afrika

  1. JamiiForums Tanzania Maktaba Yapokea Kalenda Inayoeleza Historia ya Ukombozi wa Afrika Kusini na Kitabu Kuhusu Ubaguzi Katika Elimu

    MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu. Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
  2. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kupata mwekezaji wa USD Billion 17 wa kujenga kiwanda cha kuongeza thamani ya rasilimali za Afrika

    Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu tokea tupate uhuru hakuna mwekezaji ambaye amewekeza kwenye kiwango hiki cha fedha Na anachojenga...
  3. JamiiForums Tanzania Wazungu wanakubari makosa na kujifunza ndio maana wanazidi kutumia uwezo wetu kwa serikali mbovu za afrika kutokubari makosa

    Ni jinsi gani Africa imekuwa sehemu ya majaribio ya kila aina bila wao kujifahamu. Mzungu anaweza kukosea ila anaweza kukuacha na kujifunza alichokosea. USA kutimiza miaka 250 mpaka taifa kufika pale ila walijifunza makosa na mpaka sasa ni taifa kubwa. Afrika ijawahi kujifunza makosa ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Christians, hii ndiyo sababu walikuja Afrika!

    pamoja na upotoshaji mwingi unaofanywa na communists na muslims khs sababu za ujio wa Christians barani Afrika, lkn sababu KUU ilikuwa ni ku-push back on islam conquest of the continent. ikumbukwe kwamba there's no way afrika ingebakia neutral hivyo ilikuwa ni aidha iende islamic yote kuanzia...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kiswahili: Kiswahili chajenga daraja la mawasiliano baina ya China na Afrika

    Kila ifikapo Julai 7 ya kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani, ikiienzi mojawapo ya lugha zenye ushawishi mkubwa na zinazozungumzwa zaidi barani Afrika. Siku hii mbali na kusherehekea utamaduni wa Kiswahili, pia inaangalia umuhimu unaoongezeka wa Kiswahili katika...
  6. JamiiForums Tanzania Legacy ya hayati JPM ni kwa Afrika nzima alikiwa mfano wa kuigwa kwa ajili ya Afrika. Angekuwepo taifa letu lisingepata mpasuko kama huu

    Nidhamu ya watumishi wa umma iliimalika. Wakafanya kazi kwa uadilifu na uzembe ukadhibitiwa. Wezi mali za umma kupitia miradi ya umma wakadhibitiwa. Mataifa yote ya Afrika yakatamani yawe na rais kama hayati JPM. Leo hii taifa letu lina mpasuko mkubwa. Ufisadi na nepotism linatajwa kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini urusi kwa nchi za afrika zinashindwa kuishtaki kwa udanganyifu wa ajira wakapigane Ukraine.

    Malalamiko mengi na mashuuda wameeleza kuhusu urusi ilivyo wafikisha kwa udanganyifu wa ajira na mambo mengine mwisho wa siku wanajikuta kulazimishwa kupigana na ukrain. Cha kushangaza tumeona raisi feki kaenda huko na nyie JWTZ msipo kuwa makini mtapelekwa kwa lolote.
  8. JamiiForums Tanzania Walimu wa afrika wamezima ndoto za wanafunzi wengi ndio maana afrika kuendelea ngumu.

    Leo mjinga ndio anakuwa na cheo na kila kitu. Kwa nini dotto magari kafikia kuziaki wenye elimu wakati anachokitumia kimetengenezwa na wenye elimu. Tanzania kama mzazi kumbatia mawazo ya mtoto wako na ndoto zake. Walimu wengi wameharibu ndoto za watoto hata mliopo hapa JF mnaweza kutoa...
  9. JamiiForums Tanzania Tunuku vyeti na vyeo vya elimu na mpaka sifa leo Afrika imemzidi kipi Irani, kusini mwa Korea kuogopwa

    Kuna mambo mengine afrika kama kichekesho. Leo kuna sifa na vyeo wanapewa ila wakitingishwa wanaanza kutoa milio. Hivi mfano iran unaweza kufananisha nchi gani hapa afrika.
  10. JamiiForums Tanzania Afrika kuna njia ngumu sana kwa upande wa watawala kutumia democracy inabidi kutengenezewa jina aina za utawala wake

    Neno democracy kwa afrika naomba liondolewe litafutwe jina lengine mfumo wa utawala wenye jina lake. Leo hii waziri Katambi na CCM wake hata katiba iliyopo ni shida kuitumia
  11. JamiiForums Tanzania Muslims in South Afrika, stop hiding illegals!

