Africa needs a single currency, it will c.rush the dollar - Nigerian journalist Kemi Olunloyo
Nigerian journalist and chemist, Dr. Kemi Olunloyo, has stirred fresh debate on African economic integration with a bold call for a single continental currency.
In a Facebook post sighted by Ghbase...
Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu Magharibi kudhibiti utajiri wa Afrika.
Viingozi wa Afrika yote mnahitaji ka kudhibiti utajiri wa...
Wakuu samahani hivi viongozi WA timu zetu wanashindwa kuandaa mbinu za kukabiliana na maamuzi mabovu ya warefa WA hizi mechi kubwa.?
Leo ndio simba kafungwa lakini tulijua kabisa kuwa lazima mwamuzi atakuwa upande WA RS berkane.kwanini simba isingeandaa mbinu ya kukabiliana na hayo yalikuwa...
Kama mfatiliaji WA movies za kizungu hasa za kutisha utakubaliana namm kwamba huu mtazamo WA majini yanafugwa na waislamu upo Africa tu kwenye wajinga wengi wafia dini lakini uko Kwa wazungu majini ni viumbe kama viumbe wengine havihusian na dini yeyote Ile.
Kuna horror movies nying sana ambazo...
Watumwa wengi kutoka Tanganyika na Afrika Mashariki walipelekwa Uarabuni na Afrika Magharibi walipelekwa Marekani kusini na kazkazini kama mnavyoona hapa chini
Ulaya ilikuwa inanuka. Tena inanuka sana.
Wazungu walikuwa wachafu, sema haya mambo hutokuja kuyasikia wakiyaandika kwenye vitabu vyao.
Unawajua watu walioitwa Moors? Hawa walikuwa watu weusi waliokwenda huko Ulaya.
Kuna ile nyakati Wazungu waliita Dark Ages, haikumaanisha kwamba jua halikuwa...
24 May 2025
Mahmoud T. Kombo Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua..
https://m.youtube.com/watch?v=wJscmF_-oEw
Waziri Kombo alikuwa akizungumza leo Mei 24, 2025, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius...
https://youtu.be/8KZulT0i1nk?si=OmucN8PMwbOADTlj
Kwa unyama huu waliotendewa Wanasheria na Wanaharakati toka nchi za jirani zetu Kenya na Uganda kimeharibu kabisa uhusiano wa kidplomasia.
Tujiulize: Kulikuwa na ulazima gani wa kuwakamata, kuwatesa na kuwa dhaliilisha kingono baadhi yao? Mtu ni...
Moja ya ziara zilizotikisa vyombo vya habari week hii ni hii ya Rais wa Afrika Kusini kuitembelea Marekani.
Kama kawaida ya Trump alimkalisha chini Ramaphosa Oval office. Lakini safari hii Ramaphosa hakufanya mistakes za Zelensky alikuwa humble and composed. Hili likamfanya Trump naye...
Katika maisha ya kila siku, kuna jambo moja ambalo linatisha kuliko njaa, kuliko maradhi, kuliko hata kifo chenyewe—nalo ni kuishi bila kufikiri. Kuishi kama mzigo unaosukumwa na upepo wa mazoea. Kuamka, kula, kufanya kazi, kupumzika, kulala, kisha kurudia. Watu wengi wameingia katika mduara huu...
Mhandisi wa Miundombinu ya Mawasiliano kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Leo Magomba amesema kwamba katika bara la Afrika wanaotumia internet ya uhakika ni asilimia 38 kati ya watumiaji wote, ambapo amedai kuwa zinahitajika juhudi za pamoja kuchochea...
Sekta ya michezo ya Kamari barani Afrika inaendelea kukua kwa kasi, ikivutia wawekezaji, wasimamizi wa sheria na watafiti. Ukuaji huu unachangiwa na idadi kubwa ya vijana, upatikanaji wa intaneti na matumizi ya simu janja.
Ripoti ya GeoPoll ya Aprili 2025 inaonesha kuwa idadi kubwa ya watu...
TANZANIA 'YASHTAKIWA' UMOJA WA AFRIKA!
Martha Karua ameuandikia barua Umoja wa Afrika kuhusu kukamatwa, kuwekwa kizuizini na kuteswa kwa Boniface Mwangi wa Kenya na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania.
Kama majibu ya Tanzania kwa Bunge la Ulaya yalisema Bunge hilo lilipewa taarifa za...
Hahahaaa.
Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko?
Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa.
Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣.
===============
Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano...
Barani Afrika, baadhi ya viongozi wenye ushawishi mkubwa si tu kwamba ni vigogo wa kisiasa, bali pia ni matajiri wakubwa. Miongoni mwao ni Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye utajiri wake unakadiriwa kufikia dola bilioni 5.8, akifuatiwa na Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ambaye anakadiriwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika Bara lote La Afrika Kwa sasa limebakiwa na Mwanadiplomasia Mmoja tu na pekee mstaafu ambaye ndiye Nguli ,bingwa na bobezi katika siasa za kimataifa na mwenye uwezo wa ushawishi na kushawishi jambo na kukubalika.
Ndiye Mwenye Uwezo , kumbukumbu,maarifa ,ufahamu wa...
"AI (Artificial Intelligence) inachukua nafasi kubwa duniani – kutoka kwenye kazi za uandishi hadi huduma kwa wateja. Lakini je, kwa Afrika na hasa kwa vijana wetu, hii ni FURSA au TISHIO kwa AJIRA?"
Kuna wanaosema AI inasaidia kurahisisha kazi, kuongeza tija na kuleta fursa mpya…
Lakini wapo...
Katika mtu anayeongozwa kusemwa sana kwa utawala wake ni raisi samia hapa JF.Sio kusemwa kwa mazuri ni mabaya mengi ambayo wananchi wake wameshamchoka.
Sema watanzania wanakatabia kama cha tenge tenge kuacha mambo.
Sada haya mabifu ambayo kila kukicha tunatengeneza nchi za watu.
Unaficha nini...