afya

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara kada za Afya iongezwe, wanahatarisha sana maisha yao

    Watoa huduma za afya wana maisha magumu sana kulinganisha na kazi wanazozifanya. Kwa kiasi kikubwa wanahatarisha sana maisha yao kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaowahudumia, wapo katika risk kubwa ya kuwa contaminated. Licha ya hivyo wanafanya kazi muda mrefu mno. Serikali wawaangalie...
  2. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumpa wanafunzi au mwanao Elimu ya Afya na uzazi wa mpango?

    Dunia ya sasa imebadilika sana. ni ukweli uliowazi kabisa kuwa ngono kimekuwa sio kitu cha siri sana. Na uwepo wa ujuaji wa watoto kuhusu ngono umechochewa na mabadiliko mbalimbali yaliyopo ikiwemo Utandawazi kama vile Simu za mikononi, Television na hata muingiliano wa tamaduni za jamii...
  3. JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na homa mjuzi anisaidie kuhusu homa

    Za mida wakuuu natumai ni wazima Kwa wiki ka 8 iv nasumbuliwa n homa.kali sana ambayo.kuna muda hua unalungua . Nilijarbu kuenda ku test HIV. TYPHOID N MALARIA PAMOJ N MKOJO wiki kama 3 zilizopita nkaambiwa shida ni TYPHOID tu na nikapewa dawa cipro, ambayo n dozi ya wiki mbili ila sasa. Ni...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya kuzindua Chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi Nov 26, 2022

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Novemba 26, 2022 watazindua upya utoaji wa chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi nchini kwa wasichana ili kuwakinga dhidi ya aina hii ya saratani. “Tulianzisha sisi chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana (HPV vaccine), ikaanza...
  5. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote ni neema kwa Watanzania wote

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI NEEMA KWA WATANZANIA WOTE Na Amosi Richard Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema “Ni kupitia bima ya afya kwa wote ndipo tutaweza kutoa matibabu kwa kila Mtanzania anayeishi ndani ya nchi yetu. Mfuko huu utahakikisha mtu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania DC Ikungi awapeleka watatu TAKUKURU kukwamisha ujenzi kituo cha afya Irisya wamaliza milioni 500 ujenzi haujakamilika

    Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro leo tarehe 01/11/2022 amemuelekeza mkuu wa takukuru wilaya ya Ikungi kuanza uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili watumishi watatu waliokuwa wanasimamia ujenzi wa kituo cha afya kata ya Irisya tarafa ya Sepuka jimbo la singida magharibi Pamoja na hatua...
  7. JamiiForums Tanzania Watendaji Chuo cha Muhimbili watakiwa kujitathimini, wapewa miezi mitatu ya uangalizi

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameutaka Uongozi wa Chuo cha kati Elimu ya Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUCOHAS) kujitathimini katika uwajibikaji wao na namna ya Uongozi unavyoendesha mambo yake. Prof. Makubi ameyasema hayo Oktoba 30, 2022 wakati alipokitembelea chuo...
  8. JamiiForums Tanzania Healthy food: Watanzania tujali afya zetu

    Wakuu habari zenu? Kuna kitabu kimoja nime bahatika kukisoma kinaitwa healthy food kimeandikwa na George D.Pamplona-Roger,M.D ,nilichokisoma humo ndio nikaamua nije niwaambie na nyinyi wakuu .maana naamini “We are what we eat” 1.Daily intake 2.Food compostion(muundo wa chakula)...
  9. JamiiForums Tanzania Huduma za Afya JKCI Outpatients ziboreshwe

    Unaumwa, una appointment ya kumuona Cardiologist JKCI. Unaambiwa njoo saa 12 asubuhi. Unafika mnakusanywa kwenye mahema mnasubiri Daktari. Unapewa namba. Unaambiwa Katie Bima. Mnapanga foleni ya Bima. Saa 4 tayari huiamuona Doctor unaambiwa Yuko Wodini Bado. Unakaa unamuona Doctor Saa 7...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA yapinga Bima ya Afya kwa Wote, yadai ina mapungufu

    BUNGE LA WANANCHI: KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)! “Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa” I. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari; Kama mlivyosikia, Serikali imepeleka bungeni Muswada wa...
  11. JamiiForums Tanzania Nachukia sana wauza chakula wanaoleta utaalamu wa afya kwenye menu yangu

