afya

  1. Raghmo

    SoC04 Migahawa na usalama wa afya za walaji. Je, tupo hatarini? Na kipi kifanyike kumaliza janga hili

    source: www.urban municipal council Utangulizi: Migahawa ni sehemu muhimu ya tamaduni ya kula katika jamii zetu, lakini mara nyingi hatufahamu yale yanayotendeka nyuma ya pazia. Wakati tunapofurahia sahani tamu au chakula cha kufurahisha, hatari za usalama wa chakula zinaweza kusahaulika au...
  2. A

    KERO Kaliua, Tabora: Huduma za Afya kituo za Ulyankulu zina walakini mkubwa

    Nimempeleka mke wangu Kwa ajili ya kujifungua katika kutuo cha AFYA cha serikali Ulyankulu. Na ikahitajika kufanyiwa upasuaji ila cha ajabu gharama nilizopewa nilishangaa sana. Huduma ilisuasua hadi pale nilipotoa pesa waliyohitaji. Nilijaribu kukutana na Daktari na kumuuliza kwanini fedha na...
  3. Edson Eagle

    SoC04 Afya bora kwa Watanzania na vizazi vijavyo

    Napendekeza yafuatayo katika sekta ya afya ili kuleta manufaa kwa Watanzania wote miaka ijayo. 1. Kuhakikisha vituo vyote vya afya vinakuwa na watoa huduma toshelevu kwa ngazi zote ili wahitaji wawe wanapata huduma ndani ya wakati. 2. Kujengwa kwa vituo vya afya vinavyokidhi mahitaji ya jamii...
  4. X

    SoC04 Maono ya kibunifu katika sekta ya afya kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    Utangulizi: Tanzania ina fursa kubwa ya kuboresha sekta ya afya na kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi wake. Kupitia maono ya kibunifu na mikakati ya utekelezaji, tunaweza kufikia afya bora na endelevu kwa wote. Hapa chini ni mpango ni baadi ya maono ya kibunifu kuelekea maendeleo ya sekta ya...
  5. A

    KERO Wizara ya Afya inawahujumu wanafunzi walioko masomoni nje ya nchi

    Pamoja na kwamba ni jambo jema kuutangazia umma kua wanafunzi kadhaa wamepata ufadhili kupitia wizara ya afya(siku hizi wamebadili jina wanaita Dr Samia super-specialized scholarship program), lakini nyuma ya pazia wanafunzi hao wanateseka haswa. Mimi nafanya kazi moja ya nchi huku ughaibuni...
  6. Berlin

    SoC04 Mwelekeo wa Tanzania: Elimu na Afya Kwa Kizazi Kijacho

    Tanzania ya leo inakabiliwa na changamoto kubwa katika sekta za elimu na afya. Hata hivyo, tunapaswa kuangalia mbele kwa mtazamo wa kipekee na kufikiria mbinu zinazoweza kuleta mabadiliko ya kweli na endelevu katika maisha ya Watanzania. Elimu Bora Kwa Kila Mtoto: • Kujenga...
  7. A

    KERO Chemba za Baa ya Lavipark - Tegeta zinatiririsha maji machafu barabarani, ni hatari kwa afya

    Baa ya Lavipark – iliyopo Tegeta Jijiji Dar es Salaam chemba zake zinatiririsha maji machafu barabarani zaidi ya miezi mitano sasa lakini hatuoni hatua zikichukuliwa. Tunaomba mamlaka zitusaidie zitusaidie kumuwajibisha mwekezaji wa baa hiyo ambayo ipo Tegeta kwa Ndevu kwenye njia inayoelekea...
  8. Nehemia Kilave

    Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

    Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF -CHF -Aetna -NSSF Na nyinginezo nyingi je wewe ni BIMA ipi unaweza mshauri mtu ajiunge na kwa faida...
  9. Mwangajamii Tanzania

    Serikali iweke sheria kali kwa wenye tabia ya kuvuta sigara hadharani ili tuepukane na maradhi sababishi kutoka kwa wavutaji sigara hadharani

    Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani Anawashasha hapo hapo halafu anapuliza Moshi watu watu wengine wanavuta limoshi lake. Hii...
  10. Cute Wife

    Ungeweza kufikia hapo ulipo bila kuchapwa fimbo?