    wasauzi "wanawasihi" muslims wa huko waache mara moja kuwaficha ma-illegals, kuwapa kazi au hata kuwapangisha, duh, i know where this is going, ee Mungu tunusuru ... wawindwaji wameomba hifadhi wizara ya mambo ya ndani fikiria kundi kama hilo linakuvamia, matatizo ya kisaikolojia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Machafuko yakutisha Afrika Kusini: Waafrika wa mataifa mengine, wakiongozwa na watu wa Malawi, waamua kujitetea dhidi ya Wazulu

    Wamesema IMETOSHA!! Kama marungu na sisi tunayo. kama mapanga na sisi tunayo na chochote, wala hatutanyanyaswa tena kizembe! Wameingia mitaani wakisema liwalo na liwe! https://www.facebook.com/reel/1518732492576140/?mibextid=Nif5oz
  13. M

    JamiiForums Tanzania Afrika ijitathmini upya katika SOKA

    Tukiweka utaratibu wetu (Siri ya ndani) Kila kombe la dunia kupeleka timu 2 mpya hakika tutaona maajabu. Hili litawezekana tu kwa kuanzia chumbani ndio tuje sebuleni (vilabu hadi timu za Taifa),mwenye uwezo aruhusiwe kubeba "ndoo" ili kujijenga kwa pamoja (inclusive football) Rejea: 1.Senegal...
  14. JamiiForums Tanzania Timu za Afrika zimeonesha Uafrika wetu Kombe la Dunia

    Timu za Afrika kwenye Kombe la dunia zimeonesha tabia zetu halisi kwenye mashindano ya Kombe la dunia. 1. Wachoyo wa kupasiana (ubinafsi) 2. Wazito wa kufanya maamuzi Kwa wakati. 3. Kila anayepata mpira anatamani yeye pekee ndiyo afunge. 4. Uvivu kwenye kukaba adui. 5. Kutokufuatilia...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye amani Afrika, Tanzania haimo. Salaam kwa Samia na Mwigulu

    Nafasi ya amani Afrika Chanzo cha picha,ABI Kwa mujibu wa Global Peace Index 2026, Tanzania ipo katika nafasi ya 17 barani Afrika kwa kiwango cha amani, huku ikiwa ya 98 duniani. Inazidiwa hadi na Zambia MY TAKE Kila siku wanadai eti wanalinda amani. Wanalindaje amani ambayo haipo? Wanalinda...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki: Katambi na Vyama vya Siasa Kainerugaba na Vyombo vya habari. Tunaelekea wapi?

    Huku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari. Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko Marekani au yupo hai. Mnamo Machi 21, 2026. Yoweri Museveni alisema kwaamba ana hofu kubwa juu ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mataifa 10 yenye amani zaidi barani Afrika

    Kuna taarifa imetoka kuhusu orodha ya mataifa 10 yenye amani zaidi Afrika. Tanzania haimo, je ni sahihi kuwa Tanzania haimo hata kwenye kumi bora yenye amani barani afrika. Toa maoni yako. Nafasi ya amani Afrika
  18. JamiiForums Tanzania Gari zinazotumia umeme kujiendesha si rafiki kwa nchi za afrika.

    Teknolojia imekuja kwa kasi ila kasi ya afrika kwenye kuipokea inachangamoto kubwa. Kwa magari ya umeme nimegundua mfumo wake wa betri umewekwa chini na si rafiki kwa nchi yetu. kwa nini sio rafiki?.Embu tuangalie barabara zetu zenye mashimo,mawe,madimbwi,rafu na n.k. Kwa uvumilivu wa betri...
  19. JamiiForums Tanzania Machafuko (Xenophobic attacks) Afrika Kusini faida kwa Utalii Tanzania

    Tutumie faida ya machafuko huko South Africa kukuza utalii Tanzania. Ikibidi itumike mbinu mbinu kuwa-support viongozi wa maandamano March to March na Dudula ili pawake kila siku kuharibika huku tunajaza watalii
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya raia wa Zimbambwe baada ya kurudi akitokea Afrika Kusin tangu 2009

    Kumekuwepo Picha inayosambazwa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na X (zamani Twitter) kumuonesha mwanaume wa Zimbabwe aliyekwenda Afrika Kusini mwaka 2009 na kurejea nyumbani baada ya miaka 16 kufuatia mashambulizi dhidi ya wahamiaji (xenophobic attacks), ambapo amekuta nyumba ya familia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…