africa

  1. JamiiForums Tanzania Nchi zetu za Afrika zina counter-intelligence?

    Reffences, Yuri Drozdov (the most ruthless spy catcher in kgb history) CIA na M16 walimfata wajue anafanyaje kuwanasa. Kipindi cha NATO NA USSR. Niliskia Kuna nchi moja africa ame mjazia mwenzie maspy kwa honey 🍯 trap wawe baa medi kwenye makao makuu.
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la John Okello Israel ya Africa Mashariki liliwatindua vibaya sana Waarabu!

    Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel. Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa...
  3. JamiiForums Tanzania Udini ndio sababu inayoifanya Africa kushindwa kuendelea

    Dini hizi mbili kuu zilizokuja na Majahazi ndio zinafanya mpaka sasa tunashindwa kusimama na kuwa wa moja. Mfano: Baadhi ya maeneo hapa Tanzania wanachagua kiongozi kwa kuangalia Dini yake. upewi kipaumbele kama wewe sio wa Dini yao. Kwa upande wa ukabila bado kuna changamoto kidogo hasa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Urusi yapeleka Tu 160 (Black Jack) Strategic Nuclear Bomber Sauth Africa

    Kwa mara ya kwanza ndege za Mashambulizi ya Nyuklia za Russia Chapa Tu 160, Il 62 na An 124 zimetua bara la Afrika aidha ni mikakati ya kiulinzi na kivita inaasukwa. Update: Russia is sending several nuclear bombers to South Africa!! The deployment will include a Il-62, An-124, and Tu-160...
  5. JamiiForums Tanzania “No hurry in Africa” Neno ambalo mara kadhaa limepotezea muda watu wengi sana

    Mtu kuchelewa ndege ni jambo la kawaida Afrika, kuchelewa kwenye Interview ni kitu cha kawaida, kuchelewa kazini pia. Lakini pia kuchelewa kupata huduma muhimu pia ni jambo la kawaida. Hili ni neno limewahi kukucheleweshea kitu gani cha msingi?
  6. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Oktoba 29, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Ukumbi wa Johari Rotana Dar es Salaam, leo tarehe 29 Oktoba, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=pO386W-gVjw
  7. H

    JamiiForums Tanzania Where Is Arme Nando, former BBA Africa contestant?

    Yupo wapi Arme. Last time photos surfaced alikuwa teja. Did he get help?
  8. JamiiForums Tanzania Siasa ya Kutofungamana na upande wowote: Tukilifanya hili Kiuchumi tunaweza faidika kuliko Taifa lolote lile Africa.

    Habari za Jumapili Wanabodi, Kati ya maeneo ambayo inawezekana Tanzania hatujaweza kuyatumia vizuri kunufaika kiuchumi basi ni hili eneo la Siasa ya kutofungamana na Upande Wowote Sote tumeona jirani yetu Kenya anavyonufaika na msimamo wake wa wazi wa kuegemea upande wa Magharibi (West) ambapo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenye list ya Ma-genius wanaishi kuanzia 2007 hakuna hata mmoja ametoka Africa

    Hili limeshangaza sana hakuna hata mmoja ametoboa kwenye 100 bora..huenda kwenye milioni 200 bora labda mkenya mmoja. Osama ameshika namba 43, Hans Zimmer (na. 73) The master piece mimi bado naamini ni Genius licha ya kwamba ameshindwa kuishi na wanawake kwa kutajarisha zile background music...
  10. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika tulipa uhuru kirahisi, Palestine wanakwama wapi?

    Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2. Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana. By 1980, tayari karibia mataifa yote yalikuwa huru Nchi za Asia na Latin America, ni Hivyohivyo. Kwa utajili wa Africa, wazungu...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Inahitaji 6 International Airports kuwa mshindani kiuchumi East Africa

    Kwa ukubwa wa Tanzania, tumechelewa sana kwenye secta ya anga. Hadi 2015 tulikuwa bado tunatumia rada za majirani zetu na tulikuwa tuna kiwanja kimoja tuu chenye hadhi ya kimataifa. Kwa sasa tuna viwanja viwili 2 ambavyo vinaweza kuhost ndege kubwa za kimataifa ambavyo ni Kilimanjaro ambacho...
  12. JamiiForums Tanzania Africa footbal league (AFL) imefikia wapi? Mbona mwaka huu haijachezwa

    Nakumbuka mwaka jana miezi kama hii ndio AFL ilizinduliwa na tukaambiwa hiiyo ndo itakuwa ligi kuu kubwa zaid badal ya CAF Championship CAFCC. Sas naona kimya as if hakuna lolote lile na sioni dalili za kufanyia kwa ligi hii. Sasa basi kupitia jukwaa hili naombeni taarifa rasmi ni nini...
  13. JamiiForums Tanzania Why Africa produces what it does not consume and consume what it does not produce?

    Prof. Ali Mazrui alisema; “Africa produces what it does not consume and consumes what it does not produce.” Nimeangalia na kweli nimeona kuna ukweli mzito sana hapa. Sasa labda tujiulize WHY?! Na Je ni kweli? Na mwisho kabisa How can we rectify the Issue? As what am seeing tunapoelekea hata...
  14. JamiiForums Tanzania Battle: Tanzania 🇹🇿 ( Bongo) Vs Kenya ( Elite of Africa)

    Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza 1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere🇹🇿 2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz 🇹🇿 3. Lugha ya Kiswahili ni ya Tz 🇹🇿 na inazungumzwa Africa na dunia kote 4. Mlima mrefu kuliko yote Africa...
  15. JamiiForums Tanzania Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
  16. JamiiForums Tanzania Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

    I salute you kinsmen. Binafsi nimeanza kufuatilia soka la ulaya muda kidogo Liverpool die hard fans. Lakini tuseme ukweli ligi za ulaya kwa sasa uwezo wa wachezaji umekuwa mdogo sana na hakuna vipaji kabisa asilia yaani ile pure talent hakuna kabisa. Hasa hasa EPL nowdays huwa nafuatilia game...
  17. JamiiForums Tanzania A City in Africa that is cleaner than New York

    https://www.facebook.com/reel/1609621916563225
  18. JamiiForums Tanzania Uvumbuzi haukubaliki Afrika

    Tunanunua kila kitu Waafrika hatu thamini uvumbuzi. Alisikika akisema" Nina kitu nilichovumbua lakini nashindwa kukitambulisha kwa sababu ya usalama wangu, ila ugunduzi wangu ungekua na Faida kwa Nchi" alisikika mlevi mmoja akiongea.
  19. JamiiForums Tanzania Wakati Diamond Platnumz akitoka kwenye international shows ulaya na Africa.. Ali Kiba anaenda kufanya show ya kuzindua duka mkoani Morogoro

    Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani. Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake. Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za...
  20. B

    JamiiForums Tanzania How Socialism Destroyed Africa

    https://m.youtube.com/watch?v=gRXjD7RXTPk George Ayittey is a Senior Fellow at the Independence Institute; Founder and President of the Free Africa Foundation; and formerly a Distinguished Economist in Residence at American University. He is the author of numerous op-eds for the New York Times...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…