afrika

  1. JamiiForums Tanzania Arusha: Serikali yakabidhi eneo la ujenzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekabidhi eneo la ujezi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwa Mkandarasi ambaye ni CRJE (East Africa) Ltd na Mshauri Elekezi Aru Built Environment Consulting Company Ltd (ABECC) katika eneo la Lakilaki...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ataka Mabadiliko ya Katiba yanayompa nafasi ya kugombea tena

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin Archange Touadera amesema Nchi hiyo itapiga Kura ya Maoni Julai 2023 kwaajili ya kupitisha mabadiliko yatakayowezesha Rais aliyeko madarakani kuwania Urais kwa kipindi cha 3. Kupitia hotuba yake kwa Taifa, Rais Touadera ameeleza kuwa tayari...
  3. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kubadilisha Sheria ili kukwepa kumkamata Putin

    Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika ili kuwa na nguvu ya kuamua mtu wa kumkamata pindi anapotuhumiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Rais wa Urusi,Vladimir Putin ana mwaliko wa kushiriki kikao Agosti 2023 Nchini Afrika Kusini na yupo hatarini kukamatwa kutokana na vita inayoendelea...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yawa jicho la "diplomasia ya rasilimali" chini ya ukoloni mambo leo wa Magharibi

    Wakati wa kuhudhuria Mkutano wa G7 uliofungwa hivi karibuni mjini Hiroshima Japan, kamishna wa biashara wa Umoja wa Afrika Bw. Albert Muchanga alisema wazi mbele ya waandishi wa habari kuwa zama ya ukoloni ilikwisha, kwa sasa bara la Afrika halitaki kuwa ni chanzo tu cha maliasili kwa nchi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nazi nzima ni Agharabu ya Mbovu. Waliocheza Fainali ya Afrika wanachekwa na waliokosa kila Medali kwa Misimu 2 mfululizo

    Ni ajabu na kweli ya kwamba kuna mashabiki, viongozi na wanachama wa klabu moja hapa nchini wamefanya sherehe ya kufurahia baada ya Yanga kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USMA Alger ya Algeria. Watu hao ambao chuki na wivu wa maendeleo...
  6. JamiiForums Tanzania Safari ya Afrika: Jinsi Uturuki inavyokuza mahusiano na bara la Afrika

    Ushawishi wa Uturuki barani Afrika hii leo, unahusisha sekta mbalimbali, huku Ankara ikiliunga mkono bara la Afrika kama sehemu yake ya sera za kigeni. Tukur ni miongoni mwa takriban wanafunzi elfu 10, wengi wao kutoka Afrika, ambao wamenufaika na ufadhili wa masomo kutoka Uturuki katika...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Mpesa ilivyofanikiwa Afrika ikashindwa kwenye soko la Ulaya - Funzo wa madevelopers

    Katika ubunifu ambao umefanikiwa sana Afrika ni mobile money hasa ikizaliwa kutoka Safaricom Mpesa. Ubunifu huu tofauti na ubunifu uliozoeleka kuanzia ulaya ukaletwa Afrika, huu ulitengenezwa mahususi kwa mazingira ya kiafrika na ndio maana mbile money imefanikiwa sana afrika. Vodafone kuona...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya Tanzania havimo kwenye 10 bora Afrika

    Katika orodha mpya iliyotolewa na Opta yenye kuonyesha ubora wa vilabu mbalimbali duniani kwenye vilabu kumi bora Afrika hakuna hata klabu moja ya Tanzania pamoja na tambo nyingi za wanazi wa vilabu vikubwa vya Tanzania lakini vilabu vyao havipo kwenye 10 bora Afrika. Top 10 teams in Africa...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya Tanzania havimo kwenye 10 bora Afrika

    Katika orodha mpya iliyotolewa na shirikisho la soka duniani (Fifa) yenye kuonyesha ubora wa vilabu mbalimbali duniani kwenye vilabu kumi bora Afrika hakuna hata klabu moja ya Tanzania pamoja na tambo nyingi za wanazi wa vilabu vikubwa vya Tanzania lakini vilabu vyao havipo kwenye 10 bora...
  10. JamiiForums Tanzania Kimenuka huko Afrika Kusini

    Waraka huo hapo chini,wapeni Tahadhari ndugu,jamaa na marafiki zenu
  11. JamiiForums Tanzania CCM ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Nini siri yao?

    Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri...
  12. JamiiForums Tanzania KOREA ya Kaskazini kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika

    KOREA Kaskazini imesema siku ya ya Alhamisi kuwa inakusudia kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika na kuapa kupanua uhusiano huo wa "urafiki na ushirikiano." "Tumejitolea kuziunga mkono kikamilifu nchi za Afrika katika juhudi zao za kufikia amani, utulivu na uadilifu wa kisiasa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonesha kuwa mikopo toka China kwa nchi za Afrika ina gharama za chini kuliko ile ya nchi za Magharibi

    Watafiti katika taasisi ya Uchumi wa Dunia ya Kiel ya Ujerumani, wamefanya utafiti na kufikia hitimisho kuwa mikopo inayotolewa na China kwa nchi za Afrika ni ya gharama nafuu kuliko ile inayotolewa na nchi za magharibi, au inayotolewa na wakopeshaji wa kibiashara. Hitimisho hilo limefikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi sita wa Afrika kusuluhisha mgogoro wa Ukraine na Urusi

    Ujumbe wa viongozi hao wa Nchi 6 za Afrika unatarajiwa kufanya mazungumzo na pande mbili wenye lengo la "kuanzisha mchakato wa amani." Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy wote wamekubali kuwa wenyeji wa ujumbe huo kutoka Afrika Kusini, Senegal, Misri, Jamhuri...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Muhimu Kupambana na Rushwa Katika Miji ya Afrika Inayokua kwa Kasi

    Rushwa katika mipango ya maendeleo ya mijini inaweza kuwa chanzo cha umaskini, ukosefu wa usawa, na ukosefu wa haki katika miji ya Afrika. Ingawa rushwa katika ngazi ya miji sio jambo jipya, inaonekana kuongezeka kadri viwango vya ukuaji wa mijini vinavyoongezeka duniani. Hii ni dhahiri sana...
  16. JamiiForums Tanzania Dangote afungua kiwanda kikubwa Afrika cha kusafisha mafuta

    Dangote kafungua kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta. Kiwanda hicho kitakuwa na uwezo wa kusafisha mapipa 600,000 kwa siku (600K BPD) Kiwanda hicho kitakuwa kikubwa kuliko vyote Afrika. Kiwanda hicho kitakuwa ni kiwanda kikubwa cha Single Line Duniani. Kiwanda hicho kitatoa zaidi ya Tani...
  17. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zilizofuta Adhabu ya Kifo kwa Makosa yote

    1981 - Cape Verde 1990 - Msumbiji, Namibia, Sao Tome 1992 - Angola 1993 - Guinea-Bissau, Seychelles 1995 - Djibouti, Mauritius 1997 - Afrika Kusini 2000 - Ivory Coast 2004 - Senegal 2007 - Rwanda 2009 - Burundi, Togo 2010 - Gabon 2015 - Congo-Brazzaville, Madagascar 2016 - Benin 2017 - Guinea...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Rekodi za Yanga dhidi ya Timu za Afrika ya Kusini

    Wasalaam. Ninaomba mwenye rekodi za Yanga akicheza na klabu za Afrika Kusini hasa mechi zinazochezwa ugenini Afrika Kusini kama hii ya kesho. Nawasilisha.
  19. JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt. Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tamaduni za kipekee na za ajabu Afrika

    Utamaduni ni jinsi binadamu anavyokabili maisha katika mazingira yake. Hii pamoja na ujuzi, Imani, Sanaa, sheria , mila, desturi, ambavyo mtu anajipatia kama mwanajamii. Inapokuja kwamba mambo fulani yanakubaliwa na jamii fulani kutekelezwa basi huitwa utamaduni wa jamii hiyo. Tutakubaliana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…