africa

  1. R

    Radio Free Africa mna shida gani??

    Ni wiki sasa nikifungulia radio yenu kusikiliza vipindi vya asubuhi vya magazeti na matukio nakutana na miziki na matangazo ya biashara tu. Kulikoni???
  2. S

    Aziz Ki ni kati ya Wachezaji 8 Wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi ligi ya Afrika

    𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄...! Kwa Mujibu wa AfrikaFactsZone Hawa Hapa ni Wachezaji Wanaolipwa Zaidi Katika Ligi za Afrika Kila Mwaka. 01: Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ - Ali Maaloul πŸ‡ΉπŸ‡³ | $1.5 million | Al Ahly 02: South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ - Ronwen Williams πŸ‡ΏπŸ‡¦ | $320,000 | Mamelodi Sundowns 03: Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ - Tiago AzulΓ£o | $263,000 | Petro de...
  3. CAF Champions League nusu fainali ni timu za "South Africa Vs Egypt"

    Kwa mwenendo wa matokeo haya, kuna uwezekano Nusu Fainali hadi Fainali zikawa ni Timu za Falao na Wazulu zitakazo Chuana.
  4. Prof. Mohamed Janabi ana nafasi kubwa zaidi ya kuchaguliwa kua mkurugenzi mtendaji wa who kanada ya Afrika

    Licha ya kua ana sifa zote, vigezo na masharti tajika ya kitaaluma kulingana wajibu anaoelekea kuutwaa, uzoefu usio na shaka wa Prof.Janabi katika kazi za kada ya Afya kitaifa na kimataifa ni wa kuaminika. Lakini pia umahiri, bidii na ubobevu wake katika masuala ya tiba na tafiti mbalimbali za...
  5. Napataje Michongo ya udereva South Africa?

    Wana JF mko poa..? Nina bro wangu yupo south miaka mingi sana anaishi Capetown juzi kati nimewasililiana nae WhatsApp akaniambia kama sielewi maisha ya bongo niibuke kule atanifosia michongo sababu yeye ameshakuwa mwenyeji.. Sasa hiv ndio nipo katika process za kukata passport, lakini kuna...
  6. Y

    David Kafulila: Deni la Tanzania ukilinganisha na Mataifa mengine ya bara la Africa ni nafuu

    == Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia matarajio ya wananchi. Katika mazungumzo maalum na The Chanzo Machi 29,2025, Kafulila amesema deni la...
  7. Hakuna kitu kizuri kama kuwa mgeni Afrika

    Habari za Jumapili, Nimekaa na kutafakari sana juu ya Bara la Africa na watu wake, Nimegundua, asili yetu sisi africa ni kuishi kwa unyenyekevu na kumpa mgeni kipaumbele pengine kuliko hata sisi wenyewe Hili linajionyesha wazi kuanzia ngazi za familia, Mfano, imezoeleka mgeni anakuja nyumbani...
  8. Viongozi wa Afrika Vs Viongozi wa Ulaya

    Tukisema Tubadilishane, Viongozi hivi, Hawa Viongozi wetu wakienda Ulaya, Je maendeleo yataendelea kuwepo au yatakufa.
  9. Wachina wanaishi kwa shida sana kama kuku wa kwenye cages nchini kwao ndio maana wanakimbilia Afrika

    Pamoja na kwamba tunaona majengo makubwa na miondombinu mizuri inayomeremeta China ila ukweli pia ni kwamba raia wengi wa nchi hiyo hata wale wenye kipato kizuri cha wastani kwa huko kwao wanaishi maisha ya shida sana ya kubanana katika makazi. Raia wengi wa China wanaishi kwenye vi-...
  10. Hotuba ya Nyerere kwenye mkutano wa wakuu wa nchi huru za Africa mwaka 1964. Nyerere alikuwa na bifu kali sana na Rais Kwame Nkrumah wa Ghana

    HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA UNGUJA MWALIMU JULIUS K. NYERERE KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA NCHI ZA AFRIKA, MJINI CAIRO Tarehe 20 Julai, 1964 NINATAKA kuwaunga mkono katika kutoa shukurani zangu kwa Rais Nasser, serikali yake na kwa watu wa Jamhuri ya Nchi za...
  11. Unahitaji nini kutoka South Africa?

    Unahitaji nini kutoa South Africa? Branch zetu. Kamaha-Mkaba na Soko la Madi. Dar- Tunapatina Ilala. Shinya-Majengo Mapya jirani na Liga Hotel. Next-Mwanza. Njia za naweza lipia nikama PayPal Bank Lipa Kwa Simu Wala Wala CRDB Kama uko serious nicheki whatspp.Kama uko kahama nenda tume ya...
  12. Wapi nitapa huduma ya usafirisha mizigo kutoka South Africa to Tz

    Naomba mawasiliano nahitaji mzigo kutoka South Africa kuja Dar,nani anielekeze wapi nitapa huduma hii.
  13. T

    Watu wenye akili ni watu wakutafuta facts na wenye maswali Magumu na watawala hawawapendi Africa

    Kwanini Africa haiwezi kuendelea ni kwa sababu watu wenye akili na uwezo mkubwa kuona kesho hawapendwi na watawala... Why? Watawala wanapenda chawa na chawa siku zote wanauma Tena wanauma sana na mwishi wanadhoofisha... Umewahi kaa au kulala sehem Kuna chawa? Mara zote kwa aina hii ya uongozi...
  14. Black people hate everything about slavery except religion

    As the oldest profession of physical deception is prostitution, the oldest profession of mental deception is religion. If the Europeans and Arabs kept their opinions about their God to themselves, we will not be having Christianity and Islam in Africa. But because you are now a christian or...
  15. Ingawa bongo tunaongoza Africa katika utumiaj wa Internet lakini tumekosa kuwa na influencers/content creators wa kuvuka boda. Ni issue ya english au?

    Au basi tu vijana hawaja challenge fursa hii. https://youtube.com/shorts/bjlEGS1vcv4?si=I6VHSCv3AGimkeWw
  16. Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

    Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
  17. N

    Nini kimesababisha South Africa kuwa na HIV AIDS kwa rate kubwa?

    Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio South wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani. Wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na...
  18. Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2,2025

    Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2. I feel a sense of sympathy for him, as many Tanzanians are often hesitant to engage in debates like this. This fear can be attributed to several factors that...
  19. T

    Ningekuwa mimi, nisingeruhusu Prof. Janabi agombee WHO kanda ya Africa

    Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea... Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata...
  20. L

    Wakuu UAPs/UFOs wanafika kila mahali hadi Africa, proof hiyo hapo (clip -tukio lilitokea Zimbabwe )

    Wakuu nani aniafuatilia hii issue ya UAPS ? au kama kawaida yenu ndugu zangu ni mwendo wa kubaki gizani tu:) Kwa wale mnaoamini eti UFOs hawafiki Africa, think again, proof hiyo hapo na nyingine kibao zipo online. Kwa wale mnaofuatilia mmeisikia documentary iitwayo The Age of Disclosure...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…