afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Falcon asafiri kutoka Afrika Kusini mpaka Finland kwa umbali wa Kilomita 230 kwa siku

    Imeelezwa kuwa ndege huyo aina ya Faicon aliyefuatiliwa mwenendo wake na kifaa cha GPS amesafiri kutoka Afrika Kusini hadi Finland akikamilishsa Kilomita 230 kila siku na kukamilisha safari yake baada ya siku 42 Habari kamili ni hii hapa The female falcon was equipped with a GPS tracker during...
  2. S

    Jinsi ubaguzi wa rangi na vita baridi vilivyochelewesha uhuru wa afrika kusini

    Afrika Kusini ilipata uhuru mwaka 1994 kutoka kwa utawala wa ubaguzi wa rangi, je ni kwanini? Miongoni mwa sababu zilizochangia ni ubaguzi wa rangi katika mataifa ya Ulaya na Marekani pamoja na vita baridi. 1. UBAGUZI WA RANGI Wapigania uhuru wa Afrika Kusini walipuuzwa walipojaribu kuomba...
  3. Afrika Kusini yaomba kuwa mwenyeji wa michuano ya Olympics mwaka 2036

    Nchi ya Afrika Kusini imeanzisha jitihada zake za kuomba kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olympics ya mwaka 2036. Ikiwa ombi hilo litakubaliwa Afrika Kusini itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa mwenyeji wa mashindano ya Olympics. Kumbuka kuwa mwaka 2010 Afrika Kusini waliwahi kuandaa michuano...
  4. Aliyefutiwa Uraia Afrika Kusini, Chidimma aibuka mshindi wa pili Miss Universe 2024

    Malkia wa urembo wa Miss Universe Nigeria, Chidimma Adetshina, ameibuka mshindi wa pili katika shindano la Miss Universe 2024 lililokamilika Mexico City Jumamosi usiku. Miss Denmark, Victoria Kjaer Theilvig ndiye aliyeibuka Miss Universe mwaka huu 2024. Chidimma Adetshina ambaye awali...
  5. Rais wa Shirikisho la Soka Afrika Kusini (SAFA) Mbaroni kwa Kutumia Pesa za Shirikisho Kujinufaisha Binafsi

    Rais wa Shirikisho la soka la Afrika Kusini (SAFA) Danny Jordaan amekamatwa kufuatia madai ya kutumia pesa za Shirikisho hilo kujinufaisha binafsi, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Jordaan, ambaye alichukua jukumu kubwa katika kuandaa Kombe la Dunia la 2010 nchini Afrika Kusini...
  6. Aliyefutiwa Uraia Afrika Kusini, Chidimma ashika nafasi ya tatu kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks

    Mrembo wa Nigeria aliyefutiwa Uraia nchini Afrika Kusini, Chidimma Vanessa Adetshina ameshika nafasi ya tatu Duniani kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks. Soma, Pia: Afrika Kusini yamfutia uraia mrembo wa Nigeria, Chidimma Adetshina pamoja na Mama yake Chidimma Adetshina, ambaye alikuwa...
  7. W

    Afrika Kusini yamfutia Uraia Chidimma

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Afrika Kusini imetangaza kuondoa hati za utambulisho wa uraia wa Chidimma na Mama yake Oktoba 29 2024, kutokana na kushindwa kutoa maelezo ya kwanini wabaki na hati hizo kufikia Oktoba 28, 2024 Uchunguzi dhidi ya Chidimma ulianza baada ya kuwa mshiriki wa fainali ya...
  8. Chino Kidd amzawadia cheni ya bei mbaya LeeMckrazy wa Afrika Kusini

    Wakuu muziki unalipa na bwana Isaya Mtambo a.k.a Chino Kidd ameendelea kuyaishi matunda ya kazi hiyo. Taza hilo licheni la bei mbaya alilomzawadia LeeMckrazy, msanii wa Afrika Kusini just for the love. Video hii pia Chino ame-repost na kuandika; "Asante kwa kuthamini kaka yangu LeeMckrazy...
  9. Emergency Travel Document inakubalika Afrika Kusini?

    Kwa mtu ambaye hana passport kubwa, akipata safari ya ghafla kwenda mojawapo ya nchi kama AFRIKA KUSINI, BOTSWANA, NAMIBIA, n.k., anaweza kutumia EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT? Hiyo huwa inapatikana haraka sana, unaweza ukaipata siku iyo hiyo uliyoiomba. Afrika Kusini itakubali kumpokea...
  10. Kwanini Watanzania wanahofia kupita Zimbabwe katika safari za Afrika Kusini?

