afya

  1. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Pasipo Afya hakuna Siasa

    Afya ni hali ya kujisikia vizuri ki mwili , ki akili ki roho na ki utu, bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Ili mtu aendelee na shughuri zake za kila siku ni lazima awe na afya njema , hii ndio inaleta kichwa Pasipo afya hakuna siasa. Afya ya mtu inapokuwa dhahifu inabidi apate matibabu ili...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Ufanisi mzuri katika huduma za afya

    Serikali imekuwa ikijitahidi kuboresha huduma za afya ikiwemo kuja na sera mbalimbali zinazohusu huduma za Afya lakini bado imeonekana kuna changamoto ambazo hazijapatiwa ufumbuzi ambazo zinaendelea kuathiri wagonjwa ambao wengi hali zao za kipato ni duni. Upatikanaji wa huduma bora za Afya...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Chama alikuja Simba akiwa na afya dhaifu

  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Takwimu za wizara ya afya (Malaria, ukimwi) ziwe zenye ukweli wenye mashiko na rahisi kupatikana

    UTANGULIZI. Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali. Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
  5. JamiiForums Tanzania Physics-B, Chemistry-C na Biology-C. Kuna kozi gani ambazo ni za afya mhitimu huyu anaweza jaza kwa mwaka huu kulingana na competition?

    Naomba msaada wa mawazo
  6. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete yashika nafasi ya kwanza Maonesho ya Sabasaba katika Kundi na Watoa huduma za Afya

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeibuka mshindi wa kwanza katika kundi la watoa huduma za afya, vifaa tiba na teknolojia ihusuyo afya wakati wa maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi...
  7. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wafanyiwa vipimo vya Afya katika Hospitali ya Mloganzila

    Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wamefika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya zao na kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na msimu mpya ya mashindano ya ligi 2023/2024. Daktari wa Timu ya Simba Dkt. Edwin Kagabo...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi sekta/Wizara ya Afya na Elimu zimekumbwa na nini siku hizi za karibuni..?

    Habarini za wakti Wana JF, On the point, nimekuwa napigwa na mshangao sana kwa haya yanayoendelea katika Wizara zetu hizi nyeti ambayo ni Afya na pacha wake pia Elimu. Nianze kuzungumzia sekta ya Afya ambayo imekuwa muhanga wa hii kadhia,, hivi karibu kumekuwa na mambo mbalimbali ya ovyo ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Utafiti: Katika Wanaume watano, mmoja ana Shinikizo la Juu la Damu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya Figo. Chalamila ameyasema hayo leo wakati wa kuhitimishwa kwa mbio...
  10. JamiiForums Tanzania Milioni 500 Kumaliza Ujenzi Kituo cha Afya Madilu - Jimbo la Ludewa

    MILIONI 500 KUMALIZIA UJENZI KITUO CHA AFYA MADILU Mbunge wa jimbo la Ludewa Joseph Kamonga amesema nwaka huu serikali inatoa kiasi cha sh. Mil. 500 kwaajili ya umaliziaji ujenzi wa kituo cha afya cha kata ya Madilu ambacho wananchi wamejenga kwa asilimia 80 kwa kuchangishana fedha kwa kipindi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

    Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations" Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021, lakini mtihani huo umujawa na sintofahamu kibao; 1. Zaidi ya vijana 200 wamemaliza mafunzo ya utarajali...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Responded Mabadiliko na uboreshaji katika utoaji wa PF3 (Police Form no 3)

    UTANGULIZI: Fomu ya Polisi namba 3 (PF3) nchini Tanzania ni hati rasmi inayotumiwa na polisi kuandika ripoti za matukio mbalimbali yanayohusisha madhara ya mwili au ajali. Inatumika kama chombo muhimu cha kudokumenti na kurekodi taarifa muhimu zinazohusiana na matukio hayo. PF3 inajumuisha...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya video ya mhudumu wa afya kuosha vifaa tiba na maji baridi kusambaa, wamekurupuka na kutoa matamko mawili

    Baada ya video kusaambaa ikionesha mhudumu wa afya akiosha vifaa tiba kwa maji ya baridi na kunianika juani, serikali imekuja na majibu, ila kama kawaida inaonesha huwa hawawasiliani na hivyo kutoa matamko mawili mawili. Waziri Ummy katoa tamko kuwa ameona video hiyo na kwamba atafatilia kujua...
  14. JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Rukuba Kimekamilisha Ujenzi wa Kituo cha Afya

    KISIWA CHA RUKUBA KIMEKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA AFYA Kisiwa cha Rukuba kiko ndani ya Kata ya Etaro yenye vijiji vinne (Busamba, Etaro, Mmahare na Kisiwa cha Rukuba). Kisiwa hiki cha Musoma Vijijini kina Shule ya Msingi yenye vyumba vya madarasa vya kutosha ikiwepo ziada ya vyumba viwili...
  15. JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Sibwesa

    ZIARA YA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA KATAVI MHE. MARTHA FESTO MARIKI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA SIBWESA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika Mkoa wa Katavi na kutembelea kituo cha Afya cha Sibwesa Mhe. Martha Festo Mariki amefanya...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Afya kwenye Utawala Bora

    Utangulizi Nyanja ya afya imekuwa ikikumbwa na mabadiliko ya haraka kutokana na ongezeko la teknolojia, maendeleo ya kisayansi, na mabadiliko ya kijamii. Mabadiliko haya yameleta fursa kubwa ya kuimarisha utawala bora na uwajibikaji katika sekta ya afya. Makala hii inalenga kufanya uchambuzi...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za kuboresha Huduma za Afya katika Maeneo ya Vijijini na Yaliyoko Mbali nchini Tanzania

    Upatikanaji wa huduma bora za afya ni haki ya kimsingi ya binadamu inayopaswa kuwa ipo kwa kila mtu, bila kujali eneo lao la kijiografia. Hata hivyo, katika maeneo mengi ya vijijini na yaliyoko mbali nchini Tanzania, wakazi wanakabiliwa na changamoto kubwa katika kupata huduma muhimu za afya...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Tumaini letu katika afya

    Mabadiliko na mageuzi ya kiutendaji yanayowekwa na kusimamia utawala bora katika kutoa huduma sehemu mbalimbali ni wazi zinaboresha uwezo na ufanisi wa utelekezaji mzuri katika kutoa huduma husika katika ngazi tofauti kwa namna bora na kiyapekee. Miongoni mwa huduma muhimu zenye uhitaji...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Ugatuzi wa madaraka ya ajira ngazi ya Halmashauri unavyoweza kuwa mwarobaini wa upungufu wa Walimu na Wataalamu wa Afya nchini

    Ripoti ya Mwaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Kwa mwaka wa fedha 2021/22 inaonyesha kwamba Katika halmashauri 23 pekee zilizofanyiwa tathmini Katika uwiano wa mwalimu Kwa wanafunzi ilibainisha Upungufu wa walimu 10,071 sawa na asilimia 35 ambapo walimu waliopo katika...
  20. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wahudumu wa afya, msinyanyase wagonjwa na wajawazito. Wanaosababisha vifo vya makusudi washitakiwe kwa mujibu wa sheria

    UTANGULIZI Tunamshukuru Mungu kwa neema alotupatia kua hai hadi sasa. Ni jambo lisilopingika kwamba, kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwa wahudumu wa Afya kutokujali wagonjwa na mara kadhaa kutojali akina mama wajawazito. Changamoto hii hupelekea baadhi ya wajawazito ama wagonjwa kupoteza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…