africa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Shortcut: Hii ndiyo nguzo ya maendeleo inayofanya Rwanda kuendelea kwa kasi kubwa na muda sio mrefu kuiacha Tanzania

    Mods please msihamishe wala kujoin Hakuna Shortcut, Maendeleo yanahitaji nidhamu.
  2. JamiiForums Tanzania Makerere University, Africa’s Premier University, The Harvard of Africa

    Makerere University main Building Main gate Best law school in Africa, Makerere school of law.📸 Ssebunya Andrew(@sidOfficial)
  3. JamiiForums Tanzania Abdul Malik acha dharau kiasi hicho kwa Watanzania. Egypt nayo ni Afrika na sisi siyo Hopeless

    Abdul Malik xxxxx tupo naye ubalozini akiwa ni Mwambata wa Balozi wa Egypt hapa nchi X. Tulikuwa na meeting na katika maongezi tukizungumzis mambo kadhaa wa kadhaa akaanzisha mazungumzo about siasa za Tz na last election. Bahati mbaya nilimwambia mimi ni mfanyabiashara from Tz sikumwambia hasa...
  4. JamiiForums Tanzania Kiufupi ni kuwa watu kama IPM na kapola wame master sanaa ya kufanya zogo na watu wanaopitia msongo kutokana msoto wa maisha na inawalipa sana aisee.

    Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini CAF haiwazuii mashabiki wa timu za Africa kaskazini kumulika wachezaji kwa lasers?

    Huu ujinga ni aibu sana kwa watu waliostaarabika. Wanawaogopa au ni nini?
  6. JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza kwa nini visa vingi vya aliens tunavipata kwa nchi za wazungu sana ila huku africa recently sijawahi kuona watu wanasema wameona UFOs.

  7. JamiiForums Tanzania January in a confused Generation!

    T. It's the same old theme since 1916, They are still fighting, with their #Tanks, #Guns and #Bombs 🐾 The #zombies in your Head! @Mg 💕🫂 #CHEM 🌎 📍MORE blessings to family, friends & X 🙏🏿 Let's complete the game 💰📶🛣️
  8. A

    JamiiForums Tanzania Africa (ikiwemo Tanzania) itaendelea ikiachana na siasa za uchawa, udini na ukabila

    Kuna video hapa inayozunmzia matatizo ya Nigeria na afrika Kwa jumla kama hatutazungumzia yaliomo kwenye hii video
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni calls for Africa to unite militarily, saying the continent has an advantage in ground warfare

    Ugandan President Yoweri Museveni has called on African nations to unite militarily and strategically to safeguard the continent’s security, arguing that while major powers such as the United States possess overwhelming superiority in air and naval forces, Africa could hold a significant...
  10. JamiiForums Tanzania Tunapoelekea kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, napenda kumshukuru Rais Samia

    NAPENDA KUMSHUKURU MAMA WA AFRICA AU DR SAMIA SULUHU HASSAN KWA KULIVUSHA TAIFA LETU LA TANZANIA SALAMA. Yakiwa yamebaki masaa machache kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, haitokuwa busara na hekima kukaa kimya bila kutoa pongezi zetu za dhati kwa Mama wa AFRICA kama anavyotambulika...
  11. JamiiForums Tanzania Africa unaweza kuzikwa ukizimia

    Kwanini watu wengi huikimbia Africa wanapopata fursa hata ndogo tu. Anthony Joshua ni bondia maarufu duniani na Tajiri wa mamilioni ya dollar na hivi karibuni ameingiza karibu dollar millioni 100/- Ila alipopata ajali hapo Logos Nigeria hakukua na huduma ya haraka, hakukua na Ambulance 🚑...
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukweli mchungu ila vijana wanaokwenda South Africa bora wakabaki hapa

    Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja. Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi. Waliofaidi ni wale...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda I must admit Uganda Hoima stadium is the most modern and beautiful in East africa! Congrats m7

    https://x.com/digitaldidan/status/2003846119739347016?s=20
  14. JamiiForums Tanzania Korea kaskazini ndani ya Africa

    Misukule wanauliza pengine mlio timamu muwasaidie kufikisha maswali yao kwa watawala wake 1).Lengo nia au dhamira ya mtawala/watawala ni ipi? 2).Wanasema mnataka wao wawaeleweje? Think wisely and take action.
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yatemwa kwenye Tour za IShowSpeed Africa Tour, Rwanda na Kenya zala Shavu

    Darren Jason Watkins Jr. (aliyezaliwa tarehe 21 Januari 2005), anayejulikana pia kwa jina la kisanii IShowSpeed au kwa kifupi Speed, ni YouTuber na mtiririshaji wa maudhui mtandaoni kutoka Marekani. Yeye ni miongoni mwa watiririshaji wa maudhui yya mtandaoni na miongoni mwa watu mashuhuri wa...
  16. JamiiForums Tanzania Falsafa ya CCM ya Uhuru na kujitegemea ndiyo inayolifaa bara la Africa katika Karne hii ya sasa.

    Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake...
  17. JamiiForums Tanzania My personal opinion: South africa atashinda AFCON

  18. JamiiForums Tanzania Airtel Africa imetangaza ushirikiano na SpaceX kuanzisha teknolojia ya satellite ya Starlink

    Airtel Africa imetangaza ushirikiano na SpaceX kuanzisha teknolojia ya satellite ya Starlink inayowezesha mawasiliano ya simu moja kwa moja kwenye nchi 14 za Afrika. Huduma hii ya satellite itazinduliwa mwaka 2026, kwa awali ikilenga kusaidia matumizi ya data na ujumbe mfupi (SMS) kwa simu...
  19. JamiiForums Tanzania South africa ni bora usimuogope mungu ile nchi inavyotisha.

    Leo 😄 ni mekumbuka December Maeneo ibro street pale gauteng jozi. Kipindi cha December ni mwendo wa kupombeka na mziki mkubwa. Wengi wanaita mwezi wa mapumziko wa kurudi makwao wanarudi kama wa zambabwe,zambia,botswana na malawai. Ile nchi bora usimuogope mungu maana ukimuogopa utajikuta...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

    Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama, Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule, Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…