    Sijawahi kufika kwenye hizo nchi, lakini naamini nitafanya hivyo muda si mrefu.Lakini kwa stori za hapa JF, wengi wa wadau wanashauri kutokupita Zimbabwe kwa safari za kwenda Afrika Kusini. Natamani, katika safari yangu, niende kwa ndege, lakini wakati wa kurudi, nitumie usafiri wa usafiri wa...
  11. Cedric Kaze kocha msaidizi wa klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kufanya kazi Nasreddine Nabi

    Hatimaye plan ya Nabi kumleta Kaze ndani ya Kaizer Chiefs imetimia. Unaweza kusema colabo yao ndani ya Yanga katika misimu miwili yenye mafanikio imeifanya Kaizer nao kuwapa nafasi ya kufanya kazi pamoja. Ngoja tuone utavuna nini ndani ya msimu huu! =============== Aliyekuwa kocha wa Yanga Sc...
  12. Raia Afrika Kusini Wana Haki kuchukia wageni

    Weusi wamepigania Uhuru wao dhidi ya ubaguzi wa rangi (apartheid) mpaka mwanzoni mwa Miaka ya 1990s wanapata Uhuru. Baada ya hapo, wanatokea weusi wenzao toka Zimbabwe, Malawi, Nigeria, Cameroon, Tanzania, Congo na Ethiopia kwenda kugongea fursa hizo hizo Ikiwemo - saloon, maduka (madogo...
  13. Filamu hizi tano zimenifanya nione nchi Afrika Kûsini ni kinara wa kutoa Movies Kali Afrika

    Kwema Wakuu! Nje na kuandika na kusoma vitabu na Makala mbalimbali. Ninapenda Sana kuangalia Filamu. Kwa Hapa Afrika nimejikuta nikivutiwa na Filamu za Afrika ya Kûsini. Nigeria wanakibarua kizito Kwa washindani waô yàani South Africa. Kaangalie vyuma vifuatavyo Kutoka Bondeni alafu uje Hapa...
  14. Wanaharakati wa Haki za Wanawake Afrika Kusini wataka shoo ya Chris Brown ifutwe

    Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini Afrika Kusini kutoka Taasisi ya Women for Change wameanzisha kampeni ya kutaka kusitishwa kwa shoo ya staa wa RnB duniani, Chris Brown maarufu Breezy pnchini humo linalotarajiwa kufanika kwa siku mbili, Desemba 14 na 15, 2024. Wanaharakati hao...
  15. Afrika Kusini: Mzungu aliwaua wanawake wawili weusi na miili yao kupewa nguruwe waile

    Kisa cha wanawake wawili weusi wanaodaiwa kupigwa risasi na mzungu na miili yao kupewa nguruwe waile kimezua taharuki nchini Afrika Kusini. Maria Makgato, 45, na Lucia Ndlovu, 34, inadaiwa walikuwa wakitafuta chakula katika shamba la mzungu huyo karibu na Polokwane katika jimbo la Limpopo mwezi...
  16. Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani wa Eswatini apewa Sumu

    Chama Kikuu cha Upinzani (PUDEMO) Nchini Eswatini, kimesema hali ya Afya ya Kiongozi wake, Mlungisi Makhanya inaendelea kuimarika baada ya kulishwa sumu akiwa Uhamishoni Afrika Kusini, katika jaribio la Kumuua Mlungisi Makhanya, (46) ambaye amekuwa akiishi uhamishoni nchini Afrika Kusini kwa...
  17. Jason Derulo, Diamond, Chley na Khalil wauwasha moto kwenye jukwaa Afrika Kusini!

    Katika tamasha la kipekee la DSTV Delicious Festival, wasanii nyota Diamond Platnumz, Chley, na Khalil walipiga show ya kali, wakitumbuiza pamoja na Jason Derulo. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Derulo kupanda jukwaani na kuimba kolabo yao mpya, "Komasava" remix na mashabiki kuonesha vibe kubwa.
  18. Wanawali wa Kizulu vifua wazi kwenye runinga ya Afrika Kusini 2024!

    Silalamiki wala! After all, I am a man of culture 😉. Calling all other men of culture to congregate and appreciate nature’s magnificent creation. Kumbe katika jina la utamaduni ni sawa kuonyesha matiti ya wasichana huko Afrika Kusini. https://youtu.be/39m3Yq3jjD8?si=9brlOIxPSAG0g5iX
  19. Afrika Kusini: Afungwa Miaka 15 kwa kufake CV na kujipatia zaidi ya Tsh. Milioni 425 kwa Mwaka

    Daniel Mthimkhulu, alidanganya kuwa na Shahada ya Uhandisi wa Mitambo kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand na Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Ujerumani Aliajiriwa na PRASA mwaka 2000 na kupanda Cheo hadi nafasi ya Mkuu wa Uhandisi kutokana na CV yake ya kughushi, huku akipokea...
  20. Afrika Kusini: Upinzani watikisika, Naibu wa Malema ahamia Chama cha Zuma (MK)

    Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), kimepata pigo kubwa baada ya Naibu wake, Floyd Shivambu, kujiondoa na kujiunga na Chama cha aliyekuwa Rais Jacob Zuma - uMkhonto weSizwe (MK) Floyd Shivambu alikuwa anachukuliwa kama Mtaalamu wa Kiitikadi wa EFF huku Julius Malema, akichukua nafasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…