Wengi wetu tunaposema “Tanzania ni Ujerumani ya Afrika Mashariki”, wengine hucheka, wengine hushangaa, na wachache huelewa maana halisi ya kauli hii. Lakini kwa anayechambua historia, jiografia, diplomasia, uchumi, na nafasi ya kistratejia – Tanzania inaendelea kuwa kama Ujerumani katika Ulaya...