Faida ya kula Korosho kwa Afya yako

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,680
2,000

KOROSHO.jpg

7 health benefits of raw organic cashews:

1. Cancer Prevention cashews can reduce your colon cancer risk. (Zinakinga Maradhi ya Saratani Haswa kwenye matumbo mapana)

2. Heart Health (Korosho zinasaidia Afya ya moyo kufanya kazi vizuri).

3. Hair and Skin Health (Korosho zinasaidia Kuzifanya nywele na ngozi ya mwili kuwa na Afya nzuri).

4. Bone Health (Korosho zinasaidia mifupa yako kuwa imara na afya nzuri)

5. Good for the Nerves (Korosho ni nzuri kula kwa ajili ya mishipa ya mwilini mwako).

6. Prevent Gallstones (Korosho zinakukinga usipatwe na mawe kwenye nyongo yako).

7. Weight Loss (Korosho ukila zinapunguza uzito mwilini)
 
Mkempia

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
1,142
1,500
MziziMkavu mji huu unauza kila aina ya korosho, kuna zile ambazo unakuta akina mama wanakupimia kwa kutumia vifuniko hizi mara ygi zinakaangwa na akina mama wenyewe majumbani zingine ndio hizo zimeshikwa mikononi na machinga. Sasa tule zpi kwa afya zetu??
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,232

Tofautisha korosho na karanga
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,680
2,000
MziziMkavu mji huu unauza kila aina ya korosho, kuna zile ambazo unakuta akina mama wanakupimia kwa kutumia vifuniko hizi mara ygi zinakaangwa na akina mama wenyewe majumbani zingine ndio hizo zimeshikwa mikononi na machinga. Sasa tule zpi kwa afya zetu??
Korosho nzuri ni zile unazo zitengeneza wewe nyumbani kwako nunuwa kisha uzitengeneze wewe mwenyewe.
 
Asha Hodhesh

Member
Mar 7, 2015
7
0

7 health benefits of raw organic cashews:

1. Cancer Prevention cashews can reduce your colon cancer risk.
2. Heart Health
3. Hair and Skin Health
4. Bone Health
5. Good for the Nerves
6. Prevent Gallstones
7. Weight Loss

Thank you for the wonderful class
 
BAOBAO

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
1,874
1,250
Asante MziziMkavu ! Je, nifanye nini ili nipende kula korosho zaidi kuliko karanga mbichi ?
Na hata asali imenishinda!
 
Last edited by a moderator:

MPUNGA

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
838
500
[/B][/I][/COLOR]

How, una jua zina calories ngapi..?

Swadakta. Hiyo ya weight loss mmmh! Ila wanasema kama lengo lako ni kupunguza kula kula zinasaidia sana maana muda mwingi hautajisikia njaa au tamaa ya kula, lakini korosho kama korosho hazisaidii kwenye weight loss.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom