afrika

  1. JamiiForums Tanzania Afrika ni bara la ujinga na limekosa dira

    Mimi ni mwana wa Afrika, pia ni mwana wa Afrika Mashariki, nalia na bara langu, nalilia Afrika, machozi yangu bila kuficha hayaendi endi bure, wewe Afrika kwanini uko nyuma kitechnologia. Wewe Afrika kwanini had leo bado unapokea misaada, wewe Afrika lini utasimama kwa miguu yako, utapiga hatua...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Umoja wa Posta Afrika (PAPU) awasili jijini Dodoma

    KATIBU MKUU UMOJA WA POSTA AFRIKA (PAPU) AWASILI JIJINI DODOMA Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU),Bwana Sifundo Chief Moyo amewasili jijini Dodoma akiambatana na msaidizi wake Bi Jessica Uwera Ssengooba kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Siku Posta Duniani yatakayofanyika tarehe 9...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika ambao bado wanaishi hata baada ya kufa

    1:Patrice Lumumba, Julai 2, 1925 katika ardhi ya Congo alizaliwa mtoto wa kiume katika viuno vya Mzee François Tolenga Otetshima na tumbo la Bi Julienne Wamato Lomendja, akaitwa jina lake Elias Okit’ Asombo yaani Mrithi wa Aliyelaaniwa. 2: Kwame Nkrumah, Aliye ifanya Ghana ikawa nchi ya chama...
  4. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utegemezi wa nchi za Afrika barani Ulaya, umeendelea kuwa tatizo sugu. Maoni haya yenye tija yatasaidia kupunguza utumwa huu

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Nchi nyingi za Kiafrika zimeendelea kuwa tegemezi Barani Ulaya, Amerika, Asia na Mataifa mengine toka Mabara ya nje. Serikali nyingi za Afrika, zimeendelea kutegemea mikopo, misaada na sera za kiutawala na kiuchumi kutoka Mataifa hayo. Utumwa huu usiokoma...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zaendelea kuimarisha uhusiano wa kibiashara

    Na Fadhili Mpunji Maonyesho ya pili ya biashara na uchumi kati ya China na Afrika yanaendelea kufanyika mjini Changsha, Hunan kusini mwa China. Maonyesho haya ni moja ya majukwaa muhimu ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, na ni fursa adimu inayotolewa na China kwa nchi...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Watanzania tuamke! Wenzetu wa Afrika Mashariki wanatutamani

    Tanzania ni miongoni mwa nchi sita (6) zinazounda jumuiya ya Afrika Mashariki yenye nchi za Uganda, Kenya, Rwanda, Sudani ya Kusini, Burundi na Tanzania yenyewe. Eneo lote la Afrika Mashariki (ukiondoa Sudani Kusini) linakadiriwa kuwa na ukubwa wa kilomita za mraba 1,820,664 (ukubwa mara 53.7 wa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania China inaendelea na juhudi za kuleta maendeleo yasiyochafua mazingira barani Afrika

    China itaendelea kuziunga mkono nchi zinazoendelea kuendeleza nishati safi inayotoa kiwango kidogo cha kaboni, na haitajenga miradi mipya ya umeme wa makaa ya mawe nje ya nchi. Ahadi hii iliyotolewa na rais Xi Jinping wa China kwenye mjadala mkuu wa kikao cha 76 cha Baraza Kuu wa Umoja wa...
  8. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua Kuhusu Samia UN: Kumbe alitaka kuhutubia Kiswahili! Baada ya Kiswahili kuwa Lugha ya Afrika, Rais Samia kukipaisha kuwa Lugha ya Dunia

    Wanabodi, Baada ya Rais Samia kuhutubia Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York nchini Marekani kwa kutumia lugha ya Kiingereza safi kilichonyooka, kuna wajinga fulani huku kwenye mitandao ya Kijamii, walimpongeza Rais Samia kwa kuhutubia kwa Kiingereza safi na huku wakimponda...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Afrika wastawi

    Maonesho ya pili ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya nchi 40 za Afrika na karibu kampuni 900 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na maendeleo ya uhusiano wa kirafiki kati ya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ajenda ya AU 2063 na miradi inayotekelezwa na China ya BRI ni injini ya ukuaji Afrika

