aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute sall

    JamiiForums Tanzania Utumishi msimtie aibu Waziri Jenista Mhagama

    Mheshimiwa Jenista Mhagama hivi karibuni alinukuliwa akiuleza Umma kuwa wata Ajiri kupiti mfumo hifadhi wa Utumishi takribani nafasi 1769 zitatumika kua Ajiri kupitia Data base ya utumishi mwezi February 2023 Hivyo nawaomba utumishi kutomuangusha Mheshimiwa na kumfanya aonekane muongo. Endapo...
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ni aibu na fedheha kwa wanasoka kama Arsenal hii itachukua ubingwa EPL

    Tangu kuongoza kwa ligi na matokeo waliokuwa wakiyapata, kuna kina sisi ambao tulikuwa tunaona ni dharau sana kwa haka katimu kukalia usukani. Anyway EPL ni mbio ndefu sana, tunategemea katakaa mahali panapostahili siku zote( Nafasi ya 3 ,4 au ya 5) Arsenal hii siyo ya kuchukua ubingwa na kama...
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa ndugu yetu anaona aibu kurudi Tanzania tangu alipokwenda Marekani

    Inauma sana kama hupo mbali na hakuna lolote alafu unaona au kusikia kwenye mitandao ya kijamii fulani kajenga, kaoa na yeye sasa kasafiri. Kinacho mfanya kuona aibu ni ubinafsi kipindi yupo huko alijiona ndio kafika tukashauri sana ndugu zake tuliopo mtambuka tufanye ushirikiano ila ndio hivo...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maneno 'HAPA KAZI TU' yaondolewe kwenye mali za nchi, yanatia aibu na wala hayana maana yoyote

    Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi. Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mvua imetuvua nguo kama Taifa. Aibu hii

    Mvua imenyesha na hakika ardhi imepokea maji hadi imetota. Wakazi wa mijini tumeshuhudia adha kubwa inayotokana na ubovu wa miundombinu ya kutiririsha maji. MTWARA Nyumba zaidi ya 17 zimezingirwa na maji (kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV) na wananchi wanalalamikia ufunyu wa mitaro...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi madai ya Uwanja wa Mkapa kutia aibu kwa uchafu

    Uwanja wa Mkapa kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Al Hilal, Februari 5, 2023. Pia soma: Uwanja wa Mkapa unatia aibu, nani awajibike?
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wapewe elimu ya upigaji kura, hii ni aibu

    Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura. === Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano
  8. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kenya lililopelekwa nchini Congo linatia aibu

    Kwema wakuu, Wengi tulijua tu kwamba jeshi la Kenya halitaweza hata kurusha jiwe kwa kundi hilo la waasi wa M23, kutokana na jeshi hilo kuliogopa vibaya kundi hilo. Sasa hali inazidi kuwa mbaya na kundi hilo linazidi kuteka maeneo mbele ya macho ya jeshi la Kenya huku Wakenya wakiangalia tu...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Christian Ronaldo atastaafu kwa aibu sana

    Naweka tu tahadhali, alipaswa azisome alama za nyakati. Muda unaenda atadharaulika atajikuta siku moja anakuja sajiliwa Simba na bado anawekwa bench. Umri unakataa; moyo unataka lakini mwili unakataa. Amekuwa mchezaji bora kwa miaka mingi. Amevuna pesa nyingi sana kutokana na uchezaji. Sasa...
  10. Mkanganyiko kukanganya

    JamiiForums Tanzania AIBU ILISHAWAHI KUKUPATA

    Aibu ni hisia ambayo inasumbua watu wengi sana Na kiwango cha aibu kimetofautina baina ya mtu na mtu; kuna watu ambao wana aibu kidogo na kuna wale ambao aibu zao ni kiwango cha juu sana Mifano ya aibu ni kama ÷ i) mtu kushindwa kumtazama mtu mwingine machoni wakiwa karibu haijalishi awe jinsi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tusione aibu kuiga katiba ya Kenya kwenye mwelekeo wa Katiba Mpya

    Watanzania tunachotaka ni katiba mpya kusaidia nchi. Katiba hii mpya ambayo majadiliano yameanza sio ya vyama vya siasa ni ya Tanzania nzima kwa ujumla. Tusiwe wazito kuchukuwa na kuiga wenzetu wa Kenya kwenye vifungu ambavyo tunajua kabisa vinafanya kazi vizuri. Vifungu hivi ni pamoja 1. Tume...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kila mwana Simba SC ninayemwomba anipangie kikosi cha leo ananipangia hiki je, kitatuokoa na aibu leo Dodoma?

