afya

  1. JamiiForums Tanzania Je unasumbuliwa na matatizo ya meno Kama kuoza / Kutoboka !?

    Iwapo meno yako yametoboka/ kuoza kuna huduma ya kuziba meno ( Teeth Filling / Restoration) Faida Zake -Jino Litadumu kwa mda mrefu -utazuia kuharibika zaidi kwa jino -Utatafuna Chakula Vizuri Utalinda meno mengine yasiharibike Utakuwa na Muonekano mzuri wa meno yako Nimeambatanisha...
  2. JamiiForums Tanzania HOJA Kwa ufaulu huu wa 99.9% mamlaka husika zitazame upya kozi za afya na uhitaji wake

    Kulingana na ufaulu wa kidato cha sita kuendelea kupanda na kuwa juu kadri miaka inavyozidi.Ni muda muafaka sasa mamlaka husika zikafanya jitihada za kimakusudi kutanua wigo wa masomo ya kozi za afya nchini. Katika nchi ya Tanzania bado wahitimu wengi wa kidato cha sita tahasusi ya PCB...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kozi ya afya ya kusoma kwa ufaulu huu

    Habari ndugu zangu ! Mdogo wetu wa kike amepata ufaulu huu hapa chini na tungependa kupata ushauri kwa next step. GS - S Physics - D Chemistry- C Bio - C Bam - C Anapenda mambo ya afya sana, sasa je ufaulu utamruhusu ? Chuo gani bora kwa kozi hizo hapa Tanzania ? Gharama / mkopo nini kifanyike...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kwa Watanzania kushangilia msaada wa afya wa USA wa USD 1.3b bila kujua masharti yake yote; Zambia, Ghana, na Zimbabwe wayamekataa!

    Hivi karibuni, kumekuwa na ushabiki wa kipumbavu sana, hasa kutoka kwa wakereketwa wa CCM, pale waliposikia USA wataipatia Tanzania msaada wa huduma za afya wa USD 1.3 ndani ya miaka mitano ijayo. Sasa hawa wenzetu wasio na uwezo wowote wa kufikiri wameshangilia sana kusikia hili, hata wakibeza...
  5. JamiiForums Tanzania Ngono: Kwanini tumei-demonize?

    Hivi mtu Ulisikia neno ngono, nini cha kujia kichwani..... Wengi husema ni kufanya tendo la ndoa, bila ya Koa au kuolewa sio? Ni umalaya, ni kuharibu utaratibu, kuchepuka, uzinzi Ngono imekuwa kitu kibaya sana... Wengi tume I demonize ngono. Imekuwa kama means to an end, watu hatufurahii...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha afya cha Magoma wilayani Korogwe mazingira yake sio safi Wala salama kwa jamii inayohudumiwa

    Kituo cha afya cha Magoma wilayani Korogwe mazingira yake sio safi Wala salama kwa jamii inayohudumiwa kwenye kituo hichi. Wagonjwa wanalalamika hali chafu ya mazingira ya kituo, mda wa kazi manesi hawapo eneo la kawaida kuhudumia wagonjwa na kero ya maji safi na salama hamna kwenye kituo cha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mchanyaniko wa Kitunguu swaumu, kituu maji ,karafuu una faiga gani kwa afya ?

    Nasikiia watu wanatumia sana hii kitu. Je inafaida zozote kwa afya ya binadamu? Naomba ushauri wenu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ipi hatma ya fedha za Basket Fund(HSBF) kwa vituo vya kutolea huduma za Afya?

    Fedha za basket fund ambazo huwa zinaingizwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kila baada ya robo mwaka haijaingia tangu mwezi disemba 2025. Hii imepelekea changamoto ya uendeshaji wa vituo hivi vya Afya kwani fedha hizi hutumika kununua dawa na vifaa tiba, kulipa bili za umeme na maji...
  9. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini watumishi wa huduma afya wakiwa kazini wanavaa sana yeboyebo je ndio utaratibu rasmi wa wizara ya afya?