    Nchi za Afrika zimejiwekea mikakati ya kiuchumi kulingana na maslahi na hali halisi ya kila nchi. Lengo kuu ni kufikia maendeleo endelevu na kuhimiza ukuaji wa kiuchumi ambao unafaisha watu wengi. Benki ya Maendeleo ya Afrika inakadiria kwamba kiwango cha ukuaji wa uchumi wa Afrika kwa mwaka huu...
  11. JamiiForums Tanzania 2021 UNGA: Hotuba ya Rais wa Ghana, Nana Akufo Addo Ndiyo Hotuba Bora Kabisa Inayogusa Mambo Mtambuka Yanayolikabili Bara la Afrika

    Hii hotuba kwa kweli imegusia maswala ya msingi sana na ambayo marais wengine wameogopa kuyaongelea kwa kuwaogopa donor countries. Mojawapo ya hayo mambo ni kama yafuatayo: 1. Afrika inatakiwa kujenga uchumi ambao hautegemei misaada na mikopo, kwa sababu uzoefu wa muda mrefu na wenye uchungu...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kijana Mkenya kuwakilisha Afrika kwenye shindano la kimataifa baina ya wabunifu duniani

    Kama kawaida, Afrika tunazidi kuiwakilisha kwenye mambo makuu yanayohitaji matumizi ya ubongo. A Kenyan startup has made it to the finals in an international competition for newly established businesses, where the winner will take home Ksh11,040,000 prize money. KOA Mobile App, which offers...
  13. JamiiForums Tanzania UNGA: Afrika yaeleza ukosefu wa usawa chanjo za Corona

    Viongozi wa Afrika wameelezea ukosefu wa usawa katika usambazaji wa chanjo za Covid-19, wakati walipohutubia kikao cha 76 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New York. Katika hotuba yake ya kwanza kwa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ukosefu wa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China haitakiwi kulaumiwa kwa kusaidia nchi za Afrika kuwachunguza watu wake kupitia ushirikiano wa kidigitali

    Na Fadhili Mpunji Katika miaka ya hivi karibuni bara la Afrika limekuwa na maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) na mambo ya kidigitali kwa ujumla, na sekta hii inatajwa kuwa ni moja ya sekta zenye maendeleo ya kasi zaidi katika nchi za Afrika, na kuwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kuwaendeleza waafrika kwa kutumia rasilimali zao ni mtindo mpya wa wawekezaji binafsi barani Afrika

    Tangu mwaka 2000 serikali ya China ilianza kuwahimiza wafanyabiashara kuwekeza katika nchi nyingi duniani ikiwemo nchi za Afrika. Na matokeo yake ni kuwa mwaka 2019 thamani ya uwekezaji wa moja kwa moja wa China barani Afrika ulifikia dola bilioni 44.39, ukiwa ni asilimia 4.7 ya jumla ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika umeshindwa kutengeneza chanjo ya COVID-19?

    Kuna tatizo kubwa Afrika, Yaani hata kwa kuunganisha Nguvu zetu kwa pamoja kuja na chanjo moja imeshindikana, tunabaki kuwapa pongezi kubwa wazungu kwa kutuletea chanjo. maisha ya mwafrika yapo mikononi mwa mzungu. Sasa tuna Uhuru gani? Uhuru wa kupandisha bendera na kushusha basi. Uhuru wa...
  17. JamiiForums Tanzania Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

    Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika. Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mtaguso wa Washington DC kati ya Rais Obama na baadhi ya Viongozi wa Dola za Afrika

    Taswira zote kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Mnamo Agosti 4 - 6, 2014 US ilikuwa na mkutano baina yake na baadhi ya viongozi wa Afrika kujaribu kufufua mkataba wa AGOA (African Growth and Opportunity Act) ambao kimsingi ni sera ya Marekani...
  19. JamiiForums Tanzania Maambukizi Barani Afrika yafikia Milioni 8.1

    Maambukizi Barani Afrika yamefikia Milioni 8.1 hadi kufikia mwishoni mwa wiki iliyopita huku Wagonjwa waliopona wakiwa 7,454,718 na vifo 206,202 Kwa mujibu wa Kituo na Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Barani humo, miongoni mwa Mataifa yaliyoathirika zaidi ni Afrika Kusini, Morocco, Ethiopia na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yatakiwa kulinda kwanza haki ya maendeleo huku ikishiriki kwenye jitihada za dunia za kupambana na mabadiliko ya tabianchi

    Ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, “kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni” imekuwa maoni ya pamoja kivitendo ya nchi mbalimbali duniani, lakini nchi zilizoendelea ambazo zimekamilisha mchakato wa maendeleo ya viwanda zinachukua msimamo mkali juu ya suala hili. Mapema mwaka huu, nchi saba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…