afya

  1. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya katika Enzi ya Dijitali

    Tangu kuanzishwa kwa teknolojia ya kidijitali, maisha yetu yamepata mabadiliko makubwa. Tunashuhudia mabadiliko haya katika kila nyanja ya maisha, ikiwa ni pamoja na sekta ya afya. Leo hii, tunaona matumizi ya teknolojia katika kuboresha huduma za afya na jinsi ambavyo afya ya kidijitali...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yapongezwa kwa mageuzi makubwa Sekta ya Afya

    Serikali ya Tanzania imepongezwa kwa kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Afya pamoja na kutoa ushirikiano kwa mashirika ya kimataifa hususan Shirika la Afya Duniani (WHO). Pongezi hizo zimetolewa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Dkt. Charles Sagoe-Moses wakati...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa mfanyakazi

    Habari wakuu, Napenda kufahamu kuhusu sheria ya mfanyakazi katika kampuni binafsi ndani ya Tanzania je ni haki wafanyakazi kupewa bima ya afya bila dependant wao kimfano employee amepewa bima ya afya kisha akaambiwa atapata yeye tu mke na mtoto hawatapata. Wafanyakazi wengine wameinclude...
  4. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu uliyekurupuka kuhusu Bima ya Afya

    Ummy mwalimu. Nianze kwa masikitiko makubwa ya kile kinachoendelea kwenye mahospitali, vituo vya afya na zahanati imma na binafsi. Ummy (MB) na waziri umepewa dhamana lakini hujui msuguano uliosababisha. Wachangiaji na familia zetu typo kwenye mkwamo tusiostahili. Huduma ya afya Kwa kadi za...
  5. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Misingi ya kuboresha afya

    Siku hizi ulimwengu wa leo umekuwa ukitumia njia za mkato katika tiba za dalili ya ugonjwa wanaoupitia. Bila kujali kumwona Daktari kwa vipimo ili kugundua Magonjwa yanayo wakabili, Mfano Mtu anaweza akaumwa kichwa kisha kwenda duka la dawa na kuchukua dawa za kupunguza Maumivu bila kujali...
  6. JamiiForums Tanzania KWELI Kufanya mapenzi mwanamke akiwa juu ni hatari kwa afya ya uume wa mwanaume

    Wakati napitia pitia mitandaoni kutafuta style mpya kwa ajili ya shangazi yenu ndio nikakutana na hili bandiko kuwa aina ya kujamiiana huku mwanamke akiwa amemkalia mwanaume juu ('woman on top' or 'cowgirl' or 'reverse cowgirl'), hatari kwa afya ya mwanaume kwani hupelekea maumivu makali kwani...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Sigalla: Ushiriki wa Marie Stopes Tanzania katika Tuzo ya EJAT utasaidia kuondosha mitazamo potofu juu ya Afya ya Uzazi

    Dr. Geofrey Sigalla Tuzo za Umahiri katika Uandishi wa Habari (EJAT) 2022 zilizotolewa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Jumamosi ya Julai 22, 2023 ambapo waandishi mbalimbali walifanikiwa kubeba tuzo kwenye vipengele tofauti. Tuzo hizo ambazo ziliratibiwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT)...
  8. JamiiForums Tanzania Rungwe Wamshukuru Rais Samia Kwa Huduma za Afya

    WILAYA ya Rungwe mkoani Mbeya, imemshukuru Dk. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kufanikisha mapambano dhidi ya vifo vitokanavyo na uzazi pingamizi. Kutokana na maboresho makubwa yaliyofanyika katika Hospitali ya Wilaya ya Rungwe, zaidi ya wanawake 350 wanajifungua wakiwa salama na watoto...
  9. JamiiForums Tanzania Faida ya kula Korosho kwa Afya yako

