Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua.
MADHARA
1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo mikubwa na Manii yanabaki humo humo mpaka kuoza na bongo vilainishi marufuku.
2. Ukipata matatizo, hospitali za bongo utaambulia matusi na kunangwa huku unaoza,
3. Hao mabazazi watakuchekea wakufumue Tu hawana muda na wewe wakishakuharibu,
4. Nawajua vijana kadhaa kwa sasa inabid wavae diapers kuzuia haja kutoka bila taarifa.
5. Mmoja anaomba michango akatibiwe India, waliokua wanampapasa wanamkimbia. Michango tunaombwa watu Baki. Sio fair!