    Nipo katika hospital ya Wilaya ya Mkalama muda huu. Naona kila mhudumu wa afya anapita kavailia uniform nadhifu lakini cha kushangaza chini wanavaa yeboyebo tena za shilingi elfu tano tano. Je, ndio utaratibu rasmi wa Wizara ya Afya?
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani wasaini makubaliano ya bilioni 3.1 katika sekta ya Afya

    KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!! Nchi yetu imesaini makubaliano muhimu ya sekta ya Afya yenye thamani ya bilioni 3.1. Hili sio jambo dogo hususani ukiangazia mwenendo wa ufadhili wa USA kwa Tanzania kwenye sekta ya Afya. Vile vile hili ni pigo kubwa kwa wapinzani wapinga maendeleo ambao...
  11. JamiiForums Tanzania Chalamila: Wananchi wa Dar kufanyiwa vipimo vya afya bure kuanzia Julai 3 hadi Julai 8, 2026

    Albert Chalamila, leo Julai 2, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutangaza kuwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeandaa kampeni maalum ya upimaji wa afya na utoaji wa matibabu bure kwa wananchi kwa muda wa siku sita. Akitoa taarifa hiyo, Chalamila amesema kampeni hiyo itaanza Julai 3 hadi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie Watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, kuna mambo ya Uongozi hayapo sawa

    Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu. Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
  13. JamiiForums Tanzania Dar: Marekani Kutoa $3.14 billion kusaidia sekta ya Afya

    Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili. Makubaliano...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Ajira Mpya wa Kada ya Afya, Wilaya ya Ikungi, (Singida) hatujapatiwa fedha za kujikimu

    Tunaomba msaada wa kutupazia sauti sisi Watumishi wa Ajira Mpya wa Januari 2026 wa Kada ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Mkoa wa Singida, ambao hadi sasa hatujapatiwa fedha za kujikimu licha ya taarifa kuwa fedha hizo zimeshawasilishwa kutoka Hazina kwenda Halmashauri. Kwa muda...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waajiriwa wapya wa Sekta ya Afya Halmashauri ya Ulanga tunateseka na pesa za kujikimu

    Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kutatua changamoto hii. Waajiriwa wapya wa sekta ya afya mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, tunaendelea kuzungushwa kuhusu malipo ya posho zetu za kujikimu. Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka ili tupate haki zetu kwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Inahitajika uchunguzi wa kina kuhusu utendaji wa TMO na Katibu wa Afya wa Halmashauri ya Nzega

    Tunaomba mfanye uchunguzi wa kina kuhusu utendaji wa Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri (TMO) na Katibu wa Afya wa Halmashauri ya Mji wa Nzega (Nzega TC). Kuna malalamiko yanayoibuliwa kuhusu ukosefu wa ushirikiano katika uongozi, pamoja na maamuzi yanayodaiwa kuathiri utendaji na morali ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nikikumbuka kauli ya PM kassimu Majaliwa dhidi ya Afya ya Magufuli, nawiwa kusema hata Mwigulu na mtu wa bomu kapigwa fix la sivyo amtaje!

    Nikikumbuka, TAARIFA ya waziri mkuu mstaafu dhidi ya Afya ya Hayati magufuli kwa wananchi wa Tanga, aliwambia naomba kunukuu" Rais WENU ni mzima wa buheri WA afya, yupo imara kama CHUMA na anawasalimia wotee" wananchi heheeeeeeee vicheko na nderemo😚🤣😊😁😂😊🤣 staki niamini km pm hakuwa na TAARIFA...
  18. JamiiForums Tanzania Napenda kukifahamu chuo cha Afya Kange

    Habari za asubuhi wadau Nisaidieni mwenye kukifahamu vizuri naombeni MSAADA maana naona matangazo mengi sana huko kwenye mitandao mingine
  19. JamiiForums Tanzania Napenda kukifahamu chuo cha Afya Kange

    Habari za asubuhi wadau Nahitaji MSAADA wa kupata chuo huko kwenye mitandao mingine naona matangazo mengi kuhusu hiki chuo vipi wakuu kinafaa au ndoa kizuri chajiuza.......
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio kwa wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii, Walikuwa waandikisha vyandarua Halmashauri ya Mpimbwe Katavi

    Uandikishaji ulifanyika kwa siku saba kwa kupita kaya kwa kaya lakini wamelipwa kiasi cha sh. 50000 tu. kwa siku hizo zote. Tunaomba katibu mkuu wizara ya Afya atolee ufafanuzi suala hilo, Kwan huu ni unyanyasaji. Hata fedha ya mafunzo halimashauri ililipa sh.15000 tu.kinyume na utaratibu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…