    Wakuu kwema? JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni. Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa wamepotea huku wengine wakigoma kuwa adhabu ya viboko inapaswa kukomeshwa, mimi binafsi naunga...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Mnzava ametembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama-Shinyanga na kukagua utekelezaji wa Ilani katika Kituo cha Afya Ushetu. Vilevile, Mhe. Dkt. Christina...
  12. Arnold Kalikawe

    Kataa kitambi, unene kupindukia sio afya

    Siku zote, wenzetu wanakula, na wakila, wanakula vyakula ambavyo vinajenga miili yao. Zamani chakula kama hiki hakikuwepo Tanzania, lakini siku hizi vipo vingi tu. Tembelea supamaketi ukakutane na vyakula mbalimbali, vyenye afya, sisi tunakula ila ulajibwetu ni wa kijinga. Ndiyo! Ni wa kijinga...
  13. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM

    Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM. WAKAZI wa Tarafa ya Laini, wilayani Itilima Mkoani Simiyu wamelalamikia kitendo cha watumishi wa Afya kwenye zahanati kuwatoza fedha ili wapate kadi ya watoto ya kliniki wakati huo hutolewa bure...
  14. R

    Jinsi ya kufunga siku 52 kwa Kila mwaka kirahisi kwa afya

    Salaam, Shalom!!! Naamini Kila mtu anajua ya kuwa, chakula ni muhimu Kwa ajili ya AFYA ya MWILI, lakini pia, matabibu wamethibitisha kuwa chakula pia ni chanzo Cha magonjwa mengi tu yanayosumbua watu wengi tangu zamani. Wiki Moja, Ina siku Saba, ukitenga siku moja iwe special Kwa ajili ya...
  15. K

    TAKUKURU fuatilieni malipo ya wanafunzi wanaofadhiliwa na Wizara pale Wizara ya Afya

    Nimepata taarifa kutoka kwa madogo ninaowaamini kua pale wizara ya Afya wale watu wanaohusika kuwalipa wanafunzi waliopata ufadhili wa mama Samia kusoma nje ya nchi wanawalaghai wanafunzi hao. Mchezo uko hivi, kwanza inaonekana toka wanafunzi hao wajiunge na masomo yao mwaka jana mpaka sasa...
  16. 4

    Nimejiridhisha waliotumbuliwa kwa vyeti feki ndo wamejazana taasisi binafsi hasa secta ya Afya

    Wakuu jf Mungu amewabariki popote mlipo na ilisha kua labda tu kwa mafisadi tu Mwaka 2017 aliekua Rais wa JMT alitumbua watumishi wa umma waliokua na vyeti feki katika kada mbalimbali, may be lengo lake ilikua vijana wasio na doa kwenye Elim ,kupata ajira Ila kwa uchunguzi wangu hawa...
  17. Outsiders

    Shinikizo la kuongezewa ada katika chuo cha afya na sayansi Shirikishi Tabora (TCOHAS)

    Wadogo zetu na ndugu zetu wanaosoma Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tabora TCOHAS hususa waliorudia masomo waliyofeli wanapitia changamoto ya ongezeko la Ada, tofauti na kiasi kilichokua kimewekwa mwanzoni. Wakati vyuo vingine vya serikali kama hiki hakuna ongezeko hilo la Ada, jambo ambalo...
  18. Munari

    Muuguzi aliyesomea Afya ya Akili (Mental Health Nurse/Nurse Psychiatry) anaomba kazi

    Habari ndg... Kama utasikia au unahitaji mtaalamu kama huyu usisite kumtafuta Ana uzoefu wa kutoa huduma ya afya akili kama Asante Karibu
  19. Cute Wife

    KWELI Mtu akikung'ata anaweza kukusababishia madhara makubwa

    Nimerudi tena kwenu wataalamu wa JamiiCheck, Eti ni kweli mtu akikung'ata anaweza kukuachia bakteria ambao wanaweza hata kukuua, kwa kutegemeana na kiwango cha bakteria atakachokuachia? Hii ni kweli wataalam?
  20. Stephano Mgendanyi

    Aysharose Mattembe: Serikali Ilete Fedha Kukamilisha Kituo cha Afya cha Ngimu

    "Je, ni lini Serikali itapeleka fedha za kutosha kukamilisha kituo cha Afya cha Ngimu katika Jimbo la Singida Kaskazini" - Mhe. Aysharose Mattembe, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida. "Nimuhakikishie Mbunge Aysharose Mattembe kuwa tayari tumeshakiingiza kituo cha Afya kwenye orodha ya vituo...
Back
Top Bottom