afya

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Milioni 400 kujenga majengo matano ya kituo cha afya cha Mtoa - Iramba

    MILIONI 400 KUJENGA MAJENGO MATANO YA KITUO CHA AFYA CHA MTOA - IRAMBA. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea kufanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi ambapo akiwa kata ya Mtoa amesikiliza kero za wananchi na kufuatilia ujenzi wa...
  2. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

    WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti' Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure. Amesema...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya Dkt. Gwajima hana legitimacy ya kubaki kwenye hiyo Wizara

    Nafasi ya uwaziri, tena wa Afya ni eneo sensitive sana, tena kwa kipindi kama hiki ni more sensitive. Kwa kipindi hiki cha mgawanyiko mkubwa wa mitazamo kuhusu chanjo kwenye taifa letu,sio hekima kama waziri,msomi na mtaalamu kuzungumzia mambo binafsi ya mtu mwingine. Hivi work ethics za...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tuondolee hili janga Wizara ya Afya. Mawaziri wako ndio kikwazo cha chanjo

    Hii ni moja ya Wizara ambayo imepata mawaziri Wa Hovyo sana. Hatujui ni nini kinafanya Huyu Dr. Gwajima aendelee kufanya sarakasi zake zisizo na Tija katika Wizara nyeti kama hiyo. Kwa nini huoni kama kuna shida? Wizara hii haihitaji Mipasho, vichekesho na Propaganda. Inataka mtu ambaye yupo...
  5. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  6. The ricco king

    JamiiForums Tanzania SoC01 Makosa ya Serikali kufuatia mapambano dhidi ya UVIKO-19 na chanjo yake

    Utangulizi Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila namna ili kunusuru wananchi wake na madhara yatokanayo na ugonjwa huu hatari, zipo nchi zilizozuia...
  7. Kamotee

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa kujali afya na mtu kuwa na afya

    Mwishoni mwa mwaka 2019 ndiyo kipindi ambacho habari za kuwepo kwa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya korona yaani UVIKO-19, kwa kiingereza COVID-19 zilianza kuripotiwa na kuenea duniani. Nilipokuwa nasikia taarifa hizo nilikuwa nachukulia kawaida tu. Kwamba ugonjwa huo utaishia Nchini China...
  8. The ricco king

    JamiiForums Tanzania SoC01 Akili ya binadamu ndio muhimili mkubwa wa maendeleo yote

    Dunia ya leo imesheheni mataifa mengi na jamii nyingi kutoka kila pande ambazo kila moja ya jamii hizo iko na desturi na utamaduni wake wa pekee. Tamaduni na desturi hizo zinaweza kuwa chanzo cha kuongezeka au kudorora kwa maendeleo katika jamii husika, mfano mzuri ni uzingatiaji wa afya ya...
  9. Bdt

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ponografia na Vijana

    Kwa kawaida ponografia si jambo geni kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kuingia mtandaoni mara kwa mara lakini kwa ufupi, ponografia ni uwakilishi wa ngono kwa njia ya picha, vitabu, vinyago, sanamu pia na video ambao una nia ya kuchochea hisia za kimapenzi kwa mtumiaji. Aina ya ponografia ambayo...
  10. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara amshukia Askofu Gwajima, amtaka aache siasa kwenye mambo ya afya za wananchi au ajivue ubunge kama hakubaliani na serikali

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
  11. ROJA MIRO

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mvuta sigara Tanzania hutumia kiasi cha Tsh Milioni 16.9 hadi Tsh Milioni 42.3 kununua sigara kipindi chote cha maisha yake

    Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga. BAADHI YA SIGARA BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA BEI YA PAKTI MOJA BEI YA SIGARA MOJA Winston & Master Club Tsh1600/= Tsh 100/= Sports Club & Sm...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende. Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani? Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, kwanini mahabusu na wafungwa hawavai barakoa tahadhari ya Corona?

    Mahabusu na wafungwa Wana haki ya kuishi Kama binadamu wengine. Tumeona mahabusu wakifikishwa mahakamani bila barakoa, tumesikia mahabusu waliopo vituo vya polisi na Magereza wakidai hawaruhusiwi kuvaa barakao Wala kuchukua tahadhari ya corona, je waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa afya mna...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya, ijifunze na itoe maelekezo ya matumizi ya dawa iitwayo "Ivermectin" kwa kutibu wangojwa wa Corona

    Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona. "That has been known since the start of the pandemic. But that has been wilfully ignored, otherwise, the vaccine could not get its emergency approva"l...
  15. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda! Umepata changamoto ?

    Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache nchini Tanzania. Je, nini maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda ! Umepata...
  16. Emerald Maggie

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya: Mambo yanayochangia kuboresha au kudhoofisha afya na mienendo bora ya maisha ili kuwa na afya bora

    AFYA Ni hali ya mtu kua mzima kimwili, kijamii na kiakili. Uzima wa mtu katika nyanja zote una mchango mkubwa juu ya mwenendo wa maisha na maamuzi ya mtu katika nyakati mbalimbali. Uzima wa kimwili humwezesha mtu kufanya kazi na kutimiza majukumu yake ya kila siku na hivyo kujiendeleza...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Faida na Afya

    Hali iliofikia sasa watu wanajali biashara kuliko afya. Embu chukua mfano wa biashara za ufugaji kuku wa mayai.. je mayai tunayokula ni salama? Japo faida yake kubwa. Najiulizaga sana: hivi watu wanapaita faida au hasara? Yani pesa au mgonjwa kipi kinatawala????🤔
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano

    Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021 Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya kujitolea ya muda afya ya mifugo

    Habari ndugu zangu watanzania Mi ni kijana umri miaka 25 Nasoma afya ya wanyama chuo cha kilimo na mifugo kaole bagamoyo mwaka wa pili Natafuta nafasi ya kujitolea kwenye sekta ya afya ya wanyama na uzalishaji Muda ni miezi miwili tu kuanzia september mpaka november
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaosajiliwa wanapimwa Afya zao?

    Hakuna video wala taarifa inayoonyesha kuwa kuwapima utimamu wa mwili na akili vinafanyika kabla wachezaji kupewa mikataba ya kuvichezea vilabu. Hii haiwezi kuwa sawa hata kidogo, kila mchezaji anastahili kupita mchujo wa utimamu wa mwili na akili kwanza kabla ya kusainishwa mkataba. Kuna...
Back
Top Bottom