afya

  1. JamiiForums Tanzania Fahamu madhara ya mabaki ya chakula tumboni !!

    Ebu jiulize unakula mara tatu kwa siku halafu unaenda chooni mara moja au baada wiki au mwezi, je unadhani chakula kinachobaki kinajificha wapi ?! Ebu tafakari mfano huu wewe hapo ulipo una uchafu ndani ya nyumba yako halafu unauweka kwenye ndoo, kila mara ikijaa unauacha uchafu huo ndani halafu...
  2. JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

    Habari Wana JF Nauliza mafuta gani au tiba mbadala au njia gani inafaa tumiwa kwa mtu anayefanya kazi juani(sun rays) muda mrefu ili kutunza afya ya ngozi? ============ Ngozi ya mwanadamu inahitaji matunzo ili iweze kuwa na afya na mvuto wake wa asili. Ngozi isipotunzwa vizuri huweza kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…