Salam.
Dunia ikiwa imetoka kushuhudia gonjwa hatari ya homa ya COVID -19 sasa hivi kumezuka tena ugonjwa hatari wa wa homa ya nyani (Monkey Pox)!
Ombi langu kwa serikali kupitia wizara ya Afya kuendeleza juhudi za kutoa elimu kupitia vyombo vya habari kuhusiana na huu ugonjwa ambao wengi wetu...
Vyuo vingi vya Kati vya Afya na Sayansi Shirikishi kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za wanafunzi, wapo wanaofelishwa makusudi katika mitihani yao ya practical.
Walimu wanatumia nafasi hiyo hasa kwa wanafunzi waliotofautiana nao au waliowatongoza wakawakataa, matatizo binafsi ya Walimu na bifu kwa...
Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu.
Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo:
1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO?
Kutegemea Umri...
Nimefanya utafiti kuhusu suala la mazingira katika maeneo mengi ya Kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza na hiki ndicho nilichobaini:
1. Taka zenye kemikali eneo la Soko la Samaki na Kamanga Beach
Sisi wakazi wa pembezoni mwa Ziwa Victoria tumekuwa tukishuhudia mambo mengi ambayo ni hatarishi...
Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko.
Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia?
Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.
Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na bidhaa tunazotumia. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuimarisha na kulinda ngozi yako mwaka huu...
Kufanya makosa ndio kujifunza, Sasa nadhani humu Kuna wataalamu wa afya lakini pia Kuna watu wana uelewa mkubwa kuhusu masuala ya afya
Nina uliza ninawezaje kutunza afya yangu ya mwili na akili
Naombeni tips niishi nazo 2025
Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua,
Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza...
Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera.
Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
TANGAZO TANGAZO
HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali
Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa.
Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa.
Vigezo
✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali
✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia
✅ Barua ya...
Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto. Mfano wa kusikitisha ni wa marehemu Husna Saidi Abdallah aliyejifungua katika Hospitali ya Kivinje, Kilwa.
Afya yake ilianza kudhoofika Kwa tatizo la upungufu wa damu na kuvimba miguu...
Wakuu jf kila mmoja kwa imani yake namsalimia.
Leo niko na Wizara ya Afya kama nguzo ya kusimamia taasisi zilizo chini yake mfano chama cha Madactari (MCT).
Kwa nini ichi chama kimekua na ukiritimba wa kipumbavu kwa vijana wetu, ambao serikali wengine imewagharamikia, na wengine ndugu/ wazazi...
Habari Ndugu wa Jf,
Chukua yatakayokufaa kuhusu Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora
Utangulizi
Msimu wa sikukuu ni wakati wa sherehe, lakini pia unaweza kusababisha kula kupita kiasi na kupata uzito Kupita kiasi. Tunapojiandaa kuukaribisha mwaka mpya 2025, azimio la kuweka afya na ustawi...
Ngozi ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Ngozi husaidia kuulinda mwili, kutoa taka mwili, kuratibu joto, maji na chumvi, pamoja na kuhisi vichocheo kama vile joto, baridi, miguso na mkandamizo. Ngozi nzuri inaathiri pia mwonekano na uzuri wa mwili. Hata hivyo, ngozi kavu ni tatizo...
DR. IRENE C. ISAKA, DG WA NHIF
Hadi mwishoni mwa mwaka 2021 ni 15% ya Watanzania walikuwa wanapokea huduma za tiba kwa njia ya bima ya afya.
Takwimu hizi zilijumuisha 8% kupitia taasisi ya NHIF, 6% kupitia taasisi ya iCHF, na 1.3% kupitia mifuko ya bima inayoendeshwa na watu binafsi.
Sasa...
Habari za sikukuu wapendwa
Nikiwa kama mwanajamii asee haya mambo yanayofanyikaga siku kama hizi za sikukuu(ukitoa siku nyinginezo),hali ni mbaya mno mtaani
Ndani ya siku hizi 2 tu yaaani jana na leo nimeshuhudia pairs zaidi ya 20 za watoto miaka 10-15 wakitoana out na kufanya adultery...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.