    1. Aishi Manula (Nisiyempenda ) 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Mohammed Outarra (Nisiyemwamini) 6. Ishmael Sawadogo (aliyekosa Timu tokea February mwaka Jana 2022) 7. Kibu Denis (Nisiyemuelewa kabisa) 8. Nassoro Kapama (sijui hata nani alimsajili Simba SC) 9...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mzima kumkuta akiwa Serious na Katulia kabisa anasikiliza Simulizi za Veronica Frank wa EFM Radio ni Aibu mno

    Mwanaume uliyekamilika unatakiwa ama Kusikiliza BBC Dira ya Dunia au DW au Kutizama / Kusikiliza Habari, Kuangalia Mpira ( Fabo ), Kutongoza sana Mademu ( Migoma ), kujua zilipo Gesti na Loji Mpya, Kubishana Mambo ya Siasa, Mpira au Madili, kuwazia Kuzamia kwa Ramaphosa au kwa Biden au kwa...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tuliwaonya hawakusikia walipendwa wakadeka wanaaibika mwisho wa ubaya ni aibu! poleni Chadema hii ndio maana ya kufariki kwa chadema

    walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu...
  15. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Aibu: Waumini wanawake KKKT wanaenda kanisani na suruali / jeans zilizobana, kanisa linachukulia poa tu

    Kumbukumbu la Torati 22:5 >> Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako. Tukiachana na kanisa hili la kilutheri kupasuka kila kukicha kwa migomo na vurugu kama ile vuta nikuvute ya...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Musonda akiingia katika Mfumo na akacheza pamoja na Mayele tarehe 9 April 2023 nitajificha kwa Aibu ya Kufungwa nyingi

    Kuna Watu nawashauri mapema tu kwakuwa nimeshaona hawana Mabeki wa Kuwazuia akina Mayele na Musonda hiyo tarehe 9 April, 2023 basi GENTAMYCINE nawashauri kuanzia leo wakirejea kutoka Kuzurula na kupoteza muda na Pesa kwa Mwarabu wawatafute Waganga wazuri wa Kienyeji wa Kuwazuia Washambuliaji...
  17. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania TFF inaendesha mpira kwa kupendelea Simba

    TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele, kwa sababu za kipumbavu ni kuzalilisha nchi yetu. Nauliza hapa Simba walipoenda huko Dubai wameenda kuwakilisha nchi? Simba walipo enda huko Dubai TFF imewahusu nini mpaka wakasogeza mechi...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

    Kwa msioifahamu Mburahati, ni shule ya secondari ya kata, iko wilaya ya Kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam. Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi. Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana. Je, walimu wa hii...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa sakata la muuguzi aliyetaka kutumia vifaa tiba vilivyoisha muda ni aibu

    Sakata la wauguzi huko mkoani tabora waliokuwa wakibishana juu ya matumizi ya vifaa vilivyoisha muda wake limeibua maoni mengi sana ya watu! Wengi wao wameishia kulitazama kwa juu juu na kumuona yule afisa binti mwenye Rafudhi ya KIJITA mix na KIKURYA kwamba ndiye mkosaji na yule mwingine yuko...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tusione aibu kumpongeza Mbowe na Rais Samia

    Kuna watu wa Chadema ndaki ndaki wanaoenda kupinga kila kitu kiasi cha kumpiga madongo mwenyekiti wao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza Mbowe lakini vilevile hawawezi kupongeza Rais hata kama kafanya mazuri. Lakini kuna kundi la CCM nalo ni kama Chadema...
Back
Top Bottom