afya

  1. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

    Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania KERO Mfereji wenye maji yenye kinyesi unatumiwa kumwagilia bustani za mbogamboga Kibaha Maili Moja, Wataalamu wetu mko wapi?

    Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda utakutana na harufu nzito, hapo kuna mfereji uliochepushwa kutokea vilipo vyoo vya soko la Maili...
  3. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Typhoid, ugonjwa unaouzwa kama nyanya na hospital binafsi

    " Daktari, Mimi Typhoid yangu naijua nikihisi tu naenda kununua dawa nakunywa na napona vizuri tu" Sentensi hii madaktari tumekua tukikutana nayo mara Kwa mara pindi tuwaonapo wagonjwa wengi huku mitaani. Cha kusikitisha zaidi Ugonjwa huu umekuwa ukitumika kujiingizia faida Kwa hospital...
  4. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuifikia Tanzania Tuitakayo: Matatu ya Kuweka Kipaumbele kwa kuelekea Tanzania Yenye afya njema

    Kumekuwa na kasi ya ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kulingana na tafiti za shirika la afya duniani (WHO) takriban asilimia 74 ya vifo vyote duniani vinasababishwa na magonjwa yasiyoambukiza nah uku magonjwa kama vile kisukari,shinikizo la damu,magonjwa ya figo na magonjwa ya moyo...
  5. dogman360

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba kusoma Vyuo vya Afya kwa mwaka 2024/2025 tukutane hapa .TCU wanafungua mwezi ujao

    Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
  6. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi Wizara ya Afya inavyo weza kushirikiana na Hospitali Binafsi na Wadau wa Afya kuleta ufanisi katika suala la Bima ya Afya

    Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano dhahiri wa kuonesha kwamba kuna changamoto katika kuandaa mikakati ya kuboresha mfumo wa bima ya...
  7. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania SoC04 "Kuboresha Huduma za Afya Tanzania: Mikakati ya Kuimarisha Utendaji wa Manesi na Kurejesha Imani ya Umma"

    Utangulizi: Katika Tanzania, huduma za afya zinaendelea kuwa muhimu katika kuboresha ustawi na maendeleo ya jamii. Hospitali za umma zinachukua jukumu kubwa katika kutoa huduma hizi kwa wananchi, na manesi wanashikilia nafasi muhimu katika utoaji wa huduma za afya kwa ujumla. Hata hivyo, katika...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Nyoka ndiye mmliki wa madini na tiba ambazo tukizijua basi tutaishi muda mrefu Duniani

    Nyoka ndio mmliki mkubwa wa madini na tiba duniani.watu wengi watajiuliza kwa nini ni mmliki wa madini na tiba. BIBLIA Yesu alisema hivi: “Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika...
  9. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida ya Aloe vera (Mshubiri)

    Ni Tiba Kwa Matatizo ya Tumbo: Kunywa mchanganyiko wa jeli ya aloe vera na maji nusu kikombe mara mbili kwa siku kwa siku tatu hadi wiki moja. Hii hutibu vidonda vya tumbo, kiungulia, na husafisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Huziimarisha Kucha Dhaifu: Pakaa majimaji ya aloe vera kwenye...
  10. Angyelile99

    JamiiForums Tanzania Kutomwaga maji chooni kabla ya kujisaidia haja ndogo, imekaaje?

    Kumekuwa na katabia kwa vyoo vya public mtu anaingia kujisaidia hasa haja ndogo hamwagi maji kabla ya kujisaidia bali akisha maliza haja yake ndo humwaga maji. Hivi hii kiafya imekaaje
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Vinywaji baridi ni hatari kwa afya ya mzazi

    Wakuu nimekutana na taarifa hii inatahadharisha wazazi kunywa maji baridi. Taarifa inaonya kwamba jambo hili ni hatari kwa afya. Upi ukweli wa jambo hili?
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kutana na Kondom ya kale

    Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa lakini hakuna ushahidi mgumu kwa hili. Kabila la kizamani la Djukas [1] lililoishi New Guinea...
  13. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuna nafasi kubwa kwenye Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania kusaidia sekta ya afya

    Maono ya Kibunifu kwa Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidigitali, Tanzania ina fursa kubwa ya kuboresha huduma zake za afya kupitia matumizi ya teknolojia za kisasa. Huduma za afya za kidigitali zinaweza kutoa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bima ya Afya Vikoba

    Kupitia mfumo wa kiditali bima ya AFYA VIKOBA itawezesha makundi tegemezi kama mwanafunzi, ombaomba nk kumudu gharama za matibabu kwa kuchangia Tshs 150 kwa siku, 1000 kwa wiki na 45,000 kwa mwaka. Na watoto umri wa siku 1 hadi miaka 4 wa mwanakikundi kupata tiba bure na hasa kwa magonjwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Suluhisho la upatikanaji wa bidhaa za afya vituoni hususani bidhaa za dawa

    UTANGULIZI. Licha ya selikari kufanya jitihada kubwa katika huduma za afya, ikiwemo majengo ya kutolea huduma za afya na wataalamu mbalimbali. Bado Kuna changamoto katika upatikanaji wa bidhaa za afya hasa bidhaa za dawa. Wizara ya afya kupitia bohari ya dawa (MSD) imekuwa ikipeleka dawa...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Dampo la ‘Bakhresa’ Mkuranga, linahatarisha afya za wakazi Dar na Pwani. Matunda kutoka dampo hilo yauzwa tena sokoni

    Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga mkoa wa Pwani, wanaamini mmiliki wa Dampo ni Bakhresa Group. Matunda yanayotupwa hapa, huokotwa na...
  17. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mazingira yetu Kwa afya zetu

    Mazingira ni kitu Chochote kinacho mzunguka mwanadamu mfano mito milima na mabonde,bahari,misitu n vitu vingi sana vingi. Ila katika hayo mazingira pia yako mazingira ya kubuni n yako mazingira ya asili kabisa aliyo tupa mwenyezi Mazingira tukiyapenda yatatu tunza pia. Kwenye mazingira yetu ya...
  18. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Swali: NHIF Inasajili Vipi Watoto wa Shule za Serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi?

    Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400 bila kujali anasoma au hasomi baada ya shirika lenyewe kujipa hasara kwa kuhujumu mfuko ndio wakaja...
  19. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  20. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ikitokea umekutana na mtu aliyepotea, mwenye tatizo la afya ya akili; utamsaidiaje ili kuwapata ndugu zake?

    Kuna video clip huwa zinasambazwa zenye kuonesha watu wenye matatizo ya akili ambao wamepotea au kutojielewa kwa wakati huo. Video hizo huonesha mahojiano kati ya mwenye tatizo na mchukua video. Je, ni sahihi kufanya hivyo? Je, ikitokea sasa mwenye hili tatizo akawa sawa, na kuiona video hiyo...
Back
Top Bottom