    7 health benefits of raw organic cashews: 1. Cancer Prevention cashews can reduce your colon cancer risk. (Zinakinga Maradhi ya Saratani Haswa kwenye matumbo mapana) 2. Heart Health (Korosho zinasaidia Afya ya moyo kufanya kazi vizuri). 3. Hair and Skin Health (Korosho zinasaidia...
  10. JamiiForums Tanzania KWELI Kukimbia au kufanya Mazoezi katika Barabara zinazotumiwa na Vyombo vya Moto ni hatari kwa Afya

    Licha ya kuwa Mazoezi husaidia kujenga na kulinda Afya, kuna masuala muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza mazoezi ikiwemo kuchagua eneo la kufanyia mazoezi ambalo litakuwa salama kimiundombinu na kimazingira. Katika siku za hivi karibuni watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Mimba za utotoni zimepungua kutoka asilimia 27 ya mwaka 2015/16 hadi asilimia 22 kwa mwaka 2022

    SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAMWA KATIKA MASUALA YA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO. Na. WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) katika kupambana na kutoa elimu juu ya masuala ya Afya ya Uzazi Mama na...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya kutoka 80% hadi 50% ifikapo 2030

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya ikiwemo dawa kutoka zaidi ya asilimia 80 hadi chini ya asilimia 50 ifikapo mwaka 2030. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hayo kwenye hafla fupi iliyofanyika Hoteli ya Johari Rotana na kuwakutanisha Wadau pamoja...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ataka hospitali nyingine ziige kilichofanywa na Taasisi ya MOI

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametaka taasisi nyingine kuiga mfano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wa kuanza kuwapigia wagonjwa simu ili kuwajulia hali. Waziri Ummy amesema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter Julai 20, 2023 akiwapongeza MOI kwa kuanzisha utaratibu wa kuwapigia simu...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuboresha Mfuko wa Bima ya Afya

    Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) ulianza kufanya kazi Julai, 2001 kwa waajiriwa wa serikali kuchangia 3% ya mishahara yao na mwajiri kuchangia 3%. Mpaka kufikia Desemba 2019, mfuko wa Bima ya afya ulikuwa na wanufaika 4,856,062 sawa na 9% ya watanzania wote. Majukumu ya mfuko ni kuwaandikisha...
  15. JamiiForums Tanzania Bima ya afya NHIF, suala hili lina faida lakini angalieni pia changamoto zake

    Habari ya jioni wananzengo, polen kwa msongo wa mawazo wale ambao ikifika jumapili jioninkama hivi raha yote inaisha kwa kufahamu kuwa kesho asubuhi "THE CYCLE REPEATS". Twende kwenye mada na kama kutakua na makosa ya kiuandishi naomba usikwazike, nisamehe bure, jaribu tu kujiongeza. Haya sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama akabidhi vifaa vya TEHAMA, Michezo, Afya na Elimu

    Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. JENISTA J. MHAGAMA Amefanya Ziara Katika Kata ya Kilagano Kijiji cha Mgazini na Kijiji cha Kilagano. Katika Ziara hiyo Mhe. Jenista Mhagama ameambatana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Pasipo Afya hakuna Siasa

    Afya ni hali ya kujisikia vizuri ki mwili , ki akili ki roho na ki utu, bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Ili mtu aendelee na shughuri zake za kila siku ni lazima awe na afya njema , hii ndio inaleta kichwa Pasipo afya hakuna siasa. Afya ya mtu inapokuwa dhahifu inabidi apate matibabu ili...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Ufanisi mzuri katika huduma za afya

    Serikali imekuwa ikijitahidi kuboresha huduma za afya ikiwemo kuja na sera mbalimbali zinazohusu huduma za Afya lakini bado imeonekana kuna changamoto ambazo hazijapatiwa ufumbuzi ambazo zinaendelea kuathiri wagonjwa ambao wengi hali zao za kipato ni duni. Upatikanaji wa huduma bora za Afya...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Chama alikuja Simba akiwa na afya dhaifu

  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Takwimu za wizara ya afya (Malaria, ukimwi) ziwe zenye ukweli wenye mashiko na rahisi kupatikana

    UTANGULIZI. Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali. Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…