afya

  1. GRACE PRODUCTS

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kutumia Deodorant za Asili kwa Afya ya Mama na Mtoto: Ulinzi Dhidi ya Kemikali Hatari

    Naitwa Dr. Elizabeth Kilili, a.k.a. Mama ZOAZOA, ni mkurugenzi wa Grace Products Limited. Leo nina somo fupi ambalo nataka tuangazie afya ya mama pamoja na mtoto, nikizungumzia kitu kinachoitwa deodorant. Deodorant ni nini? Deodorant ni bidhaa ambayo hutumika kupunguza au kuondoa harufu mbaya...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza duniani, Ubelgiji yatangaza kuanza kutoa bima ya afya, maternity leave na sick pay kwa madada poa!

    Wakuu, Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana. Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji imetangaza kwamba itaanza kutoa bima ya afya, maternity leave na kulipa madada poa kama watakuwa wanaumwa...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Cuba wana kingine kipi cha maana zaidi ya sekta bora ya Afya?

    Kila inapozungumziwa Cuba mara nyingi sifa zake huwa ni mfumo mzuri wa afya tu ulioweza kuzalisha madaktari wengi hadi wa ku export na sekta ya uzalishaji madawa iliyoshamiri. Huwezi kusikia kingine cha kuvutia na kusisumua huko Cuba. Hivi karibuni ndio nilimsikia Balozi Polepole akija na jambo...
  4. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa maziwa ya ng'ombe hauna tija na afya yako (African and Asian)

    Habari wakuu, Kama kichwa habari kinavyo eleza ya kuwa waafrika na waasia hawawezi kunufaika kiafya kwa kunywa maziwa. Kwa utafiti uliofanywa na chuo kikuu Cha Cornell kimegundua ya kuwa watu wengi -- kama asilimia 60 na hasa wale wenye asili ya Asia na Afrika -- wanaacha kuzalisha lactase...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bao la usiku kwa ajili ya afya ya akili na mwili

    Hakuna mechi kali Kama Ile inayoanza saa tano na kuendelea watoto wameshalala, Aidha kama hamna watoto, basi mshamaliza task zote 👉Missionary style ndo iwe style ya mwisho, kutoa wazungu wenye asili ya wayahudi🤣 Kuna ile mechi fulani huwa inaanza Satisa usiku umeshtuka tu usingizini unavuta...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unashauri nini kifanyike ili sekta ya afya iweze kutoa huduma bora kwa kila Mtanzania?

    Je, wajua? Serikali ya Tanzania chini ya Marais toka awamu ya kwanza hadi sasa awamu ya Sita imechukua hatua mbalimbali kuimarisha huduma za afya nchini kwa kujenga miundombinu ya afya. Zikiwemo zahanati, vituo vya afya, hospital za halmashauri, hospital za wilaya, hospital za mkoa, hospital...
  7. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya NHIF na Hospitali ya Celian Arusha ni aibu

    Leo nimeenda kutibiwa Selian hospital Arusha, kilicho nishangaza ni kwamba kwanza ni kama NHIF hawana dawa za kutosha pale, nimeambiwa Paracetamol na Bluefen kati ya dawa za maumivu et nikanunue duka la dawa nje ya hospitali. Sasa najiuliza Bima haina dawa hizo 2 za maumivu je zimeisha ghafla...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya

    Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya ELimu: Diploma in Nursing and Midwifery Nina leseni Hai kutoka TNMC ( Tanzania Nursing and midwives Council) as a Registered Nurse Jinsia: Male Email: avicboston@gmail.com PM ipo wazi kwa mawasiliano zaidi...
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha viongozi wengi kuendelea kuugulia kisiri na kufia India kinaashiria huduma za afya Tanzania bado ni duni na haziaminiki!

    Ndani ya kipindi cha wiki tatu tu Tanzania tumeshuhudia vifo vya viongozi wawili wa kitaifa wakifariki wakati wakitibiwa kisiri huko India kinaashiria bado huduma zetu za kiafya hapa Tanzania ni duni, mbovu au haziaminiki na watanzania walio wengi wakiwemo viongozi wakubwa wa kitaifa. Taifa...
  10. Star_boy

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kituo cha Afya Temeke

    Nafasi za Ajira Kituo: Wakuru Specialised Clinic Mahali: Temeke, karibu na Hospitali ya Temeke Wanahitajika wafanyakazi wafuatao: Daktari Bingwa (Internal Medicine) Nurse (ANO) Laboratory Technician Pharmacy Technician Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali piga simu kupitia namba: 0783070792.
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa afya ya soka la Tanganyika, tuiombee Yanga ushindi leo

    Yanga inashuka dimbani leo ligi ya mabingwa na Al Hilal ya Sudani ikiwa ni majeruhi ya sumu ya nyuki wa Tabora baada ya kupigwa kipigo kibaya kabisa cha bao 3 kwa moja. Kipigo hicho kiliichanganya sana Yanga mpaka kufikia kumfukuza kocha wake aliyeifanyia mengi msimu huu Yanga bado ina kitete...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya na Elimu: Kwanini Watoto wa shule ya msingi wamemezeshwa dawa pasipo mzazi kupewa taarifa?

