azam yake na Mo na Mohammed...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona jana kwenye ATM ya NMB Gongolamboto yanatia aibu kwa watumishi

    Nilikuwa napita jioni kuelekea job. Si mnajua night shift zetu walinzi ndugu zangu. Nilikuwa nimempa lift mfanyakazi mwenzangu tukitokea Chanika. Sasa nafika NMB Gongolamboto nikiwa barabarani jamaa akaniambia ona ile foleni, nikacheki kushoto nakuta foleni ya haja. Nikakumbuka kuwa ni tarehe...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Timu zetu za Kiafrika zitaleta aibu kama kawaida

    Nawaangalia Senegal, hii mechi wangecheza kiume wangeshinda, lakini wanapaka paka sana rangi mpira. Wangeingia na ile ari ya miaka ile ya Cameroon na Nigeria. Mpira magoli, haina haja ya kupaka paka rangi. Mnapata, mnakimbiza golini, mnachana nyavu. Nao wanataka pasi na chenga za kipuuzi. Sijui...
  14. L

    JamiiForums Tanzania ITV mmenifanya kujiskia aibu na kipindi chenu cha kipima joto.

    Kipindi chenu cha kipima joto cha leo, hakikuwa na mvuto sababu ni staged! Hakina mvuto sababu kama Taifa bado tunasafari ndefu sana! Mambo muhimu kama ya umeme, maji , Afya, Elimu etc ,tuweke mambo ya siasa mbali, tuwe na focus kama nchi! hao ilipaswa waulizwe maswali ambayo hayakupangwa...
  15. Execute

    JamiiForums Tanzania Kwa mpira huu wanaocheza Ubelgiji nawashauri wasiende Qatar kuepuka aibu

    Naangalia mechi kati ya Misri na Ubelgiji hapa na ninaona hawa Wabelgiji warudi nyumbani kwao kuepuka dhahama kwenye Kombe la Dunia. Beki zinakatika na kutoa maboko, haziwezi kufanya marking wala kukaa man to man. Forward hazifanyi attempt yoyote zaidi ya kupiga back pass. Wameshapigwa 2 bila.
  16. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Timu za Afrika zinaenda kupata aibu Kombe la Dunia Qatar 2022

    Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto. Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi...
  17. F

    JamiiForums Tanzania UDSM kuteseka na mgao wa maji ni aibu kwa Maprofesa na wasomi waliojaa UDSM

    Habari wadau Ninajiuliza why chuo kikuu chenye wasomi wengi.. cream of the nation kinashindwa kutatua tatizo la maji hata kwa matumizi yao tu ya chuo kikuu Udsm wanategemea dawasco.. yaani dawasco wakikosa maji.. na chuo kikuu nacho kinateseka sawa sawa na mitaa yetu ambayo imejaa la 7b...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kinondoni tunalipa hela za taka ila magari ya kuzoa taka hatuyaoni

    Mhe. Mkuu wa Mkoa leo unakabidhi vifaa vya usafi hapa Makumbusho, lakini sisi wakazi wa hapa tunasikikitika kuwa mataka taka yamejaa kwenye majumba na mitaa yetu, hayachukuliwi kwa wakati huku tunalipa ada zetu kilamwezi. Mfano, sisi wakazi wa Bwawani gari hatulioni mtaani na pia kwenye eneo...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Majaliwa kuficha aibu na Kazi ya Serikali ya lazima ya uokoaji

    Mimi ni mmoja wa walioamini katika story ya Majaliwa Jackson kijana wa kihaya aliyeokoa abiria siku ile ya ajali ya Ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nilipomuona anaongea katika runinga akihojiwa na mtangazaji wa TBC asubuhi baada ya ajali kutokea jana yake nikaamini nilichokiona. Kijana ameucheza...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Hadi aibu, Warusi kwa uwoga wao walipua daraja huku wakitoroka

    Jameni wazalendo wa Ukraine wanatembeza moto hadi naumwa aki ya nani, Warusi wameona ili kupunguza kasi ya kufukuziwa, wamelipua daraja na kutoroka. Ukrainian armed forces have retaken another part of the Kherson region — the village of Tyahinka, near the strategic town of Nova Kakhovka —...
Back
Top Bottom