    Oya! Mimi nakuja kupiga menu, sio kufuata ushauri wako wa lishe au afya na kutishana kibwege. Kama ni chai au maziwa acha niweke sukari ninavyojisikia. Sio malalamiko kama nakula bure. I hate hii kitu kabisa kabisa. Kama nikitaka ushauri wa Afya au lishe nitaenda kwa wataalamu sio nakula...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaofika mshindo mara mbili pekee huwa na afya ya mwili na akili kuliko wale wanaozidisha

    Mtaalam wa saikolojia ya mapenzi na kungonoka ambaye amefanya Exclusive Interview nami GENTAMYCINE amesema kuwa 99% ya wanaume ambao hupenda kubandua (kutia ) bao mbili tu, huwa na afya njema na akili zao kuwa kubwa kuliko ile mipopoma inayopenda kufanya goli tatu (hat-rick ) au zaidi, ambao kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote Tanzania is impossible

    Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote. Matibabu ni hitaji la nne la binadamu nyuma ya hewa, maji na chakula (Maslow's). Jiulize je, jamii yote inapata hewa, maji na chakula? Kama jibu ni bado basi bima ya afya kwa wote ni kitendawili. Uchumi...
  14. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya - Inakuwaje Mstaafu wa Serikali anufaike na Mstaafu wa sekta binafsi asinufaike?

    Nasikiliza hapa mkurugenzi wa Bima ya Afya NHIF (Benard); Kaulizwa hivi, Mtu akistaafu inakuwaje? Kajibu kuwa kwa Mtumishi wa Uma ataendelea kupatiwa huduma. Mtangazaji hakuwa makini kumuuliza na kwa mtumishi wa Secta Binafsi inakuwaje? shame! Yaani kwa mfano; Raia mmoja aajiriwe...
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wahudumu 5 wa Afya wamefariki kwa Ebola hadi sasa, Rais Museveni atangaza Karantini ya siku 21 kwenye wilaya hatarishi

    Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya, Dkt. John Grace Walugembe anakuwa mhudumu wa 5 wa Afya kufariki kutokana na ugonjwa huo uliosababisha vifo 20 na maambukizi kufikia watu 58 Katika kukabiliana na kasi ya maambukizi Rais Yoweri Museveni ametangaza kuziweka Karantini ya siku 21 wilaya 2 za...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi Geita wajitokeza kumpokea Rais Samia kwa wingi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa wingi hii inathibitisha kua watu wananchi wanakubali kazi kubwa ya Rais Samia Suluhu. Rais Samia...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi na Mtu mwenye changamoto ya Afya ya akili?

    Habari Wana JF, Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over. Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu. Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana furaha kwasababu mnaweza kukaa siku nzima usione anachekaa. Muda mwingi analalamika hata likitokea...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya na TBD watoe tamko kuhusu tetesi za dawa hizi za mbu

    Wanajukwaa kuna taarifa zinazidi kuenea kwamba hizi dawa zina sumu ya kuua. Hizo ni dawa za kuchoma kwa ajili ya kuua mbu. Kuna clip inatembea kwenye groups za WhatsApp ikitutaka kutotumia dawa hizi. Natoa wito kwa wizara ya afya na TBS kutoa tamko kuhusu ukweli wa dawa hizo. Ikibainika zina...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China: Tiba asili zinavyochangia huduma za afya kwa jamii

    Ukizungumzia tiba asili kwa watu wengi picha inayokuja haraka ni kwa watu waishio vijijini au jamii ambazo hazijapiga hatua katika masuala ya matibabu, lakini ukweli ni kwamba imani hii sio sahihi. Nchini China tiba asili ina mchango mkubwa katika ustawishaji wa afya sawa na ilivyo au...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwenye muswada wa Bima ya Afya kwa wote

    Mimi kama Mtanzania ninayeishi kijijini kwanza naipongeza serikali kuja na MUSWADA wa Bima ya Afya kwa watu wote ni Jambo jema ktk kunusuru afya za watu wake. Changamoto ninayoiona hapa ni hizi gharama za kila mwanachi mwenye familia ya watu sita kuchangia 340,000. Huu ni mzigo mkubwa na ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…