    Nimesikitishwa sana kuona leo watoto wa shule ya msingi "serikali" wakirudi kutoka shuleni wakiwa wamedhoofika sana, miili ikiwa dhaifu na macho mekundu kabisa. Nilipowauliza, walisema wamepewa dawa shuleni na kumeza bila kula. Dawa hizo wamesema ni za kichocho na minyoo, na wamepewa pasipo...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DC Nachingwea agawa Sukari, Maziwa na Unga kwa ajili ya Siku ya Afya na Lishe

    Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amegawa mahitaji ya mapishi kwa vitendo kwa ajili siku ya Afya na Lishe ya kijiji, hayo ameyafanya Novemba 22, 2024 alipokua katika kikao cha tathimini ya mkataba wa Lishe robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Mahitaji hayo ni sukari...
  14. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Israeli-Gaza war: Zaidi ya wanajeshi 6 wa Israeli wajiua huku maelfu wakumbwa na matatizo ya afya ya akili

    Katika hali ya kushangaza,jamaa wakiwa full-combated huku wakiwa wamejibebesha kila aina ya vifaa vya kisasa juu ya miili yao kuwasaidia kwenye battle ground dhidi ya Hamas,hapo ni baada ya jets na tanks za kisasa kusasfisha njia ili kuweka mteremko zaidi lakini mambo yamekuwa si mambo kwa...
  15. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Nyaishozi kinatangaza nafasi za kazi zifuatazo

    Nafasi Tutors (Diogonostic radiography na Nursing), Receptionist na Networking Sifa za Mwombaji Elimu ngazi ya diploma na kuendelea Maombi yote yatumwe kupitia Email: info@nyaishozicollege.ac.tz au Whatsapp: 0745009792
  16. B M F ICONIC

    JamiiForums Tanzania Changamoto, malalamiko, kero na ukombozi wa Sekta ya Afya Tanzania

    Kero na malalamiko wanayoyatoa wa Tanzania kuhusu changamoto kwenye Sekta ya Afya moja ya sababu ni Mifumo iliyowekwa huko nyuma kusimamia afya na kum chagua Mtu ambae hana maono / jicho la kutambua kero na Hajasomea Afya kusimamia Sekta ya Afya. Kwani yeye sio Daktari na hajawahi hashinda...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wananchi Kata ya Tembela (Mbeya) hatuna huduma ya Afya ya uhakika, jengo lililojengwa kwa nguvu zetu nalo limetelekezwa

    Wananchi wa Vijiji vya Simambwe, Shibolya, Usoha Njiapanda, Ilembo Usafwa na Galijembe vilivyopo Kata ya Tembela, Wilaya ya Mbeya, walilazimika kuchangishwa michango kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Simambwe kutokana na changamoto ya upatikanaji wa huduma za matibabu ambapo vijiji vyote...
  18. M

    JamiiForums Tanzania UKIMWI na magonjwa mengine makubwa: Je, kipi hatari zaidi?

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu hatari za UKIMWI ikilinganishwa na magonjwa mengine makubwa kama figo kushindwa kufanya kazi, kansa, na kisukari. Watu wengine wanadai kuwa UKIMWI si hatari sana ikilinganishwa na magonjwa hayo. Ingawa ni kweli kwamba magonjwa kama figo, kansa, na kisukari...
  19. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania BARAZA la Madiwani la halmashauri ya Nkasi mkoani Rukwa limewafukuza kazi watumishi wawili wa idara ya afya kwa utoro kazini

    Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi. Amesema kuwa Watumishi hao...
  20. Zegota

    JamiiForums Tanzania Hizi hospital za serikali omba Mungu sana usipelekwe huku ukiwa serious. Unaweza kufa na wahudumu wa afya Wala hawajali

    Niko hospital ya wilaya ya Butiama mda huu. Mama yake na rafiki yangu amepata ajali ya pikipiki, mguu kuanzia kwenye mapaja mpaka kikanyagio haufai, nyama hakuna mifupa Iko nje. Picha linaanza anafikishwa hospitali anawekwa pembeni mnaambiwa daktari hayupo, hamna huduma yoyote na ukimuangalia...
Back
Top Bottom