afrika

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kongo (DRC) imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.

    Kongo imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa barani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara ambapo Afrika Kusini bado ndio inayoongoza kwa kuwa na uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Katika muktadha huu haijulikani Tanzania ni ya ngapi lakini ni ukweli ulio wazi kwamba inazidiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani yakataza Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa G20

    Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Enoch Godongwana hivi karibuni amethibitisha kuwa, yeye na Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo Lesetja Kganyago hawajapata idhini ya Marekani ya kuingia kwenye nchi hiyo, ikimaanisha kwamba watashindwa kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Wakuu wa Benki Kuu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Jabali la Afrika lililouduwaza Ulimwengu- Edward Festus Mukuka Nkoloso (1919 – 4 March 1989) Mzee wa The Afronauts

    Edward Festus Mukuka Nkoloso (1919 – 4 March 1989) Edward Festus Mukuka Nkoloso alikuwa mwalimu, mwanaharakati wa uhuru, na mtu mashuhuri kwa wazo lake la kipekee la kuanzisha programu ya anga za juu nchini Zambia. Open sidebar ChatGPT Get Plus You said: Je nawezaje Kuuza machine za...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV kuanza ziara yake Barani Afrika

    Papa Leo ameanza ziara ya siku 10 barani Afrika siku ya Jumatatu, akilenga kuwahimiza viongozi wa dunia kushughulikia mahitaji ya bara hilo ambako kwa Takwimu za Vatican zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 20 ya Wakatoliki duniani wanaishi Afrika, huku nchi tatu kati ya zile anazotembelea Kusini...
  5. JamiiForums Tanzania Afrika na Dini

  6. L

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mvinyo cha Afrika Kusini kinalenga fursa za ukuaji chini ya sera ya China ya ushuru sifuri

    Chini ya mwanga hafifu wa mwanzoni mwa majira ya mpukutiko katika Kizio cha Kusini, mistari ya chupa inasikika kwa utulivu katika Kiwanda cha Mvinyo cha Diemersdal huko Cape Town Afrika Kusini. Msimu wa mavuno ndio kwanza umemalizika, na kuacha safu za mizabibu zikiwa zimechumwa zabibu zake...
  7. JamiiForums Tanzania NGOs na vyama vya siasa vya upinzani Afrika ni watengeneza maudhui katika karne hii

    "Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na vyama vya siasa vya upinzani barani Afrika katika karne hii, vinaendeshwa kwa ushabiki na kiki nyingi kupita kiasi. Kuna mambo wanayoyafanya hadi unajiuliza iwapo watu hawa wamepoteza uwezo wa kufikiri, au tatizo ni kukosa ajenda madhubuti za maendeleo...
  8. JamiiForums Tanzania Binafsi naomba mgogoro wa mashariki ya kati usambae dunia nzima ili Afrika tufanye maboresho (Updates) ya siasa zetu

    Kwanza ieleweke sina furaha na maisha ya waafrika wote kwa ujumla. Siasa na uchumi wa Afrika si tu kwamba umetekwa bali umetekwa na watu wasiokuwa na sifa wala uwezo wa kufanya hivyo. Ulaya na Asia wanasiasa na watu wenye nguvu za kifedha ni watu elites na wenye both political and economic...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Namna ya kupenyeza agenda yako nchi za Afrika kama Tanzania

  10. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China na nchi za Afrika kushirikiana kwenye kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa Internet

    Mwezi Agosti mwaka 2021, China ilizindua Mpango wa China na Afrika wa Kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa internet, na kuwa jukwaa la kwanza la Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na Afrika. Ushirikiano huo ni mwendelezo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaosema uchawi uko Afrika tu wanahitaji kuelimishwa zaidi

    Sisi bado tunacheza na kafara za kuku, zongo chumaulete dawa za fumanizi , limbwata na ramli chonganishi Wenzetu wako viwango vya juu zaidi na wamenyooka sana na methodology zao ni simple Sana Wakichanganya Imani, asili na codes za ulimwengu wa hesabu za kiroho! Wanakutolea formulas ambazo...
  13. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa umeme wa upepo kati ya China na Afrika wahimiza mageuzi ya nishati ya kijani barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia. Kwa muda mrefu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Afrika Yaibuka Kama Kituo Cha Utalii Kwa Vijana Wa China

    Kwa Li Qiaoyang, kijana shabiki wa kutalii kutoka mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, ndoto ya likizo si kutembelea majumba ya makumbusho katika nchi za Ulaya ama fukwe za Asia Kusini Mashariki. Badala yake, anaota ndoto ya kwenda kutembelea uwanda mpana wa mbuga za Afrika. Li, aliyezaliwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mchengerwa Ashinda Tuzo Ya Mbunge Bora Afrika Na Carribean

    Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa amekabidhiwa tuzo ya ZIKOMO katika kipengele cha Best Zikomo Member of Parliament of the year Africa & Caribbean 2025. Waziri Mchengerwa amekabidhiwa tuzo hiyo na Katibu Mkuu cha Muziki wa Dansi nchini Tanzania, Abdul Malick Anania Sangura ambaye alipokea kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  17. JamiiForums Tanzania Orodha ya Waamuzi wa Afrika watakaochezesha mechi za FIFA World Cup 2026

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa ya kuwakilisha bara kwenye Mashindano makubwa zaidi ya Kandanda. Michuano hiyo ya Kombe la Dunia...
  18. JamiiForums Tanzania Masoko makubwa barani afrika mwanzoni mwa mwaka 2026

    Masoko Makubwa ya Afrika Februari 2026. Mwezi Februari umeonyesha mwanzo mzuri kwa chumi kuu za Afrika mwaka 2026, imechangiwa na kupungua kwa mfumuko wa bei, kuimarika kwa sarafu za ndani na kuongezeka kwa hamu ya wawekezaji. 🎯Misri Yakumbwa na Hali Ngumu ya Biashara Sekta binafsi ya Misri...
  19. JamiiForums Tanzania ATHARI YA SIASA kwenye Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka

    Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka 🎯Ongezeko la mzozo wa Mashariki ya Kati limesababisha bei ya mafuta duniani kufikia $90 kwa pipa, kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka miwili. Hali hii inatishia kudhoofisha kasi ya kushuka kwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere atikisa Afrika, Ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Usiku wa Machi 07.2026 katika jijini la Kigali nchini Rwanda, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards' Yericko ambaye pia ni kada wa CHAUMMA alishinda kwa kura 7584 sawa na 53% alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…