Wadau, sasa ni official! Africa Cup of Nations 2027 itachezwa June 19 hadi July 18, 2027. Hii ni big win kwa Kenya, Uganda na Tanzania kushirikiana ku-host!
Lakini swali kubwa ni: tuko ready kweli? Reports zinaonyesha stadiums kama Kasarani na Talanta bado hazijakamilika, na hata training...